Pole sana kwa kichapo cha jana. Inasikitisha sana unapoona wadau wa bwawa la maini wanapokataa matokeo, umesahau scholes mwaka jana alipewa kadi nyekundu Anfield ikiwa man utd 0 - 0 liverpool lakini dakika ya mwisho Oshea akafunga inaonesha we are fighters to the end.
Steve Bennet referee wa jana alimpa Cristiano Ronaldo kadi nyekundu msimu huu mwanzoni tulipocheza na Portsmouth(Fratton park) tukatoka 1-1 yani draw sasa inashangaza watu ambao hawafuatili habari kwa makini kusema tuna bebwa bila kidhibitisho.
Haya, katika mechi 8 za league katika ya man united na liverpool, manchester united wameshinda mechi 7 na draw moja na cha ajabu katika mechi zote hizo liverpool wamefunga goli 1 ambalo ni own goal john oshea alijifunga nadhani 2004 na tukatoa draw kwa ufupi mechi 8 liverpool mchezaji wao hawajafunga goli against manchester united. Sasa nauliza ni kweli tuna bebwa au liverpool bado hawajapata quality players zaidi ya torres na Gerald.
Mascherano ana haki ya kutolewa anajua Benett ni referee anayeongoza kwa RED card alafu anamfuata kwa kweli alijitakia kama mliangalia ile mechi Xabi Alonso alikuwa anamvuta asiende lakini akajidai ndiye baba wa timu je Gerald alikuwa wapi? tukiwakuta kwenye Final Champions league tutawachapa tena
Naomba kaka michuzi uniweke hii ili wadau wenzio wa bwawa la maini waone hizo statistics na kama nimedanganya basi wanikosowe , We ni mshindani kaka michuzi mbona jana umenyamaza kimya. Nntakuletea kajezi ka Man utd japo kadogo tu utundike kwenye gari yako hahahaha....
William (man utd for life)
Uk
PS: BASI HATUNYWI MAJI PASAKA HII....
- MICHUZI
WILL UMENIFURAHISHA SANA HONGERENI SANA MAN UTD MUNGU ATAWASAIDIA BWAWAA LA LIVER SIKU MOJA WAFIKE HUKO MLIPO
ReplyDeletewilliam unafikiri hawajui? Basi tu unazi. Tumemaliza tunangojea kufukia yôso wa arsenal.
ReplyDeleteNAKUMBUKA MOURIHNO ALIWAHI KUTAMBA LIVERPOOL HAITAWEZA KUBEBA UBINGWA MAY BE AFTER 6 SIX,AIBU KUBWA LIVERPOOL KIMYA KABISA NA HII INAONYESHA HATA UEFA WATAONDOKA TU KAMA MPIRA WENYEWE NDIYO HUO POLE MICHUZI HAKUNA KITU PALE
ReplyDeleteDumbest man on the planet
ReplyDeleteJavier Mascherano became the dumbest man in the world after crazily provoking ref Steve Bennett to send him off for dissent. Liverpool's Argentine midfielder got his red card after 43 minutes - handing Manchester United a win which virtually assures them of the title. Mascherano was booked after just 10 minutes for a foul on Paul Scholes before repeatedly swearing at Bennett. But he seemed oblivious to the rumpus caused by Ashley Cole’s midweek show of dissent at Spurs as he angrily confronted Bennett and his linesmen six more times. The ref's patience finally ran out when Mascherano charged 20 yards to confront him for booking Fernando Torres. He showed the Liverpool player a second yellow card before brandishing the red card. But even then Mascherano could not keep his mouth shut. He refused to leave the pitch even though Reds boss Rafa Benitez pleaded with him to calm down. And he swore at Bennett again as team-mates Xabi Alonso and Fabio Aurelio tried to restrain him. The FA are likely to increase his automatic one-game ban and fine him heavily.
