NA MGAYA KINGOBA
RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE LEO AMEMTEUA NDUGU MUHIDIN ISSA MICHUZI KUWA MKUU MPYA WA WILAYA MPYA YA TEGETA ILIYOPO WILAYA YA ILALA, DAR ES SALAAM.
TAARIFA TOKA IKULU IMESEMA UTEUZI HUO, AMBAO UNAANZA MARA MOJA, UNAKUJA SIKU MOJA TU BAADA YA SERIKALI KURIDHIA OMBI LA WAKAZI WA TEGETA KUIFANYA SEHEMU HIYO KUBWA KUWA WILAYA KAMILI, NA KUFANYA DAR ES SALAAM KUWA NA WILAYA NNE - ZIKIWEMO ILALA, TEMEKE NA KINONDONI.
KABLA YA UTEUZI HUO, NDUGU MICHUZI ALIKUWA NI MPIGA PICHA MWANDAMIZI WA MAGAZETI YA SERIKALI YA DAILY NEWS NA HABARI LEO, KAZI AMBAYO IMEBIDI AIAGE ILI KUSHIKA WADHIFA WAKE HUO MPYA.
"HAKIKA NIMEHEMEWA KWANI KAZI YA UKUU WA WILAYA SI NDOGO UKIZINGATIA KWAMBA NDIYO SHINA LA SERIKALI KUU" NDUGU MICHUZI ALISEMA BAADA YA KUHOJIWA NA GAZETI HILI LEO JIONI.
HII SI MARA YA KWANZA KWA RAIS KIKWETE KUTEUA WANAHABARI KUSHIKA NYADHIFA KAMA HIYO, WENGINE WAKIWA NI MH. BETTY MKWASA AMBAYE NI MKUU WA WILAYA YA KOROGWE, NA MH, HALIMA KIHEMBA, MKUU WA WILAYA YA KILOSA. WOTE HAWA NI WANAHABARI
AKIONGELEA HATMA YA BLOGU YAKE, MH. MICHUZI AMESEMA KWA LUGHA YAKE ANAYOPENDA KUITUMIA KWAMBA ATAENDELEZA LIBENEKE KAMA KAWAIDA HATA KAMA ANGECHAGULIWA KUWA RAIS.
"HII BLOGU NI YA JAMII HIVYO SINTOELEWEKA ENDAPO KAMA NITAAMUA KUIACHA ATI KWA SABABU YA KUPATA WADHIFA SERIKALINI.
"SIONI NI JINSI GANI NITASHINDWA KUTEKELEZA MAJUKUMU YANGU KAMA MKUU WA WILAYA MPYA YA TEGETA NA WAKATI HUO HUO KUHUDUMIA JAMII KUPITIA BLOGU YAO HII," ALISEMA MH. MICHUZI.
UAMUZI WA KUIFANYA TEGETA KUWA WILAYA KAMILI UMEFIKIWA BAADA YA KUONEKANA KWAMBA ENEO HILO LILILOPO KASKAZINI MWA JIJI LA DAR ES SALAAM LIMEKUA KWA KASI NA KUWA NA WAKAZI WENGI KIASI YA KWAMBA KUENDELEA KUWA CHINI YA WILAYA INGINE KUNGELETA MATATIZO KWA WAKAZI WAKE.
MH. MICHUZI ANATARAJIWA KUAPISHWA LEO ASUBUHI NA MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM, MH ABBAS KANDORO, KATIKA SHEREHE ZILIZOPANGWA KUFANYIKA KWENYE OFISI ZA MKUU HUYO WA MKOA, ILALA BOMANI.
SOURCE: GAZETI LA HABARI LEO
HONGERA SANA. BIDII YAKO INAKUBALIKA NA KILA MTU.
ReplyDeleteKILA LA KHERI KATIKA MAJUKUMU MAPYA!
