HATMA YA WATANZANIA NA UONGOZI WA MYSORE
Ndugu wa Tanzania wenzangu wa mysore. nimatumaini yangu wote kwa pamoja katika kipindi hiki ,tuko katika vugugu/sekeseke/mchakato wa uchaguzi ambao mwenyezi mungu akijaalia uhai na uzima tutakuwa katika uchaguzi wa kuwapata viongozi wetu wa Tanzania students association’s mysore(TASAM) 2008/2009, siku ya jumatano saa 2:30pm mchana, pale massagangotri ground karibu na mysore university.
Ndugu wanajumuiya ,yatupasa sisi kama waTanzania wa mysore kufahamu na kutambua umuhimu wa kuwa na viongozi ambao watasaidia kuipeleka jumuiya yetu mbele bila kuyumbishwa na watu wa aina mbalimbali,yawe mazuri ama mabaya,kwa sasa jumuiya ya waTanzania mysore imefika mahali inahitaji kuwa na viongozi bora na si bora viongozi .
Ndugu waTanzania wenzangu kwa wale ambao tunaofaham ,historia ya wanafunzi wakiTanzania mysore ni ya muda mrefu sana,kuliko hata ya miji mingine ya India km delhi,Mumbai,Pune,Hydrabadi,Tamil nadu na nk,miongoni mwa waTanzania ambao wamepata kusoma mysore university, ni Mh Dkt Salim Ahmedi Salim,ambaye historia yake kila mtu anaifahamu vizuri amewahi kuwa waziri wa mambo ya nje,Balozi wa Tanzania India(alipomaliza masomo yake hapa hapa mysore university alikuwa na umri wa miaka 22) Zaire,ujerumani,Italy,Ghana ,waziri mkuu waTanzania ,katibu mkuu wa umoja wa Afrika,na sasa msuluhishi wa darfur pale sudan,pia yeye ndie alikuwa muasisi wa Kwanza wa Jumuiya ya waTanzania mysore,ni mazuri mengi yamefanyika wakati huo ,nalieleza hili kwa sababu yanayo jiri leo ni tofauti kabisa yalikuwa yakitokea miongo hiyo iliyopita,sasa hivi waTanzania wa mysore wamegawanyika katika makundi ambayo wakati huo haya kuwepo kabisa na katu haikutegemewa hata siku moja kuwa itafika hapa ilipofika leo.
Ndugu waTanzania tukumbuke tunapoelekea katika hili sakata la uchaguzi wetu wa 2008/2009,tujiulize yafuatayo:kwa yule tunayetegemea kumchagua
1.je ni kweli ataweza kuiongoza mysore? Kama ilivyokuwa huko zamani?
2.je ataweza kuwaweka waTanzania kuwa kitu kimoja?
3.je anamakundi au hana makundi?
4.je ana,nia kweli ya dhati ya kuiongoza jumuiya yetu vizuri?
5.je ataweza kuleta mawasilianao mazuri kati ya Ubalozi na jumuiya?
Ndugu wanajumuiya tukishapata majibu ya maswali haya,basi natumai tutaweza kumchagua kiongozi bora na si bora kiongozi , tunategemea atoke ama VIJAYNAGAR,BOGADI,BANIMANTAP,DATA GARI,CHAMUNDI na nk,
Wanajumuiya tukishakuwa tumewapata viongozi wetu ,yatupasa kuungana kwa pamoja ili kuiletea heshima jumuiya yetu kama ilivyokuwa huko zamani,itatupasa kuvunja ngome zetu za kampeni na kuungana kwa pamoja ili kuiletea jumuiya yetu maendeleo bora zaidi,yale ambayo yemeanza kuonekana katika uongozi wa Ritha,Noeli.
Ndugu wanajumuiya tukumbuke siku chache tu zilizopita ,alikuja Mh Balozi wetu Mh John William kijazi(engineer) yalijitokeza mengi ambayo si mazuri kuyasema hapa,waliokuwepo katika mkutano ule ni mashahidi na viongozi wote wa Tasam 2007/2008…nadhani, hawakufurahishwa na lile lililojotokeza
Nalisema hili ,ili tunapokwenda katika huo uchaguzi twende tukiwa na dhana ya kwamba tutachagua viongozi ambao kwa kweli hawataacha suala kama lile lijitokeze tena katika JUMUIYA YETU,kwani yawezekana kabisa akaja kiongozi mkubwa zaidi ikawa ni aibu kama hatutakuwa makini katika uchaguzi huo wa kesho kutwa.
