
Cristiano Ronaldo missed a penalty as Manchester United held Barcelona in a cagey Champions League semi-final, first leg at the Nou Camp.
Gabriel Milito needlessly threw his hands in the way to block a Ronaldo header in only the second minute.
But the Portuguese star wasted the opportunity by sidefooting wide.
Barcelona dominated the game and substitute Thierry Henry almost caught out United keeper Edwin van der Sar in the dying stages.
United will be rightly pleased with their defensive display, especially having lost Nemanja Vidic before the game to a stomach problem.
But they may live to regret Ronaldo's early miss from the spot when the two sides meet again at Old Trafford next Tuesday.
-------------------------------------------------------------
Kaka Michuzi,
Naona kwenye post yenu na mdau mmoja wa Liverpool huko nyuma mnalalamika kuwa Ref jana amewaonea.... Hahahaha tatizo lenu mmezoea vya kunyonga.... Kuchinja mnaogopa damu itawachafua heeeeeee.
Kumbuka 2005 Ref aliwabeba against Chelsea mkafunga goli moja la utata sanaaaaaa mkaenda mkachukua kombe.
Few weeks ago against The Gunners mlibebwa na Ref kwa kukataa penalty against you. Hata wewe unajua ile ya Hleb na Kuyt ni Penalty lakini Ref akawabeba.
After a week mkatengewa Penalty haramu against Arsenal tena at Anfield.... Jamani referees siku zote wapo upande wenu, jana jamaa kuzidisha vile visekunde tu vichache mkajifunga mnalalamikaaaaaaa!!! Je Arsenal wasemeje kuhusu maamuzi ya marefa kwenye matches zilizowafikisha hapo Nusu fainali? Kaeni kimya bwana...
Safari yenu imefika.Pia bora Final waingie Chelsea ili kama wakikutana na Man Utd match iwe tamu kuliko muingie Liverpool ambao ni wateja wa milele wa Man Utd... samahani kidogo kwa mashabiki wa Yanga... Yaani Liverpool kwa Man Utd ni kama Yanga kwa Simba!!!! Kuna contract ya miaka 10, miaka 10 ya kipigo.. Liverpool na Yanga wanajua sana sana kutimiza mikataba waliyosaini.
Haki ya nani vile sitaangalia final kama mtaingia Liverpool na Man utd maana najua mpaka half time itakuwa 3 bila... Mpaka dakika ya 90 itakuwa 4 au 5 bila... Hivi Michuzi hujui kwanini Man Utd fans wooote wana support Liverpool kwasasa? Hahahahaha wanataka mteremko wakifika final....
Hapo ndo ninapomuona CR kwamba bado hajafikia hatua ya kuitwa bora kabisa duniani, kwani katika mechi kubwa, wakati ambao timu inamuhitaji zaidi huwa haonekani kabisa. na sio hapo Man U tu, hata timu yake ya taifa la Ureno ni hivyo hivyo, anapokutana na timu zinazocheza more technical game huwa anapotea kabisa. Nakumbuka hata bosi wa soka la Ulaya Platin alimwambia kwamba ajitahidi kufanya vizuri katika mechi kubwa 'big matches' ndo hapo ataanza kufikiriwa kuhesabiwa kwamba ni bora duniani. tehetehetehe, najua wapenzi wa timu yake na mpira wa uingereza mtaungana kupinga, lakini habari ndo hiyo kwamba CR kiwango chake ni mwisho robo fainali ya mashindano yeyote, ikishafika nusu fainali anashindwa, labda kama ni nusu fainali ya FA cup na sio mashindano makubwa kama Uefa, mtakumbuka mwaka jana dhidi ya AC Milan, ilikuwa hivyo hivyo. hivyo badala ya kuzidi kumsifia kijana, inabidi kumpa maelekezo muhimu ili aongeze bidii zaidi
ReplyDeletehivi nyie mnaoandika humu mnajua mpira au kelele...who created the penalty? who was fouled for 3 penatties that ref bottled it to give them? stop some foolishness stuff, that was tactic away performance, hao wachezaji wakubwa mnaowaita wako wapi? kijana leo kakimbiza wamemfoul kinoma, ila barca wanasubiriwa OT waoone formation itakavyobadilika.
