Mjumbe wa Kamati ya Olimpiki Tanzania Henry Tandau (kulia), akizungumza na wahariri na waandishi wa habari katika Hoteli ya New Africa, Dar, kuelezea historia na umuhimu wa michezo ya Olimpiki na mbio za Marathon. Kushoto ni Mwenyekiti wa zamani wa Kamati ya Olimpiki Tanzania, Raphael Kubaga na Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya Coca Cola wa Afrika Mashariki na Kati, Carol Mbaga.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. NIMEFURAHI KUKUONA MR TANDAU KUMBE BADO UNAENDELEZA MICHEZO HONGERA SAAAAAAAAAAAAANA...MIMI MWANAMICHEZO WAKO WA BAISKEL WAKATI NIKO TANGA. HIVI SASA NIKO DENMARK.KILA LA KHERIIIIIIII!!!
    FROM TEACHER

    ReplyDelete
  2. Yaani wanaelezea umuhimu wa Olympic saa hizi!!!!!! wakati wenzao wameshacamp toka miaka miwili iliyopita. jamani kama tunataka kupeleka watu basi tuwe serious....kama sasa hivi wanaotakiwa kwenda hukko hata mkambi ya mazoezi ilikua haijaanza basi tuache tu kwenda tusubiri miaka mingine. Sio vizuri kila siku kusindikiza tu....Ila nimegundua ushindi wa nchi nyingine hauji bure...ni mazoezi na detarmination...ninakoishi nipo karibu na swimming camp ya watu wa olympic na wameipiga hiyo kambi kama sitakosea miaka miwili sasa. Wanaishi hapo na wana indoor swim pool na outdoor...kwa hiyo mvua au snow sio sababu ya kuacha kufanya mazoezi. Hawa watu wako very serious na busy all the time....

    Nina maana kam hatujaandaa wa kwetu wa kwend ahuku basi tuache kwa sasa tusubiri zijazo na tujiandae mapema...kuliko kupeleka watu hata wasionekane kwenye TV hata siku moa ...au hata kuzungumziwa..

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...