
Sinema ya BONGOLAND II, itaonyeshwa ulimwenguni kwa mara ya kwanza hapa mjini Minneapolis katika ukumbi wa sinema wa OAK STREET CINEMA
Kutakuwa na shoo mbili...ya kwanza itaanza saa nane na ya pili itaanza saa kumi na moja jini. Nyote mnakaribishwa sana.
Huu ni uzinduzi rasmi wa sinema ya Bongoland II. Hii ni sinema iliyoshutiwa mjini
Kama Mzee Kipara, Huyu ni mzee wa zamani sana ambaye alicheza katika michezo ya redio na umaarufu wake katika sana Tanzania bado ni wa hali ya juu.
Pia yumo Bi Chuma Selemani Mzee ambaye huko Afrika Mashariki ameshiriki katika sinema nyingi tu zilizotengenezewa pale Dar-es-Salaam.
Kwa upande wa kizazi kipya kuna wasanii chipukizi wengi hasa hasa watu kama Peter Omari ambaye alikuwa mkazi wa Minneapolis na ambaye ndiye msanii mkuu katika sinema hii.
Peter alikuwa katika sinema ya Tusamehe kama mchungaji. Vile vile kuna wasanii chipukizi kama Shafii Abdul ambaye kusema kweli anaonyesha uzoefu mkubwa katika fani hii ya usanii.
Mwanamziki maafuku wa bongo
Katika utengezaji wa sinema hii, Kibira Films ilishirikiana na chuo kikuu cha
Kwa ujumla, hii ni hatua kubwa sana kwa sababu lengo letu ni kuupamba utamaduni wa watu wa Afrika Mashariki na hasa Tanzania. Pia ni kuvionyesha vipaji vya wasanii katika sehemu za kimataifa.
Petter Omari nakufagilia kazi nzuri, nimeona trela nasubiri picha kamili. Hongera sana kaza buti.
ReplyDelete- kumbuka SHALOM kwa sister stella.
Typing.
Mwarabu wa Shaaban Robert, Sa..ma.
jamani bi chau na mzee smolo na majuto wakowapi na wao?tunakutakieni kila la heri wasanii wote.
ReplyDeleteMimi nitaenda kuiona halafu nitawapa feedback! Niko kwenye countdown. 48 hours before Bongoland II premiere.
ReplyDelete