Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Thanks for the update, It seems US Dollar has gone up against TZ shillings.

    I must say one of the few countries where US Dollar is still strong against the local currency.

    This must be damaging for the local businesses, causing price hike particularly on Food products and other Groceries, because all other major countries where business man and woman are buying these goods from the Dollar has weakened over a short period of time within the last 6-12months. It must be devasted for them and wananchi at large. VERY VERY SAD.

    By Mchangiaji.

    ReplyDelete
  2. Shilingi ya Tanzania kupanda dau dhidi ya dola ya kimarekani ni matokeo ya juhudi kubwa za gavana mpya na waziri mpya wa feza katika kukuza uchumi wetu. Hongera gavana na waziri wa feza.

    ReplyDelete
  3. Wewe Tiga, any 4:22.. Shillingi ndio imeshuka thamani, au hujafahamu kilichoandikwa. Umelala nini ??

    ReplyDelete
  4. kaka michuzi haya mandishi ya pembeni mbona hayaonekani uzuri?

    ReplyDelete
  5. Mungu wangu, shilingi ndio inazidi kuporomoka kila kukicha kama maporomoko ya victoria.

    Hivi hii nchi yetu haina watu waliosomea uchumi na kuilinda shilingi yetu. inakaribia sasa shilingi ya TZ kuwa kama makaratasi ya Zimbabwe

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...