Home
Unlabelled
tino afanya kweli
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Congratulation dogo..Damn siku zinakimbia it was like yesterday tunawakaribisha Dodoma leo ushakua na kuweka jiko ndani. Inatupa moyo na sisi Kaka zako tukasirike...Ahahahha. I got nothing but love 4 u son.
ReplyDeleteYour bro Sam USA
this is the MAN WITH BALLS,mwanaume yoyote mwenye elimu akaelimika anaoa mwanamke mweusi.
ReplyDeleteby the way you guys look HOTTT!!!!
Maulana awabariki!!
HONGERA ZENU WANANDOA TUNAWATAKIA KILA LA HERI,HII NDOA ILIFUNGWA MAHAKAMANI/KOTINI..BWANA HARUSI UPO MZEE
ReplyDelete!!!!!Hee bwana heee.....!!!!!.Michuzi....Huyu jamaa mbona kaoa Demu hamfananii kabisa..?!!!!!!!.Ni nini,Kulikoni.......???!!!.
ReplyDeleteMdau,
usa/Mn.
MMEPENDEZA MAHARUSI SIO SIRI....
ReplyDeleteOUT OF TOPIC KIDOGO...NIMEMKUMBUKA CHIBIRITI....THIS IS FOR HIM; KAKA CHIBIRITI MBONA KIMYA KIMEZIDI? NIMEKUMISS KWELI HEBU IBUKA BASI NIFURAHI
Michu,Inaonyesha huyu mshikaji alikuwa anaonja tu,kumbe kitu kikakubali akalazimishwa kumuoa.Si unaona mwenyewe kaka Michu.....!!!!!.
ReplyDeleteKiona Mbali.
Ichamo hapa! Hongera sana kijana,mke mzuri,ila panya sijamuona naona alikua anapiga picha. Hiyo suti tuu !!! mi ndo maana nafagilia bongo,mpo juuu !!!!
ReplyDeleteYoung Bro! haaaaa! hongera sana, ni kama shocking news kwangu but its ol gud.....kutokea mazengo(east zoo) ndani ya chamber squad ingawa wengi hawatambui hilo kuwa ulikuwa mbember wa pili baada ya kaka zako(kabla ya hawa wanaojiita kina ngwair na kina mez B)...ni hatua kubwa sana kwako.....challege sio kuoa, bali ni ku maintain.....maana najua status ya ma celebrity ndoa kuishia mwaka mmoja au miwili(dont allow that)...
ReplyDeletePkay Disciple
waw thank nice na pia ni jambo la kheli halafu hapo kama shoprite
ReplyDeletehongera sana tino,kila la kheri na maisha mapya ya ndoa
ReplyDeleteHongera kijana kwa kupata mke,hakika mmependeza sana,nawatakia kila lakheri na maisha marefu ya ndoa bwana na bibi Makalla.Mungu awabariki.
ReplyDeleteHosea,Arusha.
anon 3:20 unaanza leta ubaguzi wa rangi, so ina maana hata mwanamke mweusi mwenye akili hawezi olewa na mtu mweupe au? acha hizo wewe, mapenzi haichagui kabila...mambo ya ubaguzi kwenye kuchagua mwenzi wa maisha yashapitwa na wakati, sikuhizi Mzungu na mchina wanaowana, Mjapanese na muafrica vilevile..YOTE MAISHA.
ReplyDeletebi harusi hafananii halafu hilo gauni full kushonesha kwa mafundi wa ilala mchikichini
ReplyDeleteOyo pips are looking good, dont hate! racist over there anony2. Keep ur retard comments and someone there who thinks negatively, show us ur bitches! Mulox
ReplyDeleteHongera sana kijana mungu akubariki.Wewe unayejita mdau wa usa unadai demu mbona hamfananie kwani kakuolea wewe?wewe mshamba tuhata huko usa unaoneka ndiyo wale wapiga majungu,yes mtoto katulia weusi fashion bwana kautafute dukani kama utaupata,nadhani wewe bado unadandia tu mademu yote maisha kaka au kama ni dada basi huko usa ni dungayembe
ReplyDeleteHongera sana familia zote mbili.
ReplyDeleteLakini nina swali,ina maana sherehe za harusi zilifanyika madukani ama ndiyo walitoka shereheni wakaenda shopping?
Nimetoka bongo muda mrefu lakini hapo panaonekana kama shoppers Plaza kati ya border la mikocheni(kisiwani/mtaa wa vyura) na Msasani
Tarehe Saturday, March 29, 2008 4:22:00 AM EAT, Mtoa Maoni: Anonymous
ReplyDelete!!!!!Hee bwana heee.....!!!!!.Michuzi....Huyu jamaa mbona kaoa Demu hamfananii kabisa..?!!!!!!!.Ni nini,Kulikoni.......???!!!.
