Hii ndio miji 25 bora kwa uchafu duniani, kwa mujibu wa jarida la Forbes. kwa habari zaidi bofya hapa
1. Baku, Azerbaijan (27.6)
2. Dhaka, Bangladesh (29.6)
3. Antanananvo, Madagascar (30.1)
4. Port au Price, Haiti (34)
5. Mexico City, Mexico (37.7)
6. Adid Ababa, Ethiopia (37.9)
7. Mumbai, India (38.2)
8. Baghdad, Iraq (39)
9. Almanty, Kazakhstan (39.1)
10. Brazzaville, Congo (39.1)
11. Ndjamena, Chad (39.7)
12. Dares Salaam, Tanzania (40.4)
13. Bangui, Central African Republic (42.1)
14. Moscow, Russia (43.4)
15. Ouagadougou, Burkina Faso (43.4)
16. Basmako, Mali (43.7)
17. Point Noire, Congo (43.8)
18. Lome, Togo (44.1)
19. Conakry, Guinea Republic (44.2)
20. Novakschott, Mauritania (44.7)
21. Niamey, Niger (45)
22. Luanda, Angola (45.2)
23. Maputo, Mozambique (46.3)
24. New Dehli, India (46.6)
25. Pat Harcourt, Nigeria (46.8)
they will not be any way delhi will be cleaner than dar.kwanza wasi judge mji wetu mtukufu kama mchafu ni wetu I love ma bongo city
ReplyDeleteNaona Tanzania imeingia katika Forbes list kwa kuwa na sifa mbaya ya Uchafu.
ReplyDeleteNimeipitia hii ripoti ili kujua vigezo vilivyotumika katika "ranking hii" ambavyo ni:
1. levels of air pollution
2. waste management
3. water potability
4. hospital services
4. medical supplies
5. presence of infectious disease.
Maoni yangu: Kuchanganya vigezo vya usafi na upatikanaji wa huduma za afya unaweza kusikupe hali halisi kwa sababu zifuatazo:
1. Sioni link ya hali ya uchafu na upatikanaji wa dawa hospitalini au huduma za afya.
2. Miji zenye huduma duni za afya inaweza kuonekana ni michafu wakati si kweli.
Mdau
http://drfaustine.blogspot.com/
Michuzi ilikuwaje Bush akaja na kulala kwene bongo yetu inayoshikilia namba 12 apo juu kwa uchafu?
ReplyDeleteBongo tambarare! Hao Forbes hawajui kitu!
ReplyDeleteBraza Michuzi, duh si utani Bongo imekuwa Bongo kweli kweli..... Soka na maendeleo tupo/tunakaribia digit 3 lakini kwa uchaf eti tupo 2 off "top teni" duh, kazi tunayo mwanangu
ReplyDeleteNingeshangaa kama tungekuwa hatumo kwenye hii list.....
ReplyDeleteHao wapumbavu waliochapisha hiyo list. Na sisi tunachapisha ya kwetu tunaweka mji ambao Forbes in headquarters No 1.
ReplyDeleteBro Michu, hakuna ubora unaopimwa kwa kigezo hasi. Ungesema miji inayoongoza kwa uchafu ingekuwa sahihi zaidi.
ReplyDeleteAu kama ni Ubora basi ingekuwa ni kuhusu usafi.
Otherwise kazi njema.
ah,mbona Nairobi siioni,haiwezekani.
ReplyDeleteAti Dar ya 12?
ReplyDeleteWashindwe na Walegee hao Waja wa Laana!!!
Uchafu wakiuona Wataujua?
M#@*&%6"@#*% !!!
Ni Hayo Tu !!!
where is London?it should be on the top 5
ReplyDeletesio mbaya kama tunachuana na urusi tena ninchi kubwa yente utajili wa mafuta na gas lakini hawa watu hawakupita kenya kibila huko hatali
ReplyDeleteBongo ni chafu! Period. Tuache unafiki hapa. Cha muhimu ni kumuwajibisha Kimbisa na troup lake wanaokula kodi zetu eti wana linda jiji.
ReplyDeleteDar is dirty. Yaani jamaa hawajadanganya kabisa. I know it kwa sababu naishi. Ni uchungu lakini ndo kweli.