ReplyDeleteAll that possesion not even 1 clear shoot, sad barca na esp wewe anon wa kwanza
nasikitika sana kuona watu wanawacheka MAN U kudraw ugenini, waaulizeni wanaojua mpira that draw 0-0 at NOU CAMP halafu eti boooooooooo, michuzi mbona unasikitisha ndugu yangu na hizi post zishio na vichwa.
ReplyDeleteWorld Player of the YEAR ......CR chelsea, liver, aresenal, real, ac, barch mtanaminini tu kijana keshafika Manchester, he is the LEGEND.
ReplyDeleteHuo unaazi tuu!CR Penalty kapiga kiufundi hajatoka nje ya milingoti mitatu! Just bad luck, if he can manage to send the goalkeeper a long side then hit the right side post??? What do u want him 2 do better??? He converted twice against Arsenal was it bad also!!!! Timu ya taifa wapo wengine lakini his contributions are vital once! Speak from the point of football not biasness! In the 5 classic world football player would he be part of it or not? I think he has qualities, that a classic world football player should have! But yeah he should put more effort more better! Thankx
ReplyDeleteThankx
man U wamenunua penati kama kawaida yao, lakini Ronado kapaisha, kwa hiyo man u wameliwa hela yao, kupewa penati mara mbili marefa huwa hawafanyagi mchezo huo. Kiama old Traford, Barca wakipata la away moja tu washapata ticket ya Moscow. Manu hana ujanja wa kumfunga Barca goli tatu hata siku moja, sio Roma wale. Kwa hiyo nyie man u muanze ushikaji na arsenal wanyonge wenzenu.
ReplyDeleteBwawa la maini hawaambuliagi goli kabisaa pale darajani kama kawaida yao. Sijui mara ya mwisho ilikua lini walipata goli darajani. kwa hiyo picha kamili ya fainali inaonekana wazi, msitake kujipa moyo wakati matumaini hakuna.
wewe peke yako ndio unayemuona hajafikia kuitwa mchezaji bora wa dunia kwa sasa,ila CR tokea aanze kuichezea man u huu ndio msimu wake unaomfanya aanze kuonekana ni bora,kwani cheki mchango wake alioutoa tokea ktk premiership na hiyo Championship na nafikiri zote ni ndiye Topscore...ongea maneno hayo United wakishatolewa next week..ila muangalie tena kijana ktk marudiano na hao Barca
ReplyDeletemdau wa maisha united
mnchester
MIMI KILA SIKU NAWAAMBIENI HAO MAN U HAMNA KITU..HASA WANAPOKUTANA NA TIMU ZINAZOPIGA PASI HUWA WANAKUA MADEMU KABISA!! MNAKUMBUKA MWAKA JANA WALIPOLAMBWA 3-0 NA AC MILANI..MWAKA JANA BALL POSSESION ILIKUA AC MILA 70 MAN U 30, JANA BARCA 65 MAN U 35 TUWAPONGEZE WAMEJITAHIDI KIDOGO. KIPINDI CHA PILI MAN HAWAKUPIGA SHUTI HATA MOJA..OLD TRAFFORD MAN U 1 BARCA 3 LETS BET
ReplyDeleteI am a staunch mau united fan but I was really disappointed yesterday we were very very poor especially Rooney
ReplyDeleteWANAGLOBU KUULIZA SI UJINGA..NASKIA C. RONALDO NI SHOGA...JE NI KWELI??
ReplyDeleteMIMI NI ARSENAL DAMU. MANCHESTER JANA WALIKUA MDEBWEDO KABISA YAANI UROJO MTUPU .
ReplyDeleteKWENYE CHAMPIONS LEAGUE HUWA NAINJOY SANA MECHI ZA BWAWAZ HUWA ZINAVUTIA SANA SIO KAMA MECHI ZA MANCHESTER YAANI WAMETUZINGUA SANA..AFU NA BARCA NAO NI WACHOVU TU HAWANA KITU SIKU HIZI..WANGEKUTANA NA WATOTO WA WENGER INGEKUA TMK HALISI 3-0.
