Kwa niaba ya wadau wa tumaini university iringa, na kwa moyo wa dhati tunapenda kuwasilisha rambirambi zetu kwa familia,ndugu,marafiki na jamaa wote ufuatia kifo cha Kipenzi chetu Shushil Rajal ilichotokea jana usiku kwa ajali ya gari maeneo ya mwan`gingo iringa ,baada ya gari aliokuwemo mpendwa wetu kuacha njia ghafla ikiwa kwenye mwendo mkali!

Marehemu Shushul Rajal Anasafirishwa leo kuelekea nyumbani kwao Morogoro kwa ajili ya mazishi!
marehemu alikua anasoma degree ya kwanza kwenye course ya Community Development akiwa mwaka wa kwanza!
Marehem alikua mtu wa watu,mungu ailaze mahara pema peponi roho ya marehem Shushil Rajal!

AMEN!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Poleni sana wafiwa. Mungu aiweke roho ya marehemu mahali pema peponi. Amein

    ReplyDelete
  2. Sushil...of all people jamani...Oooh my God!!! Very shocking. I went to Forest hill with Sushil. She was defenetly a very nice person. Always had a smile on her face. Mungu ailaze roho yake mahala pema peponi. Michuzi asante sana kwa kutufikishia habari hizi sisi tulio nje ya nchi.
    I LOVE U SUSHIL...ALWAYS.

    ReplyDelete
  3. Sushil Raj...words can't express what I feel. I still can't believe you are gone!!!I still remember what an amazing kid you were in Primary school and I was happy you had grown up to be an amazing person!!! My condolences to Santa(Sushil's mom), Parminder(her sister) and the rest of the Rajal family. May you soul rest in peace belle!!!! We shall meet!!!

    ReplyDelete
  4. Hakika kifo hakichagui!Huyu binti alikuwa mtu wa watu chuo cha Tumaini,alikuwa so charming!amezimika ghafla!Like candle in the wind!
    Apumzike kwa amani milele!!

    ReplyDelete
  5. Jamani poleni.Kwani huyo mhindi huko kwa Mwang`ingo alikuwa anafuata nini kwani kule hakuna wahindi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...