waziri wa nchi ofisi ya makamu wa rais[mazingira] mh. dk batilda buriani akipata maelezo toka kwa mkurungenzi mtendaji wa kituo cha uzalishaji endelevu [CPCT] tanzania profesa cleophas migiro wakati wa kutembelea ujenzi wa jengo la kituo. wangine ni maofisa wa ofisi wa makamu wa rais mazingira. jengo hilo lilipo masaki, dar

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Duh! Majina mengine yanashitua! unajua nilipoona hilo jina juu ya picha nilishastuka kwamba nini tena kimetokea! kusoma maelezo kumbe ni jina la mtu!

    ReplyDelete
  2. Wee eugen ungekuwa kama Dada yako batilda ungekuwa mbali sana anyway I still respect you as long as you take good care of my cuz

    ReplyDelete
  3. Michuzi... Jina hilo tafadhali... limetushtua wengine...

    ReplyDelete
  4. Hivi ni buriani au baruani hebu tufafanulie tafadhal. michuzi sasa umezidi ishaanza kuwa mno hebu kapime macho

    ReplyDelete
  5. Duh haki we misupu, hiyo heading hapo juu, walah nilidhani tuna msiba mwingine tena, kuumbe ni jina la mweshimiwa...........ok

    ReplyDelete
  6. prof migiro, kaka michuzi naona naye anajitahidi, hivi ni professa wa nini, nani ana haabri.

    ReplyDelete
  7. Migiro ni profesa wa uhandisi UD, sina uhakika kama bado yupo UD au la

    ReplyDelete
  8. Kaka michuzi, unaweza kutuletea habari za Daktari wa kwanza mwanamke katika historia ya Tanzania kushika nafasi za daktari mkuu wa mkoa,wilaya kwani kuna mwanamama anaandika history za nchi za afrika na maendeleo ya akina mama kwenye ngazi za afya na maendeleo ya jamii...au kama kuna mdau anazo atushushie

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...