Kujilinganisha na Nairobi ni uppuzi..wewe unaweza linganisha afya yako kwa kuangalia mgonjwa?
Get life..tufanye kazi. Asante Forbes kwa kutuonyesha uzaifu wetu!
Hivi hawa Forbes wanajua maana ya uchafu - ukiangalia kwenye website yao, vigezo wanavyovitoa ku-rank hii miji sio sahihi. Angalia mji kama Abidjan, kuna barabara nzuri, lakini watu wanakojoa kila mahali na bado haupo kwenye hiyo list. Nadhani hawa wamechapisha vitu bila kufanya utafiti-Ee Bwanae Dar sasa hivi ni tambarare, tupambane na ufisadi tu.
ReplyDeleteKAMA KUNA KITU KIMENIFURAHISHA NI JINSI GANI NIMEONA WABONGO WANAPENDA NCHI YAO SAFI SANA YAANI WENGI WAMEKUWA +VE NA BONGO YETU SAFI HIYO WAMEJAWA NA JAZIBA KIBAO HATA KAMA NI KWELI LAKINI NI LAZIMA UTETEE CHAKO TANZANIA JUUUUUUU LAND YA WAJANJA
ReplyDeleteTunaonewa sikubali,tuandamane,wanatuonea wivu Bush kaja kwetu,
ReplyDeleteHureeeee....!!! angalau sasa bongo tunaonekana onekana ktk chati za dunia maana hapo zamani Bongo haikuwa inatamba ktk chati zozote
ReplyDeleteHoorray!! Bonge imengia kwenye Forbes List, tunazidi kupeperusha bendera ya Tanzania kila upande!!!
ReplyDeleteHii chati ya forbes ipo very biased, kuna miji naijua ni michafu zaidi ya Dar lakini haimo kwenye list. Pamoja na hayo, tujitahidi kuweka mji wetu safi na kuepuka maradhi ya aibu kama kipindupindu, etc.
ReplyDeleteaibu jamani sasa hela alizochangisha salma juzi zimepelekwa wapi, jamani si akawape wana mazingira, ili waweke jiji katika hali ya usafi.
ReplyDeleteBro kweli hii imenifurahisha!!
ReplyDeleteMfano mzuri ni pale kwa huyu mwanamuziki wetu Chege sinza kumekucha...nasikia ni nyumbani kwao lile eneo lipo mbele ya nyumba yao linatia aibu...ni wachafu kupita kiasi....michu kweli kama utapata muda watembeleee...ni aibu...kweli hata wakisema bongo inanuka ni mawapa handred pasee....waache uchafu...nataka kuwashtua ITV wakapige picha pale....
Hivi kwanini wale wagambo wanauzurula ovyo kazi kuwapiga wamachinga wasipewe kazi ya kusafisha jiji ? Manake hawana cha maana wanachofanya zaidi kuwanyanyasa raia wasio kuwa na hatia .wagambo wale wawe jeshi la usafi .wawe wanasafisha majiji yetu na kuzuia wanao chafua majiji
ReplyDeleteNaona Tanzania imeingia katika uchafu sababu nitakazozitafsiri:
ReplyDelete1. levels of air pollution-Hewa chafu magari yanatoa moshi/viwanda vinachafua mazingira n.k watu wanakula hovyo na kujamba hovyo kuanzia mitaani,maofisini,kwenye madaladala ndiyo usiseme n.k
2. waste management-majalala yako kila kona
3. water potability-maji machafu kila sehemu iwe bombani,visimani,baharini ya kunywa,na kuoga yamejaa viluwiluwi vya kichocho na kipindipindu
4. hospital services-hospitali nyingi chafu hazifai kuitwa hospitali utafikiri nyumba za waganga wa kienyeji
4. medical supplies-dawa nyingi chafu au zinachafuka kwa kuwekwa mazingira machafu za mitumba na feki
5. presence of infectious disease-magonjwa yatokanayo na kutooga kama upele,kula vichafu kama vipindupindu,maji machafu kama kichocho,magonjwa kama vifua vya kukohoa hovyo yajoko kibao.
Sasa ukijumlisha yote hayo kusema Dar es salaam ni mji wa kumi na mbili kwa Uchafu nadhani wametupendelea kwa sababu Bush alikuja nchini kwetu tulistahili kuwa wa kwanza.