Namalizia kwa kuomba uongozi unaotegemea kumaliza muda wake masaa machache ya jayo kuandaa kamati maalum ambayo itasimamia uchaguzi huo kwa dhati,
-niseme tu kuwa itakuwa ni vizuri kamati ya uchaguzi ikawahusisha viongozi wa mataifa mengine kutoka Kenya,Somalia,Yemen,Eritrea,Iran
Namibia,korea……hii itasaidia kila mpiga kura kuwa na amani na kura aliyopiga,kwani tunaamini kabisa hawana wanachokijua kuhusu sisi kama
waTanzania,mambo yetu,taratibu zetu na nk.
NDUGU WANAJUMUIYA MAJINA YA WAGOMBEA YAMESHATANGAZWA NA KAMATI KUU YA UCHAGUZI WA TASAM.
NAFASI YA MWENYEKITI NA MGOMBEA MWENZA
1.GIBSON ESSEKO (MWENYEKITI)
2.GEOGRE LULABUKA (MGOMBEA MWENZA)
1.IDD HARUNA (MWENYEKITI)
2.HAMADI CHANGALE (MGOMBEA MWENZA)
NAFASI YA UKATIBU MKUU
1.MARK KOSHUMA (MAKOKO)- ( KATIBU)
2.BRIAN MAMBOSHO (MGOMBEA MWENZA)
Sina mengi sana wanajumuiya wenzangu,waTanzania wenzangu wa Mysore
Yangu ni hayo tu katika sakata hili la Uchaguzi wa Tasam 2008/2009.
Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Afrika
ALUTA COUNTINOUR……………..,
AHSANTENI.

Mna matatizo gani mpaka msimamiwe na watu wa mataifa mengine?Mkifikia hapo hamna sababu ya kuwa na umoja wenu, maana tayari ni things fall apart
ReplyDeleteSiwaelewi hawa vijana. Yaani kauchaguzi kadogo tu hako maneno kibaaao kwenye blog ya Michuzi, hawana njia nyingine za kuwasiliana kuhusu hizo tofauti zao, badala ya kuja kuyamwaga yote hayo hapa? Nadhani ingetosha tu kutoa tangazo kuwa uchaguzi ni lini na wapi, hayo mengine mkayamaliza ndani kwa ndani. Mnatupa picha gani?
ReplyDeletekweli unasoma kule au mzaha...manaake lugha mbona inayumbayumba???
ReplyDeleteHuko Maisuri nasikia ni kwa Mzee Tipu Sulutani...au masikini hujawahi kumsikia???
ReplyDeleteEbwana mhandishi uliowakilisha waraka unasoma Political Science au vipi ?, Najaribu kutafuta points unazotaka kusema nashindwa. Mzee kama unaandika feelings zako duh pole san. Mimi nilipiga shule hapo Engineering College yah JSS. Nafahamu rumba linavyowakata. Ila ningependa kupata contacts za huko kwenye kwani nataka kuja kutembea. Always old is old.
ReplyDeleteNINAWATAKIA HERI KATIKA UCHAGUZI WENU ILA TU ISIJE KESHO KAJA KIWETE HUKO MAVALIA JEZI ZA KIJANI NA KUJIITA WANACCM NA SI WATANZANIA ILI MPATE FADHILA TOKA KWAKE. TUMESHUHUDIA HUKU WANAFUNZI WA VYUO KUJIFANYA WANACCM ILI WAPATE MIKOPO KIRAHISI, IKIGONGA MWAMBA WANAANDAMANA WAKIJIFANYA WATANZANIA ILI TUWAUNGE MKONO.
ReplyDeleteHawa watu vipi mbona hawaeleweki? Nimejaribu kusoma mpaka katikati nika lose interest kabisa. Acheni kutuwekea upumbavu mnaoweza ku handle nyie wenyewe. Sisi itatusaidia nini mkichaguana huko mliko???
ReplyDelete