Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda akimpongeza Juma Nkamia baada ya kutangazwa kuwa msomaji habari bora wa Radio ya Shirika la Utangazaji la Tanzania (TBC) katika hafala ya uzinduzi wa Shirika hilo iliyofanyika kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar usiku kuamkia leo. Katika ni Mkurugenzi Mkuu wa TBC, Tido Mhando
Waziri Mkuu Mh.; Mizengo Pinda akimpongeza Sued Mwinyi ambaye alitangazwa kuwa mtangazaji bora wa habari za michezo wa Radio ya Shirika la Utangazaji la Tanzania (TBC) katika hafla ya uzinduzi wa Shirika hilo ilizofanyika kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar usiku kuamkia leo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Michu/Mdau yeyote,hivi Sekioni Kitoju na Amhed Jongo wako hai??If Yes wako wapi.Tafadhali

    ReplyDelete
  2. Mdau tafadhali sana kongoli Sauti ya Ujerumani www.dw-world.de/kiswahili utampata kaka Sekioni wa Kitojo kwa sauti na picha..
    125th st./Harlem

    ReplyDelete
  3. yote tisa mi nakumbukakipindi cha mama na mwana tu. hadithi ya ua jekundu na Adili na nduguze.

    ReplyDelete
  4. Hongera Mkamia, nakukubali mshikaji wangu unajituma kweli ,

    ReplyDelete
  5. wewe anon!sio KITOJU , ni KITOJO, na wala sio AMHED, ni AHMED....

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...