MDAU UK rdor7819@hotmail.com
Ongera Bro Michuzi kwa wadhifa wako huo mpya lakini kumbuka kuwa leo ni tarehe 01.april siku ya waji...... Duniani humpati mtu na hiyo Fulanaz
ReplyDeleteMdau
Duh siku ya wajinga 1/4. Jamani huyo mwandishi hata hajui namna ya kuifanya habari iwe ya kuaminika. Yaani aseme Tegeta wakati hata Ofisi ya Waziri Mkuu haijawahi kuongelea hiyo wilaya mpya. Alitakiwa ataje wilaya ya kikweli kweli kule swekeni na akasema aliyekuwa huko atapangiwa kazi mpya.
ReplyDeleteMshikaji....hata kama tunabeba box..tuna kumbukumbu kuwa leo ni siku ya wajinga...Michuzi ibane kwanza...tuone utawapata wangapi..teh teh teh
ReplyDeleteHongera bwana Michuzi, heheee naona kumekucha! Haya bwana enjoy your day!
ReplyDeleteHappy APRIL FOOL DAY,Bro Michuuzi...!!!
ReplyDeleteENDELEZA LIBENEKA kaka...
ha ha ha ha ha ha ha eti Mkuu wa Wilaya anaapishwa na Mkuu wa Mkoa! kaazi kweli kweli ... siku ya wajinga baba!
ReplyDeleteHabari kaka Michuzi,
ReplyDeleteHongera kwa kuteuliwa hewa kuwa mkuu wa wilaya. I hope this is a joke, ni siku ya wajinga leo!
Neema
Hii kweli ni siku ya wajinga, hadi michuzi naye anatufanya sisi wasomaji wake hamnazo!
ReplyDeleteIsije ikawa SIKUKUU YA WAJINGA.. 01/04
ReplyDeletehahaaaaaaaaaaaaa misupuuuuuuu.jk sasa anachemshaaaaaaaaaaaaaaa
ReplyDeletehii ni habari mbaya kwa wanablogu-duuu.
ReplyDeleteHAPPY APRIL FOOLS DAY!!!!! HAHAHAHAAHAHAHAAHHAHAAHAHAAAAAAAA
ReplyDeletesasa ze t shirt yako imelipa wamesema sana na sasa imekuwa kweli
ReplyDeleteNimecheka sana bro michuzi ila kwa mtaji huo utawazoa wengi,andaa kapu la kuwahifadhi hahahahaaaaa!
ReplyDeleteNIMECHAKA, SINA MBAVU......
ReplyDeleteHONGERA SANA MHESHIMIWA MICHUZI. NAONA MHESHIMIWA RAIS ANAPOKUAPISHA, AMEKUSHIKA MKONO NA ANAONEKANA KIDOGO SANA(MKONO WAKE).
MIMI NAONA UTEUZI HUU NI SAHIHI KABISA, KAMA NI KWELI, KWA MAANA MCHANGO WAKE NI MKUBWA KWA JAMII KULIKO WA WANA HABARI WALIOWAHI KUTEULIWA KABLA YAKE. MICHUZI ATAKUMBUKWA NA ANAJULIKANA KWA KUWAUNGANISHA WATANZANIA, NA WALIMWENGU WENGI SANA KOTE DUNIANI. WENGI TUMESAFIRI KWA TASWIRA KWENDA TANZANIA BILA NAULI KUPITIA BLOG HII. PIA, MIJADALA YA KIUCHUMI, KISIASA, KIJAMII NK, IMEFANYIKA KUPITIA KIJIJI HIKI.
SASA SWALI, SIJUI ATAENDELEA KUVAA TISHETI (FULANA) HIYO HIYO KAMA MKUU WA WILAYA YA TEGETA? INGEKUWA WAZO ZURI ILI WATU WASIMSAHAU KABISA.
BILA SHAKA MAKAO MAKUU YA WILAYA YATAKUWA ENEO LA 'TANGIBOVU', AU BAHARINI KABISA, MAANA MICHUZI ANAPENDA SANA MAENEO KAMA HAYO YANAYOFANANA NA 'NGURDOTO'* HOTEL....
Hongera sana Michuzi,
Maisha ni Kupanda na Kushuka; yeye amepanda!