NDIMI "MZEE WA VIJISENTI, THE YOUNG GUNNER"
si unajua mambo ya mchecheto dogo anachechetuka sana ngoja mzunguko wa pili kwao, kwa mpira aliopiga mspanishi lazima watoto wale wa mama waondoke tu
ReplyDeleteSure anon hapo juu. Huyu mwarabukoko wa Ureno hana kitu kama extra skills. Ni juhudi tu za kawaida na ufungaji wake kny Premier League sehemu kubwa ni penalties. Ndio maana hata coach wa timu ya taifa Portugal hakumpanga ktk last match
ReplyDeletewewe anonymous said wacha unazi mbona tumekutana na timu zinazopiga pasi kama Arsenal na tumewafunga na tena kwao mara mbili Kwetu Oldtrafford hao Arsenal na hawatufunga kwetu..nyinyi ongeeni maneno hayo next week wanazi wakubwa nyieeeeeeeeee
ReplyDelete-`Quote`-"WANAGLOBU KUULIZA SI UJINGA..NASKIA C. RONALDO NI SHOGA...JE NI KWELI??"
ReplyDeleteHata mie nimesikia hivyo hivyo, lakini wanasema anafanya kisilence, sio ile kinoma noma. Wenzake kwenye jumuiya yao ya mashoga walimtaka ajitangaze hadharani, lakini inasemekana kutokana na sababu fulani fulani Fergie amemkataza asijitangaze , na mmoja wa vishefa wa man u ndio nanihii wake.
Marekebisho kidogo!!!! Ile penati ya Cristina ooops sorry Cristiano haikugonga mwamba wa goli iligonga bomba lililokuwa nyuma ya goli!
ReplyDeleteCristiano vs Messi
ReplyDeleteMessi is a class player, C. Ronaldo is in a top form! Kuna tofauti ya CLASS na FORM, class is permanent form is temporary!! Mtanisamehe ila habari ndio hiyo. Ni sawa na Gilberto vs Flamini, Flamini yupo kwenye top form ila unapozungumzia Class, unamzungumzia Gilberto Silva. Ni sawa na Kaka, sasa hivi yupo katika low form ila Kaka is a top class player!
Tatizo hawa ScumBags wanachonga sana....Eti 0-0 Nou Camp ni matokeo mazuri...Waulize Barca timu gani imeenda kunywea kahawa uvunguni mwao mara mbili(yeah watasema kubahatisha)...
ReplyDeleteWe jana possession 65-35 unajisifia,internet zipo tafuta game ya Barca Vs Liverpool uone ilikuaje pale....
Na hapo Gaucho alikuwepo sasa jana maskini Messi anacheza utadhani amekutana na Crystal palace bwana.....
Kuna mtoto anaitwa Arbeloa alipewa Rungu Messi ikabidi afanyiwe sub ili kulinda heshima.....
Nway Endeleeni kuwaza kuwa mtashinda OT maana wenzenu wanakuja kufunga nyie ndo kwanza mnawaza kubadili formation.....
Bingwa Bingwa tu....Angalia Chelsea atakavyojutia kuwa na 2nd leg home ground.......Adios The Reds hapa.
Speaking of penalties Cristiano had three moja ikakubaliwa....
ReplyDeleteok Brown alimpush marquez in a corner kick,haya akamsukuma mtu mwingine tena,Iniesta was also brought down....
Sasa inakuaje mnalalamika tu mmenyimwa penati hamsemi wenzenu kama nao walinyimwa????
Au penati ni zipi??Oooh ni zile wanazonyimwa Manure tu ila sio wanazonyimwa wengine...
Inakua kama Drogba anajidondosha halafu anapoint kwa watu amenyimwa penati....
Final Barca Vs Liverpool
And They go for the 6th time....
Hehhe kwenye forum za liverpool kuna furaha habari ndio hiyo Kombe aliloshinda ManUtd 1999 watu wameshapewa moja kwa moja kwao limekaa tu European Cultural City....YNWA,Go u Reds...
nyie mnaoifananisha na arsenal na man utd akili zenu hazina akili, hewa kabisaaa. huwezi simama mbele ya wanaume na akili zao ukasimamisha makende yako na kusema the gunners ni bora kuliko man utd, yaani kama kuku wewe yai.
