Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Kudadadeki bro michu hii balaa..KP unatuvunja mbavu yaani hapo mtu mzima ameshatandika Jack danieles za kumwaga lakin bado hakieleweki.. Muafaka si mchezo..keep it up KP

    ReplyDelete
  2. Michuzi,

    Breaking News.

    Yule prime Minister wa Ireland, aliyekuja kutembelea Tanzania miezi michache iliyopita, anatarajia kujiuzulu May 6 mwaka huu.

    Sababu, alijaribu kuibana tribunal ambayo ilikua inafanya kazi ya kumchunguza kuhusiana na kula rushwa miaka 1990s kupitia mahakamani. Viongozi wa serikali ireland na UK wanakuwa vetted kiasi ya kwamba unachunguzwa kila pesa inayoingia na kutoka kwenye account yako. Pakitokea pesa yoyote ambayo haijulikani imetoka wapi au umepewa na watu tu, hata kama ni zawadi lazima ijulikane ni kwa sababu gani na dhamira gani, yote hayo lazima ujieleze, na vitendo vyako vyovyote kama vitaonekana kupendelea au kusaidia wale waliokupa rushwa ni tendo la jinai. mathalani kuwapa tenda ya kiserikali, kama ujenzi, utengenezaji wa bara bara n.k.

    Sasa yeye inasemekana kala rushwa miaka ya 1990s, sasa hao jamaa hao wa tribunal wanafanya uchunguzi wa kina, similar na hilo saga la ripoti ya Kampuni ya kusambaza umeme huko TZ.

    Kwa mahesabu yao pesa yote kwa ujumla ya miaka ya 91-99 ni kiasi cha Euro 250,000. sawa na 450Millioni Tz Shillings. Ambazo pesa hizi hajatoa maelezo ya kutosha ni vipi amezipata.

    Kwa hiyo kinachofuatia ni kuwa hii tribunal bado wataendelea na kazi yao, na kutoa ripoti ambapo kama kutaonekana uhalifu wowote Mheshimiwa Bertie Ahern, atapitishwa katika vyombo vya kisheria.

    Tunategemea na kwetu TZ tutafikia hatua hiyo, mambo taratibu taratib.

    The Chicken is coming to roost.

    Ripoti zaidi pitia BBC.

    ReplyDelete
  3. Hapa ndipo ninapo choka mbaya!CCM badala ya kudhihirisha UKOMAVU WAKE na UKONGWE WAKE kama siyo UMAHIRI WAKE katika siasa kwa kuwa Chama Kiongozi na kuonesha njia kwa vyama vinginevyo ambavyo kwa rika la CCM bado ni kinda katika siasa BADO CCM INACHEZA MAKIDA MAKIDA .What is there to discuss any further in this Muafaka Fiasco?Badala ya kupitisha uamuzi wa kiutu uzima kuzima Fukuto la Kisiasa na Hali ya Kutoaminiana visiwani Zanzibar na ndani ya CCM yenyewe bado watu 'WAZIMA(?)',bila ya aibu yoyote wanachochea mtafaruku usio na maana yoyote basi tu ili kudhihirisha kwamba 'BWANA MKUBWA HAKOSEI'.Hapana katika hili Hapana.Mimi nafikiri busara zitumike tena kwa viongozi wa CCM wakutane tena kidharura na kulitolea tamko jingine lililo kwenda shule zaidi kuhusu suala la serikali ya mseto visiwani Zanzibar.Vinginevyo,ule uchaguzi mkuu wa 2005 basi ni BATILI.Na kwa maana hiyo uitishwe uchaguzi mwingine Visiwani kabla ya 2010 ili kieleweke.CCM wao si wana uhakika walishinda visiwani kwa kishindo,tuone sasa katika uchaguzi huo utakao rudiwa CCM itashinda tena kwa dhoruba ya Sunami?CCM IKISHINDATENA UBISHI UMEKWISHA NA MIGOGORO YOTE IMEPATA UFUMBUZI.CUF watalazimika kusalimu amri.Hiyo ndiyo Demokrasia.Hatutaki Janja ya Nyani.A BIG NO TO Political Illfated Manouvres aimed at Suppressing the will of the VOICELESS MAJORITY!Ni dhambi kwa Mungu.Maana kwenye Vikao vya Muafaka hakuna la maana lililokuwa likifanyika isipokuwa kugeuzana wajinga tu na kupoteza muda,wengine wakiwa serious na mazungumzo na wengine wakikejeli dhamira za wenzao waliokuwa makini katika mazungumzo hayo,kwa kuvigeuza vikao hivyo sawa kabisa na fursa ya kwenda kujiliwaza kwa toti za muafaka!Good Work Kipanya!Tukikutana nitakuzawadia Juisi ya Pilipili na Supu ya Ndimu!Msalimie huyo mama aliye ku post 'pombi hii iniliwesha kwelikweli mpaka nashindwa kuvuka Bombi hii na Bombi hii!taaaaaaaaaaaaaaaaaaaaabu!

    ReplyDelete
  4. It is incredible, CCM governemnt using bullying tactics to suppress voices of opposition.

    They were never serious at the first place, it was just a show off or like window shopping never had money to spent.

    I hope they wont regret their behavior, over time people will understand that, when everyone will say enough is enough. I hope I will live long enough not to see that day.

    By Mchangiaji.

    ReplyDelete
  5. KP uko juu sana, katuni zako zina degree mbili kwa kweli. Keep it up maana kama ujumbe unafika vilivyo.

    ReplyDelete
  6. Michuzi najua wewe ni mwepesi wa kupata habari. tueleze ukweli je! Father Kidevu yupo hai huko Comoro au ameshakufa wanatuficha???

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...