Msomaji wa BLOG ya Michuzi,
MARKO MWIPOPO, USA
HAPPY FOOLISH DAYYYYYYYYYYYYYYY
ReplyDeleteHONGERA KAKA MICHUZI
kudadadek...mbn siamini amini hivi!!!! haya ni ya kweli au ndo mambo ya kina Manka..ilimradi baraza lichangamke? Sikupi hongera michuzi manake sina uhakika mkuu,,,,,
ReplyDeleteBabuuuuuuuuuuuuu....Hongera zako mazzeeeeeeeee !!!! Kweli Bongo Tambalale !
ReplyDeleteAsante kwa siku ya wajinga!!
ReplyDeletekwa mtaji huu sasa niko poa maana kijitalu changu kiko tegeta na sasa wewe bwana misupu or mh.mkuu wa malaya or wilaya,basi ututendehe haki tupate maji na barabara nzuri kwa kweli.Hongera sana bwana misupu naona humu sisi tunaendeleza libeneke tu so hongera sana mdau mkuu kwa kazi mpya ila usije tufisadi wananchi wa tegeta tu
ReplyDeletehappy fools day....
ReplyDeleteIts a fools day! teh teh teh....
ReplyDeleteNilifikiri kuwa Tegeta iko wilayani Kinondoni...mmh, huyu mdau sio kuwa anaendeleza libeneke la watu ambao sikukuu yao ni leo (AF)?
ReplyDeleteHappy Fools day mithupu! Bado hujanitia hio kamba! Good ambition tho! Mdau Edmonton Canada
ReplyDeleteNaona mambo ya April 1st,,, WACHA ZENU HIZO ,,kuna jamaa walishawahi kuambiwa siku kama ya leo ..watu kumi wa kwanza kufika ubalozini mapema watapata viza za kuja Marekani basi watu waliamka saa nane usiku kwenda kujipanga ubalozini Ilipofika asubuhi .. kuja kushituka kumbe ni siku ya mambumbu.. Duniani ..
ReplyDeleteAny way lakini jifagilie mzee ip[o siku MAMBO YATAKUWA KWELI..
Mmm! uteuzi huu wa tarehe hii, basi mtawapata wengi.
ReplyDeletelol let's see if people will look at the date...
ReplyDeletekaka michu nimekupataa,hapy fools day too.wee umenifurahisha kweli.wacha nikauze magazeti sasa.Mdau wako norway
ReplyDeleteMICHUZI,HABARI ZILIZOPATIKANA SASA HIVI RAIS ABEBATIRISHA UTEUZI WAKO NA BADALA YAKE AMEAGIZA UPELEKWE SEGEREA
ReplyDeleteAma kweli sikukuu ya werevu imeanza kwa kasi mpya,Michuzi mkuu wa wilaya mpa ya `tegeta'iliyo ktk wilaya ya ilala na ataapishwa na kandoro, makubwa.
ReplyDeleteumesomeka michu,subiri salamu za pongezi.
tawile.
Bwana Michuzi.
ReplyDeleteSijui kama hili ni gumzo la Muchuzi ama ni taarifa za ihakika.
Kama ni sahihi basi nakutakia kila la heri katika nafasi yako mpya.
Kwa kweli sijui kama nikupongeze ama hapana kwa sababu naona kama kazi yako ya zamani iliyokupa nafasi ya kupanda mapipa kila siku na kuona ulimwengu huku ukiwa na vi allowance mfukoni kama ilikuwa bora zaidi ukizingatia kwamba sasa itabidi uwe unakabiliwa na fitna za siasa. Ila nakutakia heri.
Itabidi vekesheni sasa zipungue ama maadui wa siasa na wenye wivu wataleta kelele. Yaani hapo wilayani likitokea kosa dogo hata kama si kosa lako watasema huyu jamaa kwani anafanya kazi? si yuko kwenye blogu 24/7!!
Mimi nakuonea huruma kaka yangu ila nakutakia kila la heri!!!
HAPPY FOOLS DAY...
ReplyDeleteTusisahau kuwa leo ni siku ya Wajinga duniani.
ReplyDeleteAPRIL FOOL!!!
