MPIRA UMEISHA SASA HIVI NA SIMBA WAMELALA 3-1 AMA JUMLA YA BAO 7-1 (UKICHANGANYA NA 4-0 WALIZOPIGWA NIGERIA) NA KUTOLEWA KWENYE MICHUANO YA KLABU BINGWA SOKA BARANI AFRIKA.
YANGA NAYO ILITOKA DROO YA 1-0 NA AL AKHDAR YA LIBYA NA KUJIKUTA INATOLEWA NJE YA MICHUANO YA SHIRIKISHO. KWENYE MCHEZO WAO WA KWANZA HUKO TRIPOLI YANGA NA AL AKHDAR WALITOKA DROO 1-1
YANGA NAYO ILITOKA DROO YA 1-0 NA AL AKHDAR YA LIBYA NA KUJIKUTA INATOLEWA NJE YA MICHUANO YA SHIRIKISHO. KWENYE MCHEZO WAO WA KWANZA HUKO TRIPOLI YANGA NA AL AKHDAR WALITOKA DROO 1-1
HII NDO KUSEMA BONGO HATUNA TENA MWAKILISHI WA NGAZI YA KLABU KATIKA MICHUANO YA KIMATAIFA MWAKA HUU. LABDA TUSUBIRI MATOKEA MAZURI TOKA KWA TAIFA STARS KWENYE MICHUANO YAKE IJAYO


Unajua sasa ndo wabongo watajua sasa nini hasa tatizo la soka. Wamepigia kelele Maximo weweeee kana kwamba yeye ndo anasababisha kiwango cha mpira kushuka, sasa huyo kaseja wanayempigia kelele kila siku, hebu cheki amefungwa magoli saba!!!!!
ReplyDeleteTatizo la soka bongo ni upambavu wa mpira wa riadha!!!!! kamwe hatatweze kuendelea na mpira wa riadha, ndo maana tunafungwa hata na Yemen! Hebu hao viongozi wa tff waanze sasa na mkakati wa kuanzisha professional leagues...only then will we ever be able to play good football.Jamani hawaoni akina Misiri? na mafanikio yao??
Hata tukimletathe best coach in the world kufundisha taifa stars kama, timu za ligi zitakuwa mbovu namna hii kwa kucheza mpira wa riadha hatutafika mbali.
Oyaah Anonymous April 06, 2008 7:11 PM ni mpira wa ridhaa sio riadha hizo ni mbio!!!
ReplyDeleteMichuzi,nakubaliana na mdau wa kwanza hapo juu kwa 100% nakubaliana na maximo pia kwa 100%.Mpira wa ridhaa(Riadha?) hautatupeleka popote.Vilabu vyetu haviwezi kuwa na nguvu kama wenzetu bila kuwa na professionals wakutosha,tusijidanganye.TFF mliangalie sana hili,dunia inakwenda kwenda kwa kasi ya ajabu sana,tubadilishe mfumo wa Football.Kwenye michuano ya mitoano kama hii,timu zinacheza kwa mbinu zaidi kuliko kuwafurahisha mashabiki ili mradi usonge mbele na hasa zinaokuwa ugenini,iwe UEFA iwe wapi,kwa sababau ya professional players(Mifano tumeionana ulaya na Africa).Nakubaliana na Maximo,huwezi kuwa na timu nzuri ya Taifa kama vilabu havifanyi vizuri.Never,ever hata ungemleta kocha kutoka mbinguni!Chonde chonde TFF!
ReplyDeleteHivi ndugu zanguni mnaopigia debe professional football munazungumzia simba na yanga tu au vilabu vyote? kwa mtazamo wenu mnadhanitimu kama manyema ,ashanti,prisons,coastal union,bandari mtwara, lipuli,mbagala market,jkt ruvu,polisi morogoro,kwa uchache kuzitaja zinaweza kumudu huo mfumo?Hata hizo yanga na simba zenyewe haziwezi pamoja na kujaribu kwao kujiingiza katika huo mfumo.Uendeshaji mpira kwa mfumo wa kulipwa unategemea kwa kiasi kikubwa na hali halisi ya uchumi na elimu,kwa uchumi tulionao na kiwango chetu cha elimu hicho kitu hakiwezekani tusidanganyane,tatizo tulilonalo si kwa sababu ligi yetu sio professional bali ni ukosefu wa seriousness kutoka TFF mpaka vilabuni kwa viongozi,wanachama na hata wachezaji.Miaka iliyopita kulikuwa na sheria kwamba mchezaji akisajili timu fulani mwaka huu basi haruhusiwi kuhama mpaka ipite miaka mitatu,hii ilisaidia kujenga timu zenye uelewano baina ya wachezaji kwa kukaa pamoja kipindi kirefu ( kumbuka ushirika moshi,tukuyu stars,pan africa,african sports ,yanga na simba za wakati huo hata timu ya taifa ),leo tunashuhudia kila msimu wa usajili timu zinafumuliwa kama vile haitoshi kuna kitu kinaitwa dirisha dogo kati kati ya ligi hili linatumika kuziangamiza timu ndogo mfano mzuri ni timu za kagera sugar na toto african ambazo zilianza vizuri ligi awamu ya kwanza lakini baada ya dirisha dogo zimedorora kwa kuondokewa na wachezaji wake mahiri vicent barnabas na mumbala ambao wameenda kuua vipaji vyao jangwani kwa hiyo TFF isipoliangalia hili basi mpira wetu hautafika popote pamoja na kuajiri makocha wazungu wanaolipwa mapesa kibao.
ReplyDeleteWabongo hatupaswi kutoa macho juu ya matokeo haya maana ni haki yetu tumevuna tulichopanda na tutaendelea kuvuna kila siku,watu wa mpira TZ hakuna sio viongozi mpaka wachezaji,viongozi wengi wapo kwa ajili ya maslahi binafsi na wachedzaji nao kujiona tayari wapo juu ili hali hakuna lolote pia magazeti nayo yapo zaidi ki biashara kuliko hali halisi,UTAKUTA GAZETI YANGA KUUWA LIBYA LEO,YANGA WAPO FIT ILE MBY,SOKA YA YANGA NI YA KUTISHA,SIMBA YAGUNDUA MBINU YA KUWAMALIZA ENYIMBA mnawapa moyo bure wa TZ ili hali walishajikatia tamaa mnaturudisha tena kwenye imani kumbe hamna kitu ni upuuzi mtupu mtuache na Arsenal,man u,chelsea, barca na wengine sio huku TZ,tazama mnapata penalt dk ya 82 eti mnakosa mpira bomu, nimechikia sn na sitaki tena kusikia,
ReplyDeleteWhat is Professional football? A player to earn more than what he/she spend in playing football, thats a simple definition. Kinachotakiwa ni kuandaa vijana tangu wadogo, haiwezekani ukataka kwenda peponi kabla hujafa. Anndaa timu za Under 12, 15, 17 na 20 tuone kama hao Enyimba watatuenyimba. Tatizo letu ni maneno mengi vitendo hakuna. Tanzania hatuhitaji kocha wa kigeni, tunahitaji kujenga misingi kwanza!!!!!
ReplyDelete