David Facey, The Sun
Manchester Unite haya Tumekubali ila Ligi haijaisha. imeisha kwa sie sawa Liverpoolfc ila kwa wengine haijaisha msione kama ndio mshashinda Mascherano kweli Red card ila refa kachemsha kumpa Torres Card kwani Anderson alimpa mkwanja mkali SG ila Refa kaanza kuongea naye yeye na Ronaldo walikuwa karibu alivyokuwa akilalamika hata Njano hakupewa, mpira tumefungwa tujifunze mwakani.
ReplyDeleteLazima tukubali muda mwengine ila hakuna asiyejuwa MAN U Kama hawabebwi. Simba pia msijali ipo siku. LFC tutakuja tu kubeba kombe kwani situpo bado au? kwani kilabu bingwa ulaya ilichukuwa muda gani? MAnchester United bado wanalitamani na kulipata wasahau mwaka huu hata mwakani siku watapochukuwa ndio siku tutapochukuwa ligi ya uwengereza. C. Ronaldo ka DIve ndani ya Box hajapewa nyekundu watu wanatizama ya mascherano tu? kweli mascherano kakosea tumekubali mengine hamjayaona Wes Brown anamdandia mtu kama ule mlingoti subirini sasa. Arsenal na Liverpool zinaonewa sana UK . itabidi nasie tuwe nawachezaji kama watano au wanne waengereza kwenye First 11.
Historia lazima zipo lazima ujue babu yako na bibi yako nani. bado sana kutufikia bwawa la maini.
ReplyDeleteTeam League Title
Liverpoolfc 18
Manchester united 16
FA
Manchester United 11
Liverpool Fc 7
League Cup
Liverpoolfc 7
Manchester United 2
UEFA CUP
Liverpoolfc 3
Manchester United ZERO(0)
CUP Winners CUP
Manchester United 1
Liverpoolfc Zero(0)
European Cup
LiverpoolFc 5 Star
Manchester United 2
Liverpoolfc 40 VS Manchester United 32 Mmasai anasema Manchester badoooooooo kila mkija sie tunaongeza Moja mwakani situpo mungu akituweka hai. kwakutufunga sawa ila hapo ni badooooooo sasa mie nimekubali mascherano red card je nyie hapo mmekubali au mnaona uongo?. Issa Michuzi upo ikiwezekana iweke juu.
Sikilizeni Manchester United. Bado sana hatuwawezi liverpool wanasehemu Nyingi sana yakujiweka sawa. Mie jana nilikuwepo Uwanjani,
ReplyDeleteMascherano - nyekundu ana haki nayo tena sana
Reina- kachemsha jana japo pia katuokoa sana.
Steven Gerrard - Anatakiwa ajuwe kuongea na timu yake nakuipa moyo hakucheza mpira.
Xabi Alonso - hafai tena kuwa liverpoolfc C. Ronaldo sio goal lakufunga lile kashachoka kuchezea timu.
Bennet Refa- kachemsha kwa Torres kumpa Card na Kutompa C. Ronaldo aliye Dive mara 3 na kulalamika Anderson pia alitakiwa Yellow hajapewa.
Sir Alex- nakupa hongera kwakumuonesha Benitez anapomchezesha TORRES peke yake Mbele ya RIO na VIDIC hatakilema atazuia ni rahisi sana watu wawili kukaba mtu mmoja
Benitez- Umechemsha ungeweka Kuyt na Torres Mbele Pennant Kulia winger. Mascherano toka ajue english imekuwa tabu ila jamaa nimkali.
Manchester United Fan kwenye Issa Michuzi nawapeni hongera yakutufundisha Football ndio itakuwa fundisho kwetu.
LiverpoolFc- nauwakika mkubwa sana najuwa kila siku tunasema hivi ila uwakika mkubwa sana mwakani mabingwa. Mwaka huu tujilaumu wenyewe na Benitez kupanga mfumo usiokuwa na maana. Mashcerano Future Captain wa Liverpool.
Chelsea - Atampa tabu sana Man U nazani United wangependa jana Arsenal washinde kuliko Chelsea.