ReplyDeleteAPRIL 01 FOOLS DAY/LEO NI SIKU YA WAJINGA, KWAHIYO HII NI FIX TU.
ReplyDeletekaka michuzi hah ha ha ha hahaaaaaaaaaaa
ReplyDeleteAcha kutuzingua sie labisaaaaa, kwakuwa leo ni APRIL FOOL.
Hiyo wilaya umeiunda mwenyewe kwa raha zako?
Wewe endelea kutuletea picha sisi na habari, ukuu wa wilaya utaupata ukianza kuwa na MMVI na wajukuu,
Saa hizi mapema sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
ha ha aaaaaaaaaaaaa
dada T
Hongera Michuzi na hii April 01 siku ya....
ReplyDeleteDAH HONERA KAKA MISUPU KWA WADHIFA HUO NA ULAJI PIA KAMA KWELI KUNA HIYO WILAYA MPYA HUKO BONGO SIKU HIZI, LAKINI PIA SIKUMBUKI ILE SIKU YA WAJINGA HUWA NI MWEZI NA TAREHE GANI KILA MWAKA...ILA KAMA KWELI HONGERA SANA KAKA...
ReplyDeleteHongera sana katika siku ya Wajinga! Hongera Ndugu Issa Michuzi Kuwa Mkuu wa Wilaya Ya Tegeta ilipo Ilala!
ReplyDeleteBora kuwa na siku za Wajinga duniani kubadilisha akili!
LEO NI SIKU YA WAJINGA DUNIANI!!.SO DONT FREAK OUT!!!!!!!!!!!
ReplyDeleteYeah, happy fools day to you too mate!
ReplyDeleteyou Almost got me there. april Fools Day, humpati mtu....Rais Jakaya Kikwete amepinduliwa.....
ReplyDelete-BooSt3D.
...Is this April Fool's Day Report...Bwana Michuzi...wajinga ndo waliwao...ingawatungefurahi kusikia jambo kama hilo hapo baadae...wewe ni muwakilishi mzuri...
ReplyDeleteHongera sana mkuu michuzi. Angalia husije ukaenda kuwa fisadi na wewe.
ReplyDeleteHakika ni habari nzuri sana kwa wanablog wote. Tuko pamoja nawe mzee ktk kusherehekea mafanikio yako ata kama tuko mbali na Bongo.
April fools...!!!???
ReplyDeleteYani nusu nianze kujigonga kwako, ili nipate tenda za huko Wilayani.
ReplyDeleteUnajua umebugi wapi?Jiulize na kanya boya lako.Humpati mtu humu,wewe na libeneke la globu tu mshikaji.Ingawa JK anakusikia na kwa vile wote Bwagamoyo iko siku atafumba macho na kuweka jina lako.tehetehtehe.
ReplyDeleteKaka hujatupata bado wananchi leo ni April Fools day. Tumekushtukia....
ReplyDeleteHongera sana sana Kaka.. Sasa mambo yameshawiva. Tutaendelea kuwa nyuma yako 2010 endapo utachukua fomu ya Ubunge pia..Safi hiyooo!!
ReplyDeleteKaka Michuzi acha kudanganya jamii. Leo ni siku ya
ReplyDelete"wajinga duniani"aka April Fools.Eniwei ni good try.
APRIL FOOL!
ReplyDeleteGOT CHA! MICHU BOY!
IS THIS APRIL FOOL THING?
ReplyDeleteInshaallah dua lako liwe la kheir
ReplyDeletelakini sio leo MMBADOO!
Michudhiiiii! Hamna cha sikukuu ya wajinga wala nini! Hii ni janja yako tu ya kujipigia ndogondogo kwa muungwana! Hakyanani Michuzi nimecheka vibaya sana! Kumbe ndo mnajipigiaga ndogondogo hivi eti? Una akili sana mwanawane!
ReplyDeleteEwe JK uliyeko Ikulu, tunakuomba usikie kilio hiki cha ndugu yetu Michuzi! Tunaomba hayo kwa jina la gulobu yetu hii ya jamii, tukiamini ya kuwa utatenda baba! Aaaaamin!
