chakachaka akiwa meza kuu na mh. maokola-majogo na madame rita aliekuwa mgeni rasmi usiku kuamkia leo ukumbi wa diamond jubilee. hata hivyo ingawa onesho lilikuwa zuri lakini watazamaji walikuwa kiduchu kwa kile wajuzi wa mambo walichokiita promosheni hafifu chakachaka jukwaani usiku wa kuamkia leo ukumbi wa diamond jubilee

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Uzuri wa wabondeni ni kupenda vitu vyao vya asili.Angalia chakachaka alivyovaa hakuna cha mambo ya magharibi wala mashariki ni Kibondeni tu na anaonekana yupo comfortable.Hawa masupa-nyota wetu huwezi kumuona hata mmoja anavyavaa kama hivi.

    ReplyDelete
  2. Mbigiri uasili upo umasaini tuu!!si unamuona mr yebo na karolla kinasha?wale asili iko kwenye damu!masupa star wengine wa bongo wanajifanya wazungu..na wazungu wanajifanya waafrika kazi kweli kweli!!...kyekue

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...