KWA niaba ya Makamu Mwenyekiti wa Chuo cha St. Clement, Mkuu wa Kitengo cha Watafiti cha St. Clement Kanda ya Tanzania Profesa Sengo akimtuniku Shahada ya Uzamili ya Heshima ya Utawala wa Umma Naibu Waziri wa Wizara ya Ushirikiano Afrika Mashariki Mohammed Abuod Mohammed katika ukumbi wa chuo kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA).

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Tunaweza kujifunza vitu vya msingi katika mazungumzo, uandihsi na mawasiliano ya kawaida? Sasa hapa ni nani anamtunuku nani. Kwa kutumia "kulia" na "kushoto" ingeeweka zaidi. As it is, it is anyone's guess except for those who know the two lads.

    ReplyDelete
  2. Profesa Sengo ni huyu aliyevaa kofia.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...