Naskia JK kaota ndoto hiyo hiyo leo
ReplyDeletesjui akiamka itakuwaje! michu boy we jitayarishe tu! mwambie mama chanja apige pasi ile suti yetu ya ughaibuni na akubakishie chai japo ya mkandaa kwenye thermosi pengine hutowahi mahanjumati yake asubuhi!
any way 'LOVE IT. Nyimbo mbaya habembelezewi mwana,sku zote nyimbo nzuri tu!
SEMA WEWE KABUNGA MWENYE KIGUGUMIZI NIKISEMA MIMI MSHAMU NTAAMBIWA MWIZIII. APRIL FOOL!!!!!
ReplyDeleteOHOOOOO! HONGERA BWANA MICHUZI MWENYEEZI MUNGU AKULAZE PEMA PEPONI. AMEEEEN. [APRIL FOOL]
ReplyDeleteThank You Mr. Michuzi kwa kutuanzishia April Fool!!!! Ungepiga tai hapo labda tungedanyika lakini ukuu wa wilaya na T-shirt yako hiyo kauka nikuvae:)Badoo, hujanipata. Anyway, Heri kwa sikukuu ya wajinga!! Samahani nimesahau, Marekani imeamua kumpa U-Rais Obama...!!!
ReplyDeleteDuu, hiyo kali !!! hivi siku ya wajinga ni lini vile ?
ReplyDeleteHONGERA KAKA MICHU,MAMBO MSWANO!
ReplyDeleteUNIKUMBUKE KWENYE UFALME WAKO,HONGERA SANA.
JK SIO MCHOYO WA MADARAKA
Hongera sana Michuzi, kutoka Canton, OH.
ReplyDeleteDUUUH MICHUZI UMENISTUSHA KINOMA BRAZA IKABIDI NIANGALIE KALENDA YANGU KIDOGO ,NA MIMI NIMEAMUA KUKUANDALIA PARTY KUBWA SANA YA PONGEZI IJUMAA HII.FUATILIA MAONI KWA MAELEKEZO ZAIDI. TE TE TE TE TE
ReplyDeleteT shirt imekuwa DC,
ReplyDeletehaki ya baba yake mtume ISSA wa MOHAMAD, we jamaa ni shushu na FISADI wa chini chini, Ila hongera sana mkuu, sasa ze mashimoz, handakizzzz!! umepewa rungu, je utarekebisha?? na ule msitima wa Ilala barabarani bado upo, yaani tutakubana mpaka balaa, Hongera sana mtu wa wadau, Yaani wee sio DC wa Tegeta, bali ni DC wa wadau, michuzi tuombe ushauri ili tukufundishe namna ya kuwa mkali kwa watendaji, maana wee mpole mno ndo ubaya wako!!, duh ila nimecheka saaana!!! kweli mhuni ni mhuni tu hata akifika kwa Mungu, Kikwete ni mtoto wa kihuni! hata ukiibana lakinin utakuwa umesoma! kazi njema RC wa tegeta!
michuzi oyeeeeeeeeeee
ReplyDeleteccm oyeeeeeeeeeee
Uskonde wala nini Michu Boy, utafika tu.Kwanza JK watu wamempungukia wote RICHMOND! Hivi unafkiri ukiingia kwenye ulingo wa siasa kwa kura zetu unaingia kiulaiin tu. Hata mpaka white house tutakupeleka we jaribu zali tu na BLOGU letu tunalibeba huko huko!
ReplyDelete...aaah!haya wajinga wote ndo watakamatika hapa!HAPPY FOOLISH DAY!
ReplyDeletena wasiwasi hii sio sikuku ya wajinga mmmh, niko Canada lakini machale yananicheza,tegeta kuwa wilaya??sikuwahi kusikia hilo vuguvugu, nitakupa hongera mpaka gazeti la uhuru wathibitishe, au nisikie kupitia BBC! kama sikukuu ya wajinga ebu ibanie kanza hii mail- tuone watakaovagaa mkenge!
ReplyDeletemdau-canada.