Njie Watanzania acheni kuficha mambo na tujifunzeni kukubali ukweli. Kujitokeza kwa jazba na kusifia sifia tu Bongo yetu na kusema ni tambarare si sawa, hali wote tunajua mji wa DSM mchafu. kama mji mkuu ni mchafu kuliko hata miji midogo nchini kama moshi sembuse miji mingine mikubwa duniani. Vigezo vilivyotumika hapo juu ukivitazama kiundani vyote ni sawa ikilinganishwa na jiji la Dsm. Badala ya kushabikia tu na kujifanya hatuoni ukweli wa mambo ni bora tuwe wakweli na kuliborosha jiji letu..
ReplyDeleteNawakilisha!
Dokta faustine vipi bwana! unakushangaza kutokukubali uhusiano kati ya usafi wa sehemu na huduma za afya na uaptikanaji dawa. Suala hilo liko wazi au umesahau soma la epidomiology! uhusiano kati ya usafi na maradhi na dawa? Inaonyesha kuwa watu wa jamii ambayo wanajali afya yao kiasi cha kujenga hospitali kwa wingi na kuwa na huduma za afya nyingi na dawa, kwa kiasi hicho hicho inaonyesha jinsi walivyo aware kuhusu uchafu wa mazingira yanayowazunguka unavyoweza kuathiri afya zao. Vile vile wingi wa hospitali na huduma za afya pia kwa kiasi fulani uko sambamba na wingi wa wanaotoa huduma hizo kwa jamii na hii inaweza kuakisi elimu wanaliyonayo wanajamii kuhusiana na kujali mazingira yao kama chanzo na mwanzo wa magonjwa na mengineyo kwa hiyo vivyo vigezo walivyotumia kuiweka DSM katika kundi la miji michafu havikukosea....
ReplyDeleteNawakilisha..mbongo mwenye usongo na jamii yanu!
Nyie hapo juu acheni ujinga wenu. Badala ya kujirekebisha nyie mnaikalia politiki tu, eti hiyo ranking ni feki. Mbona jiji la las vegas halipo kwenye hiyo rank? Acheni ujinga, anzeni kujenga tabia ya kusafisha miji. Mtaendelea kuikala kwenye majungu.
ReplyDeleteKwanini watanzania hatupendi kuambiwa ukweli kwamba Dar ni chafu na tunakazania kubisha pasipo sababu ya msingi.Kwani tuulizane ukweli Dar ni safi unavyoona kama mahali ambapo kweli panastahili kuitwa safi.Dar ni chafu na hata huduma za vyoo hakuna katikati ya jiji na mnashangaa nini kama India miji yote mikuu ipo kwenye list na mji wetu sehemu kubwa ya jiji wanaishi wao unategemea kweli Dar itakuwa safi.Tuacheni unafiki jiji letu ni chafu na huo ndio ukweli hakuna la kubisha.Tembeeni muona nchi za wenzetu hata sio nzuri sana lakini ni safi sana mfanio Namibia.Tupa karatasi ndio utajua nini kitakutokea.
ReplyDeleteLabda watu wanashindwa kufananisha kuhusu Uzuri na Uchafu.Dar ni jiji Zuri hilo halina ubishi lakini ni kuchafu hilo pia hakuna ubishi.Kila mtu anapenda nchi yake lakini tukubali kuita speedi speedi na kijiko ni kijiko.Dar ni chafu hakuna la Kubisha na kazi ambayo tunatakiwa kufanya ni kusafisha jiji na kuhakikisha huduma muhimu zitapatikana.Hebu tuulizane jiji letu lina maji ya uhakika? Jibu hapana sasa kweli unatagemea kusafi utatoka wapi wakati vyoo vingi vitakuwa haviwezi kuflash na matokeo yake ni harufu moja kwa moja.Hata yule mjinga Michael Jackson kushuka kwenye ndege tu akakutana na harufu ya ajabu,sasa bado mnabisha tu.mnapollute mazingira na unategemea nini matokeo yake
Hawa jamaa nimewastukia kamba tupu. Iweje Dar iwemo Mogadishou, Somalia isiwemo?