ReplyDeleteas man utd fan nakubali jana tulizidiwa ila babu Fergie ana akili, naamini hakuna kocha bora kama yule... baada ya kuona hali mbaya, nadhani mkajionea wenyewe, tukabadilisha mchezo tukawa tunadefend, those are great technique ever bwana. huwezi ukawa na possesion kubwa kama ile ya barca halafu shots on goal ni 5, thats shows man utd ina beki bora Duniani. na wakijaa vibaya Old Traford tunawanya vibaya.
MAN UTD, THE FREE SCORING UTD, THE FERGIE SCUAD FOR LIFE.
jamani inasikitisha sana kuona wadau wa mpira wanaleta matusi katika soka, michuzi tunaku heshimu sana lakini kuanza kuruhusu post za matusi kama ya hawa jamaa hapo juu inasikitisha. watu wotee waliotoa comment kuhusu mechi ya jana i am sure hawajawahi kucheza mpira bali wameanza ushabiki 2000 kuja mbele. kwahiyo michuzi kuhusu mechi ya jana sitatoa comment maana ni sawa sawa na kumuambia mugabe ajiuzulu. hawajui wanachoongea
ReplyDeleteWilliam Uk(united for life)
Mdau unayesema waliocomment hapa wote hawajawahi kucheza mpira na wameanza kushabikia mpira mwaka 2000, nadhani wewe ndo una matatizo ya akili, wewe ulitaka watu waseme vile wewe unataka wakati mpira wameuona bwana, na watu tunaofuatilia mpira tangu enzi hizo ndo tunakuambia kwamba CR bado ana safari ndefu, najua wewe huwezi kusema leo kwa vile huna hakika na timu yako, hivyo unasubiri matokeo ya mwisho ndo uanze kuchonga kwani ni mara ngapi umekuja hapa kuchonga baada ya mechi kwesha? kusema kwamba jamaa ni shoga hilo nalo unaita tusi? huenda kuna ukweli fulani, kama sio tusi toa hoja ya kupinga na sio kusema tu jamaa wanatukana, ushoga upo na kwa nchi kadhaa za ulaya hiyo ni biashara halali, sasa unaiitaje tusi wakati watu wanalipia kodi mkuu?? sema umekereka na matokeo hayo, upo hapo William UK
ReplyDeleteMdau
ReplyDeletemimi binafsi jana mechi haikunifurahisha kwajili it was so tactical ,hakuna flow hata kidogo barcelona wenyewe walikuwa wana keep possesion bila kuingia ndani ya box which it was disaponting to them,kuhusu ronaldo ni kweli haja perfom kwenye mechi kubwa hadi mtu utingishe kichwa kusema kweli dogo kafanya kazi na jana katuangusha ndio ukweli weneyewe ila nachopinga ni watu kumuita mtu shoga kwajili ya kutofunga penalt,kuwa below average perfamnce na kulalamika. Robert Baggio alivyokosa penalty mlimuita nani?mwaka 1994/ Ukitaka kujua united jana hawakucheza kushinda,tangulini rooney akacheza kama winger ya kulia na tevez midlfield mara nyingi rooney ana drop deep left lakini sio kulia ,yote ile ni kuziba pengo la Vidic na kuhakikisha hatufungwi goli which worked . mechi ya jana ilikuwa mbaya kuliko zote nilizoona man utd wakicheza ,kwa wadau walio toa maoni ya mpira hongerini ila wanao tusi watu sidhani kama ni jambo zuri. kama shoga sio tusi basi tuanze kukuita wewe Mr .shoga anony 1:37pm sina nia ya kukutukana
maana sio busara ila sio jambo zuri kumzushia mtu wakati hujahakikisha ,bendera fuata upepo sio nzuri maana upepo ukiisha unabakia umedua
William Uk(united for life)
naungana na bwana william kumuita mwenzio shoga sio jambo zuri hata kama mtu ni wa timu pinzani ,mimi ni shabiki wa Arsenal kwahiyo matusi hayajengi
ReplyDeleteRuta