Arsenal- naiona kuanguka zaidi
Man u - Bingwa
Chealsea wa PILI
Liverpool wa Tatu
Arsenal wa Nne.
From MZ, UK. Club Bingwa Barcelona au Arsenal I Hope Tuwe Sie LFC.
Hahahah inafurahisha sana historia ni nzuri ila wakati mwingine haina maana kama hushindi sasa hivi zaidi ya champions league , Nottingham forest ,Blackburn wote wameshinda kombe aibu zaidi ni kwamba Blackburn wameshinda 1995 liverpool 1989 ,man utd 1993, 1994, 1996, 1997, 1999, 2000, 2001, 2003, 2007 mungu akipenda 2008 sasaa nauliza nani anaepanda ghorofani na nani anayeshuka chini?usithubutu kufananisha 1950 na 2000
ReplyDeletetunaongelea kitu kinachoendelea sasa hivi sio ya kale huoni ni aibu kombe mlioshinda muhimu kwa miaka 19 ni uefa 2005.Ukiangalia historia Madrid watasemaje cha msingi liverpoool waimarishe kikosi.
Mfan0 " Mke wa mtu akimuacha mumewe akaenda kuishi kwa msela nani aitwa kidume?yule wa zamani(Liverpool) au wa sasa (Man utd)
jibu nadhani unalo
hahahahah
Siwachukii wapinzani wetu bali sisi tuko kwenye form nzuri
William
Uk (Man utd for life0
CV ya man united tokea fergie aingie una la kusema
ReplyDeletenimesahau mdau wa juu muongo angalia uefa tumeshinda 1 na super cup mara moja
Premier League Title 1993, 1994, 1996, 1997, 1999, 2000, 2001, 2003, 2007
FA Cup 1990, 1994, 1996, 1999, 2004
League Cup 1992, 2006
UEFA Champions League 1999
UEFA Super Cup 1992
UEFA Cup Winners Cup 1991
Inter-Continental Cup 1999
FA Charity / Community Shield 1993, 1994, 1996, 1997, 2003, 2007
Joint holders 1990
William
Uk(United for life
NAPENDA KUMJIBU ALIYETOA HADITHI YA MAN U NA LIVERPOOL.
ReplyDeleteHIVI UNAFAHAMU KWAMA UINGEREZA WATU HAWAJALI UMESHIDNA KOMBE LA UBINGWA ULAYA AU KOMBE LA WASDHINDI MARA NGAPI?
WASHABIKI WA SOKA WA UK WANATAKA TIMU ISHINDE UBINGWA WA NCHI KWANZA (PREMIER LEAGUE) HALAFU NDIYO UZUNGUMZIE KOMBE LA ULAYA!
JOSE` MORINHO AMETIMULIWA CHELSEA SIYO KWA SABABU TIMU HAIFANYI VIZURI NYUMBANI BALI KWA KUSHINDWA KUFUATA AMRI TOKA KWA MRUSI ASIYEJUA SOKA. ANAYETAKA CHELSEA ISHINDE PL NA CL!
HUWEZI KUTUMIA PAUNDI MILIONI 50 AU 70 ETI KWA KUNG'ANG'ANIA NAFASI YA NNE DHIDI YA EVERTON, POMPEY NA ASTON VILLA!
NDIYO MAANA WASHABIKI WANATAKA LIVERPOOL IWE BINGWA ENGLAND KITU AMBACHO HAWAWEZI KUKIFIKIA KWA MIAKA KUMI MINGINE IJAYO. SUIBIRA HII NI SAWA NA YA DERBY FC YA KUTAKA KUREJEA KWENYE LIGI KUU(PL).
KWA HIYO NDUGU YANGU, HATA UKISHINDA CL MARA MIA BILA KUSHINDA PL, NI SAWA NA KUTEMBEA UCHI HUKU UKITAMBA ETI "NDIYO FASHENI YA KWENU".
