E bwana wadu wa globu hii ya jamii jamani namtafuta rafiki yangu SAID SONGORO, tulisoma Olympio Primary (LY)1988.
Then akaenda Shabaan Robert Sec School from 1989 - 1992. Alikuwa anaendesha Peugeout 504 Pickup. Alikuwa anakaa Kindondoni. ana ndugu zake i think a sister named Rabia and a brother named Salum.
Ana uasili ya kimanga(Arab) NO PUN INTENDED.
Then tulikutana at the pool (Kilimanjaro Hotel) mara kwa mara in the mid/late 1990's then hatujaonana ever since.
Please anayemjua au his contact info .....
email me
Thanks much !!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. michuzi naona shaaban robert shule mashuhuri dar, nimeiona kwa blogu yako mara kadhaa week nzima.

    ReplyDelete
  2. kuna Said Songoro anaishi helsinki, anatokea Bagamoyo, kama huyo wasioliana na wadau wa Helsinki wakupe contact zake.

    ReplyDelete
  3. ahsante sana ngoja nitafute info

    ReplyDelete
  4. Oya hata mimi nakumbuka nilisoma na Songoro mmoja wapo kule Nairobi Laiser Hill Academy, Ila sikumbuki jina lake la mwanzo kwani alikuwa darasa la chini! Wasiliana na waarabu wa mabus ya SAS pale Tanga wanaweza wakafahamu contact za kina Songoros....

    ReplyDelete
  5. Huku mwanza kuna Songoro kama watatu hivi wanakaa ilemela wanaendesha kampuni iliyopo ufukweni mwa ziwa victoria inayoitwa SONGORO MARINE (formerly known as PASIANSI BOATYARD) na wanashugulika na utengenezaji wa maboti kuna saleh, said na kuna major sasa sijui kama ni said huyo unayemsema wewe. wanapatikana kwa namba +255 28 2561 925 ama +255 28 2561961

    ReplyDelete
  6. Duh watu wangu ahsante sana for your info, nilibahatika kumpata siku ile ile ya Sat. GOD BLESS!!

    ReplyDelete
  7. michuzi umenikumbusha wadau wa shaaban robert mpo?

    ReplyDelete
  8. said songoro ni ndugu yangu (mtoto wa shangazi). anaishi oman sasa. major songoro wa mwanza ni mdogo wangu. kama bado hujampata, nijulishe ili nikutumie details. (nadiasupario@hotmail.com)

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...