Naona sasa William umejirudi kidogo, ndo maana katika comment yangu ya kwanza nilisema kwamba CR hupotea katika mechi ambazo zipo tactical na hilo naona sasa umelikubali, na hapo ndo mimi nilipobishana nawe kwa vile ulisema waliocomment wote walikuwa hawajui mpira na wameanza kushabikia mpira mwaka 2000, hilo la kumuita CR shoga siwezi kulirudia sana, kwa vile nilishasema 'huenda' hao walioandika wanafahamu zaidi, sasa kama na wewe unaweza kuthibitisha kwamba jamaa sio shoga toa hoja sio tu kusema jamaa sio shoga au kuuita ushoga ni tusi kwani mtu anayefanya ushoga akiitwa hivyo nae atasema katukanwa? (nisingependa kuliendeleza sana hilo kwani binafsi sifahamu kama jamaa ni shoga au la, lakini kama walioandika wanafahamu hiyo ni ok, nawe kama unafahamu kwamba sio shoga sema, manake jamaa wamesema mpaka Ferguson kamzuia asijitangaze hivyo huenda jamaa wanajua zaidi yako kuhusu hilo na kama kweli unajua zaidi yao basi toa nawe hoja na sio kung'ang'ania tu kwamba ni tusi, unakuwa kama mafisadi wa Tanzania, Dr. Slaa katoa hoja na vielelezo vya ufisadi wao, wao wakaja na hoja kamaa kawadhalilisha bila kutoa uthibitisho wa uongo wake na matokeo yake ndo hayo ya akina Chenge leo hii, hivyo hoja hujibiwa kwa hoja na vielelezo na sio kukimbilia kusema no, hili ni tusi)
ReplyDeleteWewe William UK acha ushamba, hilo jina uk maana yake unaishi uk au jina tu?, na kama unaishi uk basi huwezi kuwa mshamba wa ushoga, manake ushoga kwa nchi za ulaya ni lifestyle, sio tusi wala ugonjwa. Na mashoga wanapewa haki zao kuwa huru. Huyo Kijana Cristina Ronaldo anausudisha mwenyewe na hata kocha wake hajawahi kumkataza kucheza mchezo huo wa kishoga, alichomkataza ni kujitangaza tu ili asiharibu image ya klabu ambayo inayo mashoga wengine kama akina wes brown na yule mtoto anderson nasikia na yeye washamuambukiza mchezo huo. Kwa hiyo ndugu yangu william uk, huo mchezo ni kitu cha kawaida tu ughaibuni hakuna aibu.
ReplyDeleteNa timu nyingi tu za uingereza wana vijana kama hao, kwa mfano liverpool wanae Torres na hypia, arsenal wanae gallas na van percy, na yule mtoto walcot nasikia na yeye ameshaanza sijui kweli au rumours tu. Basi usishangae kitu kama hicho.
Kuna mtu kanichefua hapo juu kwamba CR ni LEGEND! SHIIT..ila sipingani naye sana sababu kwa Man United anaweza kuwa Legend.
ReplyDeleteLakini sasa swali langu linakuja...
je na Ryan Giggs atakua nani kama CR ni legend? Au wapo kundi moja?
Ni nini ambacho huyo CR ameifanyia Man so far? Zaidi ya kujidondosha tu kama ana degedege???
Au jamaa alikua anamaanisha nini kusema LEGEND?
Mdau,The Reds. YWNWA
Oya ushoga uk upo saana tu lakini kwenye footbal bado kuna stigima kubwa sana siyo sawa na uraiani na kuitwa shoga kwa football au any walk of life ni tusi kwa uk labda ujiite mwenyewe. glory glory . kudadeki sasa ushoga na mpira wa man u wapi na wapi? kweli arsenal hawakosagi la kuongea. na anayedai cr siyo no moja !!!! tuambieni ni nani basi apart from G best.
ReplyDeleteglory glory man unitsd
Christiano Ronald is the best and admirable player in the uefa league. So stop talkin bullshit "Arsenal fans" about him missin a penalty, its part of the game. His the most selected/fantasy player out their according to uefa.com. His like Kobe Bryant in basketball so SHUT UP n let Manu wins this.
ReplyDeleteMdau T-Dot
Mdau unaniangusha ni YNWA haina dabaliuu nyingi hivyo....
ReplyDeleteSubiri uone reserve side jumamosi itavyopukutisha wazee Brum........
Mbona hata mashabiki mishikaki wapo kibao...Na mi nasikia we mmoja wao...
ReplyDeleteHuu upuuzi halafu mishabiki ya mafuriko hii ndo ilivyo...yaani usikie wote ubwabwa hao usisikie Drogba kweli glory hunter wewe.....
