safu ya uimbaji ya twanga
prince mwijuma muumini akiwa kazini. yeye pia amejiunga na twanga akiibukia chipolopolo ambayo ipo kambini katika harakati za kusukwa upya


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. WANABLOG WENZANGU, MBONA MSAFIRI DIOF SISIKII ABARI ZAKE, AU HAYUPO TENA NAHAO JAMAA WALA CHIPOLOPOLO. WOTE TUNAJUA KUA KILE NDO KICHWA, KWA WANAO ELEWA MUSIC, JAMAA YULE BONGO PALE HAKUNA ANAYE MGUSA. ANAMASHETANI YA KUIMBA YULE MSHIKAJI. WAPI BATILI MAYO, KAKOBADIKA KAMWAGA MWINO. MZEE KIMOSI KIPILI KANAMT....ANAYE JUA NAOMBA TUPE ABARI. BILA YULE KICHAA, HAWATO KUJA WAFIKIE ATA ROBO YA NGWASU WANA KUNGWASUMA BAHARI YA KUNGWASUKA. HAHA HAA!! SAUTI YA SIIIIIIIMBAA!!

    ReplyDelete
  2. Kweli kabisa Asha Baraka Mungu akujalie uendelee kuwa na moyo wa imani kama hivyo kwa sababu hawa jamaa kila kukicha wanahama wakishashindwa wanarudi na unawapokea kama sikosei muumini alitoka Twanga kwa nyodo sasa karudi tena na umempokea tunamsikilizia huyo Choki kipaji kikishashuka atarudi Big up mama

    Katolchi)

    Katochi

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...