HONGERA MICHU BOY WE HONGERA
ReplyDeleteNA MIMI MDAU EEH NIHONGERE
MAMA UCHUNGU MAMA UCHUNGU
NYAMA LA MWANANGU OYEEH
NYAMA LA MWANANGU SUNGULAUDELE
LINAUMA MNO EH OYEEH
YUWAPI EH YUWAPI JR AJE HAPA TUHANGAIKE NAE!
LEO NI LEO LEO NI LEOO
TUTAWAONA WALO WAJINGA KWELI SIUONGO!!!!
but i'm not one of them!
hongera sana misupu,itabidi hako katishirt ukatupe sasa,mwendo ni suti tu,
ReplyDeletehabari nyingine za kuaminika ni kuwa bwana michuzi ameongeza na mke wa 2 baada ya kuukwaa ukuu,mbona hilo husemi
Hahahahahahaaaa!! Yani nimefurahi utadhani mie ndio Michuzi!! Dah! Ongera sana mtu wetu!! Sasa sipati picha Mkuu wa Wilaya na kamera shingoni! dah! Hii kali ya mwaka!! Poa Bro! Michu! Tunakupa hongera ya mwaka lakini endeleza libeneke mwana wane!! hahahahahahahahh hahahahahaha!!
ReplyDeleteMkuu Michuzi,
ReplyDeleteHongera sana. Naona mkuu wa kaya ametambua mchango wako kwenye jamii na juhudi zako.
Usilegeze makalio huko, kaza buti na kuwa karibu na shirikiana na wananchi wa Tegeta kuwaletea maisha bora.
Mdau wa JP.
WITH ALL DUE RESPECT TO YOU BROTHER MICHUZI KAMA HII INGEKUWA KWELI BASI JK ANGEKUWA AMECHEMSHA KWA MARA NYINGINE. AU SIO WADAU? APRIL 1ST IS A FOOLS' DAY ... HAPPY FOOLS' DAY
ReplyDeleteHUNA LOLOTE MISUPU
ReplyDeleteHAPI FOOOOOOOOOOLS DEI....
Ila unajitabiria vizuri na we ukajifisadishe kamgodi ka Kokoto kule Tegeta. loooolz
Aaaaaaaaaaaaaaaaah ... wewe Misenti leo kweli umenipata.
ReplyDeleteLeo ni siku ya mafala!
APRIL F...
ReplyDeleteMimi binafsi ninapenda kumpongeza ndugu muhidin issa michuzi kwa kuwa makini na kufatilia vizuri mambo yanavyoenda duniani ambapo kumbukumbu yake nzuri imemwezesha kukumbuka kuwa leo ni siku ya wajinga duniani(April 1st- fool day) na tunamuombea busara na kazi njema katika kuongoza wilaya ya tegeta mpaka hapo mnamo saa sita alasiri matani haya yatakapokwisha.
ReplyDeleteHongera sana ndugu mheshimiwa michuzi.
Chibiriti atakuwa anarukaruka huko anajua atapata udiwani angalau ubalozi wa mtaa huko tegeta, hahaha
Mdau mjuaji,
devyako@yahoo.com
michuzi unaweza kuibania hii comment mpaka baadae- later during the day uwapate vichwa maji mi niko mkao wa kula nasubiri komenti zao
April Fools' Day???
ReplyDeleteLOLOLOLOL...Duh ni april fool nini???????? but kama ni kweli hongera bro..
ReplyDeleteEHWALLAHHH!! SASA MJOMBA MICHUZI NAOMBA UNICHONGEE MCHONGO WA KUPATA KIWANJA HAPO TEGETA, BEI MAELEWANO AU VIPI,
ReplyDeleteAsante Kaka, Leo ndio tarehe ngapi vile? Hongera kwa njozi njema, yatatokea tu siku ya siku!NIMEKUKAMATA!
ReplyDeleteWilaya ya Tegeta sio?Ok Hongera Misupu..Usisahau kusherekea vyema siku kukuya WAJINGA.....