MTAENDELEA KUWA MBOGA YETU LABDA FERGIE AHAMIE ANFIELD, VINGINEVYO MSAHAU KABISA KUIFUNGA UNITED!
WATU WANADAI MAN U BADO HAIJA BINGWA; KWA TAARIFA YENU FERGIE ANATAKA KUCHUKUA UBINGWA KABLA YA KWENDA STAMFORD BRIDGE.
KWA LUGHA NYINGINE, ARSENAL ATAGEUZWA MBOGA WIKI MBILI ZIJAZO HAPO OT HUKU CHELSEA IKIKWAMA KWA VITIMU KAMA EVERTON, M'BORO NA WASIPOANGALIA HATA KWA NEWCASTLE NA WIGAN ATHLETICS.
WANA MAN-U KAENI MKAO WA KULA.SASA HIVI TUNAANGALIA JINSI GANI TUTAKAVYOWATUNGUA ROMA HUKO ROME. PL, TUMESHASAHAU MACHI 23/08.
liverpool is the most successful team in england, and it will remain like that for so long.
ReplyDeleteits not easy to change that,
man u have a good team at the moment but they get alot of decisions, its hard to accept that if you are man u fan ,
i watched the game you all talk about, i wonder what is more of a yellow card between scholes kicking of torres without an attempt to win the ball or mascherano asking ref "what happened."" why?"
in their hey days liverpool won matches with swagger without referees .
i think man u crave liverpool glory , they gonna have to earn it though,
at the moment we are being forcefully dragged to believe , media and the establishment are conducting a modern day " spanish inquisition."
those with clear understanding of things and long memory will understand.
Sio Muongo jamaa hapo juu mie Arsenal nimetizama kwenye wikpedia wanasema Super Cup na Charity Shield Hawahesabu na Liverpoolfc ndio Timu UK inayoongoza kwa Vikombe ila MAnchster united ndio wakali wa 90, Liverpool 60, na 80's William na wewe basi wakubali wenzako. wacheni unazi.
ReplyDeleteSio Muongo jamaa hapo juu mie Arsenal nimetizama kwenye wikpedia wanasema Super Cup na Charity Shield Hawahesabu na Liverpoolfc ndio Timu UK inayoongoza kwa Vikombe ila MAnchster united ndio wakali wa 90, Liverpool 60, na 80's William na wewe basi wakubali wenzako. wacheni unazi.
ReplyDeletejamani wadau hatujakata kwamba liverpool sio succeful in europe or maybe in the world lakini ukiangalia jinsi walivyoshuka na man utd walivyoweza kuwashika kwenye idadi ya makombe ni ajabu.fikiria mwaka 1989 manchester united walikuwa wameshinda league mara 5 liverpool 18 sasa hadi leo man utd wamefika 16 na inaenda 17 and its likely next year liverpool walikuwa wapi?inaamaana mwakani tutakuwa naona sawa kasheshe itakuwa kwenye champions league ila fair play liverpool me achiev sana karne ya 19 mwanzoni sisi man utd hadi leo!hongereni sina jazba hata kidogo
ReplyDeletehey, nakukubali mdau kwa mchakato wako hawa liver waliee tu ni mwaka wa 17 sasa ligi wanaisikia tu hawajui hata ladha ya barcray ipoje,kwa taarifa yao tu ENGLAND MZIMA HAKUNA TIMU INAYOONGOZA KWA KUIFUNGA MANUTD.wote tunachapa tu.ni hayo tu poleni by MTONI KITAMBO
ReplyDeleteBwana william umenifurahisha sana inaelekea unafuatilia soka kwa karibu,nakubaliana na wewe liverpool wamelala kwa muda mrefu sana hadi united wamewafikia karibu katika idadi ya makombe na kwa timu ya ferguson ilivyo sasa hivi mwakani itakuwa balaa na kwa wale ambao hawajui manucho huko panathaikos anawaliza watu kwahiyo mwakani watakuwa balaa hawa mashetani haya
ReplyDeletemdau wa man utd
china