jk akipokea mfano wa hundi toka kwa maafisa wa benki ya NMB Ole Loibagati na Shy Rose Bhanji kwa ajili ya mfuko wa elimu wa bagamoyo juzi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Safari hii 'specimen' ya cheki imesomwa vizuri kabla ya kupelekwa mbele ya mapaparazi.NMB mnaonaje mkatoa, zingine kusaidia kutengeneza kivuko cha Rusumo?Ni wazo tu.

    ReplyDelete
  2. Huyo Shy Rose mbona kila pahali yupo???kama kipepeo...duh na kweli watu wa kazi wanampenda!!!

    ReplyDelete
  3. This comment has been removed by a blog administrator.

    ReplyDelete
  4. NMB, BAGAMOYO IKO DAR HAWANA SHIDA SANA. TUMEKUWA TUKIONA PICHA ZA SHULE ZA KIGOMA AMBAZO KWA KWELI NI AIBU KWA TANZANIA YENYE MAPESA MENGI AMBAYO YAMEKUWA YAKICHOTWA NA WANACCM WACHACHE. SASA HIZO PESA SIMNGEZIPELEKA KIGOMA? AU KWA RAISI NDIO KUZURI?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...