ReplyDeleteMwanaharakati
E Bana e! Kudadeki! Yaani Mithupu umelamba dume hivihivi tunakukodolea! Da, hii ni kali. Lakini sasa Mithupu ndiyo umelamba dume, hiyo wilaya ni mpya na najua mambo mengi yatakuwa ndiyo yanaanza. Kwa hiyo Bro wewe endeleza libeneke na pia wawashie moto huko Tegeta mpaka wajue kuwa sasa mambo yanakwenda mbele. Isijekuwa siku mbili-tatu ukazoea mambo ya ofisi kuu ya wilaya ukatuacha juani. Hongera Sana Bro!
ReplyDeletekaka Michu acha kuota kaka!!!
ReplyDeleteLEO NI APRIL MOSI,SIKU YA WAJINGA DUNIANI,na mimi sio MJINGA
Licha ya kwamba ni siku ya wajinga nakuhakikishia kwamba kitu kama hicho kinakuja ndugu yangu.
ReplyDeleteKa'Michuzi, umeiwezea kweli April Fool's day!!!! lol
ReplyDeleteSteveD.
Issa,
ReplyDeleteNi kweli kabisa unaweza kuitumia siku kuu ya wajinga ukastukia unapata kula hivi hivi. Ngoja tu-check utawapata wangapi!
Weweeeeeeeee hutupati ng'oooooooo, am not among the other fools......
ReplyDeleteDebbie
Hongera Muheshimiwa Michuzi,ninakutakia mafanikio mema ktk wadhifa wako huo mpya, kama ulivyo ahidi tunatarajia libeneke litaendelea kama kazi ama siyo!!!
ReplyDeleteSiwezi kuwa kati ya hao utakao waongoza katika tarehe ya leo.Happy fools day michuzi.
ReplyDeleteHongera Mzee Michuzi kwa kuja na bonge la April fool.Kwa Mungu hakuna kubwa.Iko siku habari hii haitatoka kwenye siku ya April fool.
ReplyDeleteahahahaha April fool uwezi kutudanganya bwana.
ReplyDeleteDUH,HONGERA SANA MHESHIMIWA MANAKE TENA WEWE SI MWENZETU TENA TUTAANZA KUTANGULIZA HILO NENO MHESHIMIWA,MUNGU AKUZIDISHIE NA AKUPE NGUVU YA UJASIRI WA KUONGO ZA WATANZANIA WENZAKO NAJUA UTAWEZA JIAMINI TU SAFI SANA MZEE WA MIKONOZIIIIIII,
ReplyDeleteHongera umeambulia mlo ndugu yangu.
ReplyDeleteALUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU, haijatulia, leo ni siku ya WAJINGA, wengine sisi bado ni tarehe 31 ila kwa TZ ndio sherehe yenyewe. Endeleeni kusherehekea.
ReplyDeleteBro Michuzi ni April Fool day.
ReplyDeleteCheers. JMK
hahaa wajinga ndio waliwao
ReplyDeleteHongera sana kaka michuzi...sasa lile tour la kuzunguka mabara yote ulilonitonya pale doha airport ukiwa unaelekea frankfurt si ndio yameota mbawa tena! umeshakuwa mheshimiwa kaka..but u deserve mzee mzima.....nadhan Madaga shabaan madaga nae atakuwa kapandisha munkari kweli kweli....let see, labda raisi akianzisha wilaya ya sinza ..jamaa ataunyaka..ila tafadhali, usiache kutembea na camera
ReplyDeleteHappy April fool Mithupu!!!
ReplyDelete1 april michu..tumekushtukia.mdau Holland
ReplyDeleteCongrates bro MICHUZI, hopefully u make this region 2b # 1 passing K'ndoni in the near future. As we all know u will help as many people in that area as u help many thru this glob. Again HONGERA bro
ReplyDeleteMdau T-Dot
leo ni siku ya wajinga ! mimi sio mjinga, umenikosa hapo michuzi !
ReplyDeleteAcha Uongo Wako Mzee Ki T shirt. Duu Kama Hivo Lazima Michuzimond Ianzishwe Fasta .Hihihihi Ila KAMA NI KWELI NAKUPA PONGEZI KUBWA SANA KAKA MISUPU MAANA HIZO ZILIKUA NI DUA ZA WADAU HADI UBARIKIWE KAKA.(MDAUBOX)
ReplyDeleteMichuzi kamba hizoo april Fool leo.
