Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. a.k.a THE BALALI TOWERS

    ReplyDelete
  2. Maghorofa hatukatai.Fikiria maghorofa haya yangekua Hoteli moja kubwa ya KITALII yenye hadhi ya kimataifa ambayo ingetuingizia mamilioni ya fedha za kigeni!Hapa mabilioni ya pesa za watanzania YAMEZIKWA KABURINI ili kujenga 'ofisi ya kisasa' inayofanana kiIMF IMF hivi!Hizo ndizo 'BONGONOMICS' za Dar es salaam!Viva the creator of the concept!Jamaa hatakiwi apone sasa hivi.According to the HighTech Medical Predictions and UltraSound Clinicaltherapy huyu jamaa ameamua kuwa mgonjwa hadi 2099 AD.Hii itatoa fursa sawa kwa wote kuweza kula Kkuku kwa Mrija,please,lets ooooooooooooze to the health of the Fisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaadis!

    ReplyDelete
  3. What an eye catching skyline. Long live dalali - pasipo wewe zisingelikuwepo hizi kwani kwako wewe zoet hizi zilifanyika and don't worry how you went about doing it - in the end it is your word against theirs and most importantly you have got only one life to live so enjoy it to the fullest. How old are you now? Shame, you may only spend a tiny proportion of that mkato...

    ReplyDelete
  4. Aliyekuwa waziri wa fedha ktk baraza la mawaziri lililo vunjwa ana jua kuhusu hii kitu Twin tower nasikia garama yake ni kubwa kuliko majengo mengine kama haya yaliyojegwa England na U S A kweli?haahahhaaaaaa mambo ya EPA YOTE HAPA

    ReplyDelete
  5. RESTRICTED AREA NO PHOTOGRAPHING"

    ReplyDelete
  6. mafisadi na makao yao makuu,BOT (bank ofisadination tanzania)

    ReplyDelete
  7. I know these towers very well. "Cemetery(Correct me on spelling if I am wrong) towers for Government funds."
    By former BOT officer.

    ReplyDelete
  8. JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA MKUU WA MAFISADI
    P.O.BOX EPA
    TWIN TOWER
    DAR ES SALAAM

    ReplyDelete
  9. Majengo mazuri ni zaidi ya benki ya hapa USA inayoitwa richmond..Bofya
    http://glasssteelandstone.com/Images/US/VA/Richmond/FederalReserveBank-006a.jpg

    ReplyDelete
  10. WOW UNANIKUMBUSHA WORLD TRADE CENTRE JIJINI NEW YORK SIJUI PANAONEKANAJE SASA HIVI.

    ReplyDelete
  11. mi nampa pongezi balali kwa kusababisha jengo hili kuwa hapa ni juhudi zake za kufanya kuwepo kwa twin towers jamani ma gavana wangapi wamepia kama kula hela wamekula na still hawakujenga hili jengo jamani haki yake mpeni kama kala sawa lakini na sisi katujenge kitu kizuri

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...