Mdau,
usa/Mn.
we kinyago hapo juu uliyeandoka hiyo comment hapo, eti hamfanii, kama yeye amependa wewe yakuhusu nini?? utafikiri wewe mzur, weka picha na sisi tukuone, mie mijitu ya hivi huwa yananiudhi, we unataka tabia au sura, unaonyesha ni kiasi gani una akili finyu, mshamba and uneducated. 1 more thing hujafa hujaumbika, hope utachange akili yako finyu, panzi we
Hongera sana sana. Mmependeza mno. Bibi harusi mweusi asili hadi nimemzimia.
ReplyDeleteMdau
UK
Kwakifupi maharusi mmependeza na Mungu awape amani na baraka ktk ndoa yenu sisi kina naniliu ooh mara biharusi hafananini mara harusi imefungwa shopper haituhusu jamani tunapaswa kusema hongera nakuwaombea wanandoa kwa uwamuzi wao waliochukua wakufunga pingu za maisha kwani wapo wengi bado dusa dusa vya watu kufunda ndoa wakatulia na wenzi wao wanaona shida.
ReplyDeletegauni bab kumbwa honegera tino
ReplyDeleteOk, TINO, Si nshakwambia za warembo? Skia salam zao..."Hi we Vijimambo"....Niko Dom nafurahi, Home najidai, East Zu' Holla Bak, Usione Shy"......Ebwana eeeee...Big Up'sana Hommie, thats a Nu Lyff, ...Cha msingi/msg ni kwamba, "USIMTAMANI MKE WA JIRANI YAKO" .... lol....
ReplyDeleteMwanao SAMCHOM, mwanachemba wa kasi.
NB: Michu, huyo ni Makalle, aint Makalla.
WALICHOMPENDEANA MNAKIJUA? AU MNAANZA KUKOSOA WATU KWA VIGEZO VYENU:
ReplyDeleteHONGERA MAHARUSI:
^^ anony wa march 29 2:53:00 pm (jaman muanze kuandika majina ishakua tabuu)enewei hapo sio shoppers plaza hapo ni zantel plaza zamani ilikuwa drive in plaza kama unakumbuka drive in ilipokuwa basi ndio hili jengo lilipo pembeni ya ubalozi wa us na kama sikosei hapo bwana harusi na mai wive wake nakama sikosei wanaenda kupiga picha photopoint duka la kaka michuzi linapiga picha zakiprofesheno lol pia linapatikana mwanamboka gas station pale (plug) na mayfair plaza (plug)
ReplyDeleteyeyeee.. my dear you look good,u and u are wife and dont forget about those people they dont like to see two people together.....
ReplyDeleteMuch loveee and Peace.
from Mdau Miami,FL
haya Kaka hakikisha unajua unachokifanya uzuri ni tabia na sura.Angalia isiwe kama ya hollywood ikaisha haraka kama matairi ya michellin.Anywaway nakupongeza kwa hatua uliyochukua siri ya mtungi aijuayo ni kata.Watasema mwisho watalala.
ReplyDeleteHongera East zoo
ahsante sana saleesha.Mimi ndiye niliyeandika(ila sikuandika jina) juu ya shoppers plaza.Na nilikuwa sijui kama drive-in cinema imeshageuzwa kuwa shopping center a.k.a Plaza.Pamoja na hayo hiyo mitaa siyo mbali na nilipotoka maeneo ya "Gezaulole" kama unapajua.Nakumbuka enzi zile tulikuwa tunakuja kuangalia Movie.Big up kwa msaada
ReplyDeleteHAPO NI MY FAIR PLAZA ILIPO OFISI YA MICHUZI PHOTOPOINT KARINU NA TMJ HOSPITALI
ReplyDeletemi naona watu hapa wake au mademu zao sijui ndo macinderela au beyonce maana wabongo wamemkazania mke wa tino si muoe wa kwenu kwani kakuolea wewe!!! kamua tino bwana achana na vinyago vya mpapure hawana lolote kazi yao mabox na majungu tu
ReplyDeleteone!
Ebwana kumbe miaka imekwenda ,nilijisahau kumbe tushakuwa wakubwa anyway nimeshangaa kuoa mzee tino umekamata mke nikasema du mwana kumbe tushakuwa wakubwa ,Maana nakumbuka watoto wauzunguni MUSSA MNYAUYE ,TUMAINI ,na WEWE mwenyewe enzi hizo za mazengo .Kama isingekuwa hii blong nadhani tungepotezana kabisa.Kila la kheri kaka .unaweza nipata kaka e mail hii ogm12000@yahoo.com unaweza mpatia Musa na wengine wote waliomaliza mazengo primary 1994
ReplyDeletemdau Birmingham
Wadau, naomba kujua huyu bibi arusi, ameshika mkono wa nani?
ReplyDeleteDAAHH MSELA WANGU NIMEFURAHI KUKUONA NDANI YA SUTI MAZEE... MMEPENDEZA SANA NA MAMA WATOTO...MUNGU AWABARIKI KATIKA KILA JAMBO...
ReplyDeleteMSELA WAKO