Kaka Michu,
jana (Jmosi) dogo na wadau wengine wamepata 'tunondozz' twao pale Shule ya Mtakatifu Antoni.
Picha zifuatazo ni hao wadau,ambao nimewakaribisha rasmi hapa globuni leo.
Mzee Ruksa alikua mgeni rasmi
Mdau wa kimyakimya,
ringomoses (jr)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Alhaji Sheikh Ali Hassan Mwinyi,you look young as ever...Huyo ndio mfano wa uaminifu nchini Tanzania...long live Mr President!!!

    ReplyDelete
  2. Michuzi, hata kumaliza form 6 ni nondozzz? hadi kuvishwa kofia ya degree???Nadhani tuna-misuse majoho ya kuonyesha nondozzz. Ni vizuri majoho ya kumaliza sec yawe tofauti na ya vyuo yasiwe na kofia kama za kumaliza nondo yenyewe vinginevyo hizo ni nondo 'feki'

    ReplyDelete
  3. wow! shule yangu hii nilimaliza tunondo hapo hapo pia...

    Namkumbuka Masabo jamani

    class ya 92-94 mpo????

    ReplyDelete
  4. da....michuzi umenikumbusha mbali mzee nilipokuwa napata tujinondozi kangu 2004-2006,du...uyo headmaster namkumbuka kumbe bado yupo.mimi mdau wa hapa oslo.norway.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...