Naomba munitafsirie this:
ReplyDeleteFist leg ::::
at anfield Man 1:0Liverpool
at emirates Man2:2 Arsenal(late goal from galas)
at old-T Man 2:0 chelsea
second leg
at Old T Man 3:0 liverpool
at Old T Man 2:1 Arsenal( Adebayo mkono)
FA at old T Man 4:0 arsenal.
Nadhani I dont have any comment in this,
Where are A_ses Now? or ndio wameingia barcelona?
G7
UK
william uk unakuwaga na akili sana some time ile this time unaongea shudu tupu, sijui umepata hitilifa ya mawasiliano kichwani. anyway, u need to know tusi na sio tusi, na pia u need to know tusi hutamkwa vipi na katika hali gani. watu hapa sometime wanatamka maneno kwa nia ya kuchangamsha ukurasa ila sio kutukana though sometime they real insult. nakureserve sababu u r my fellow fun of man utd.
ReplyDeleteanon 1:45 nimependa hiyo statistics ya man utd.
THE RED DIVILS. THE FREE SCORING UTD, THE FERGIE SQUAD FOR LIFE
WADAU AU WANAGLOBU NAOMBA MNIFAFANULIE ;
ReplyDeleteARSENAL IMECHUKUA UBINGWA WA CL 0
CHELSEA WAMECHUKUA UBINGWA WA CL O
MAN U WAMECHUKUA UBINGWA WA CL 1
BWAWAZ WAMECHUKUA MARA 5
BWAWAZ WAMEINGIA FAINALI 3
HII INAMAANA HAWA WACHOVU ARSENAL, CHELSEA NA MAN U WANAFANYA MAKUSUDI AU NI UWEZO MDOGO??
HIVI MBWA KOKO KUWIKA NYUMBANI TU NA KUSHINDWA KUWIKA UGENINI NI USHUJAA AU UKENGE IE MAN KUSHINDA KILIGI CHA UK?
NI VIJIMAMBO TU ingawa najua vinauma!!!
MIMI NI SHABIKI DAMU WA MAN U THE REAL RED DEVILS..ARSENAL FANS MNACHONGA SANA BUT MKAE MKIELEWA UBAHILI WA WENGA UTAWAPONZA VILE VIDIGIDIGI VYENU HAVITAWAPELEKA POPOTE.
ReplyDeleteBARCA HAWATOKI OLD TRAFFORD TUTAWAPIGA KIPIGO CHA MBWA MWIZI.
KUHUSU CHRISTIANO RONALDO NI KWELI ALIKUA ANAFANYA USHOGA NA A. FERGIE ALIMKATAZA KUPUBLISH PUBLICALLY KWA AJILI YA IMAGE YA CLUB. HATA HIVYO HIYO ILIKUA NI MWAKA ULE ALIPOTOKA URENO NA KAMA MTAKUMBUKA MSIMU WA KWANZA ALIFUNGA MAGOLI MANNE TU NA MSIMU WA PILI AKAFUNGA MATANO BUT MSIMU HUU KAPIGA 28 MAANA YALE MAMBO KAYAACHA SASA NI KUPIGA BAO TU..
WHETHER YOU LIKE IT OR NOT C. RONALDO IS THE BEST PLAYER IN THE WORLD IN 2008..SHENZ TAIP!!
wadau asanteni kwa kunifundhisha au kunielimisha kwani hakuna mtu anayejua kila kitu au sio. lakini kwa kweli wadau wa liverpool,Arsenal na Chelsea inabidi mkubali sisi tuko bomba mwaka huu fikiria hatujafungwa na hizi timu 3 mwaka huu ila tumewachapa wote ila kesho ndio tutajua hatma ya kombe. England washabiki wa man utd wamechukia sana kitendo cha fergie kuichezesha timu formation ambayo haipo hopeful alifanya vile kwajili ya kesho stamford bridge arudi kwenye formation ya attacking.
ReplyDeleteWilliam uk(United for life)
Ferguson Ferguson kilichobakia wape chelsea kombe what a stupid selection you made ,fair play to chelsea they have done well,tangulini manchester united tumeanza kucheza defensive play pumbavu, for the second time after Barcelona ferguson got it wrong na hii imeanza middlesbrough.
ReplyDeletewho ever wins deserve it
william uk(united for life)