ReplyDeleteWakalale Issa Michuzi nasie tuweke yetu. 1. New Oleans. USA
ReplyDelete2. South Central. USA
3. Liverpool. England
4. Playboy Mansion. USA
5. Headquater zao walioandika TOP 20 wajifunze kunawa kwa maji na toilet paper wasiwache ma baki yao nyuma. byeeeeeeee.
bongo tambarare
ReplyDeleteNaona Augustine mzee wa viwembe chachaaa umeongea tu ,Bongo tambarareeeeeeee mwanawane hata kama kuchafu
ReplyDeleteIt is a shame and it is true. japo ukweli unauma...compare dar na Arusha..Dar pachafu sanaaaaa..manasema walegee wanaouona mji wa dar mchafu lakini mtalegea wenyewe mmeshindwa kutunza jiji ... mayor wa jiji kaona hii... aibuuuuu
ReplyDeletePoa tu hakuna neno bwana tutafika tu DAR!
ReplyDeleteKwa nini tuwe na mji safi wakati akili zetu chafu? Tunawaabudu sana hao wazungu wanaojaza vichwa vyetu uchafu tukiamini kila tulichonacho ni kibaya, kwa hiyo hii list ya uchafu siishangai binafsi.
Basi na wakaage huko kwao waache kuja kutembelea mji wetu mchafu wa DAR!!
sasa the higher the points the better or the higher the points the worse. Nataka kujua nimeshinda mji wa wakwe zangu au wote tu wachafu tu...Once you get to bottom 25 I guess we are all dirty.
ReplyDeleteRaisi wa Dunia Joji Dabuliyu Bush amekaaa siku nne hapa Bongo. Kama tungekuwa wachafu tusingepata hiyo "priveleji". Hao jamaa wanatuonea wivu tuu ndio maana wametuweka ktk list. Bongo hoyeeeeee!. Halafu nyie wa-TZ mnaoishi ughaibuni mnaonekana hamjui kinachoendelea huku home.Nyie endeleeni kuishi kwa kubangaiza huko sisi huku tunawasha moto mbele kwa mbele.
ReplyDeleteNadhani walifika Kariakoo...uchafu chungu mbove kwani hata nzi kaona aibu!!!
ReplyDeleteMogadishu(Somalia) siioni hapo na nimefurahi sana.Am proud of my motherland eventhough i was born in tz and grew up there.Infact niko proud of both countries.Ninavyojua serikali ya bongo imejitahidi sana kuweka jiji safi so i dont think we deserve number 12.
ReplyDeleteAno.March 4, 2008 3:53:00 PM EAT,
ReplyDeleteneno sahihi ni udhaifu na sio Uzaifu bla! najua mko wengi na huyo mwanamuziki wenu Chege background yake ni manzese na TMK so Sinza ni uzunguni kwake so he may don bother... ni mtizamo tu toka Ukerewe
wamesahau new york!!!!
ReplyDeleteeh! bongo bwana hamtaki kuambiwa ukweli
ReplyDeleteBongo tunaipenda lakini ni kweli chafu. ukinywa maji yasiyo chemswa utakiona cha moto.
ReplyDeletetupo nchi za watu na ni Africa tunakunywa maji yale unachota tu bombani, na kuchemcha no nini na hakuna cha kuumwa tumbo wala nini
tujifunze usafi bwana
Haya mbona hawakuitaja Napoli(Naples)Italy.Taka mpaka usawa wa urefu wa nyumba!!!Hata watalii wanagoma kwenda kuzuru.
ReplyDeleteNaipenda nchi yangu, lakini kusema kweli ni chafu, hasa upande ya vyoo hospital na bar/retaurant, mfano mzuri, kuna siku nilikwa pale breakpoint choo maji ya ndoo mambo gani haya. pia kitu kingine sisi wenyewe tujifunze tabia ya usafi hasa tukiwa tunatumia hizo public rest rooms, utakuta watu wengine hawajari, wanajua kuna mtu atakuja kusafisha. Cutie....
ReplyDeleteMbona hatuoni posti zilizokuwa positive kuhusu mji wetu. Ndio!! nagative ziko hukusu mji wetu lakini positive ni nyingi sana. Hebu mulio nyumbani jikakamsheni muwaoneshe hao close minded people ambao waposti hizo habari za kututia aibu tu..
ReplyDelete