ReplyDeleteHeri ya Siku ya Wajinga..!
ReplyDeletehongera kaka michuzi kwa kulamba dume utukumbuke katika ufalme wako
ReplyDeleteMichuzi labda udanganye hicho kitisheti chako ulichovaa ndio kinaweza kukusikiliza...april fools day!
ReplyDeleteMichuzi nimekuona kwenye Luninga ukila kiapo na suti kubwa..ila wamesema wilaya yako ni Katalamba sio Tegeta..sasa kaza buti kuendeleza libeneke
ReplyDeleteHONGERA MZEE WA LIBENEKE.
ReplyDeleteILA ITABIDI UONGEZE WASAIDIZI WAKO WA KURATIBU MAONI KWANI SIO RAHISI MKUU WA WILAYA KUPATA MUDA.
125th ST./HARLEM.
I hope this is not the april fool thing.
ReplyDeleteHappy April Fool's Day to you too!!! P.
ReplyDeleteMithupu!
ReplyDeleteNaona umeula sio, safi sana! endeleza libeneke lako huko Tegeta na ukiweza omba ubadilishe jina la hiyo sehemu paitwe Tegetazzz au siyo?
Hepi fuls dei!!
Mdau wa Newala.
unakizizi bro hebu tupatiye na sisi, mara tutasikia umekuwa mbunge au waziri au hata rais wa nchi, big up bro na kizizi tupeane.
ReplyDeletemdau kutoka newala
SIKUKUU YA WAJINGA LEO,HAHAHAHAA.HUNA LOLOTE MZEE WA MIKONOZIIIIII,NIMESTUKA KAKA,DUH UNATISHA KWA UONGO,HAHAHAHA,
ReplyDeleteleo ni sikukuu ya wajinga bila shaka kikwete kakudanganya tu,hahahahaaaaaaaaaaaaaaa,
ReplyDeleteKaka sio mbaya kujikuta uko ndotoni. Allah S.W. anazisikia sala zako ipo siku utakuwa mkuu wa mkoa kwelikweli na sio huu mkoa wa April mosi. Aqram Allawi
ReplyDeleteAPRIL 1 IS A FOOLS DAY
ReplyDeleteLeo ni sikukuu yetu wajinga a.k.a "Wadanganyika" Kila la kheri wajinga wota duniani katika kuadhimisha skukuu yenu.
ReplyDeleteACHA KUTUYAYUSHA WEWE. lEO NI SIKUKUU YA WAJINGA DUNIANI.
ReplyDeletehongera kwa habari za kutengeneza
ReplyDeletekwani leo si april full au vp?
inapendeza lkn unaweza kuja kuwa kweli mkuu wa wilaya
Hongera sana!!! and on another note:
ReplyDeleteApril Fools' Day is observed throughout the Western world. Practices include sending someone on a "fool's errand," looking for things that don't exist; playing pranks; and trying to get people to believe ridiculous things.
The French call April 1 Poisson d'Avril, or "April Fish." French children sometimes tape a picture of a fish on the back of their schoolmates, crying "Poisson d'Avril" when the prank is discovered.
happy fools day michuzi
ReplyDeleteWacha URONGO bwana misupu.leo siku ya wajinga
ReplyDeleteMhhh Sikukuu ya wajinga!
ReplyDeleteDuuuuh sio mchezo! Yaani bwana Michuzi kidogo tu hata mimi unibambe katika hii siku mambumbumbu.Sasa tatizo nimekushtukia kwenye maeneo mawili.Kwanza kusema taarifa ya ikulu kidogo machale yakanicheza.Maana nijuavyo mimi, japo uteuzi wa MaDC unafanywa na Mh.Rais lakini taarifa yake kwa umma hutolewa na ofisi ya Waziri Mkuu-TAMISEMI.Lakini lingine ni kwamba kwa kawaida wilaya mpya wanakabidhiwa watu wenye uzeofu na kazi za ukuu wa walaya.Ungetaja moja ya wilaya kongwe ingeingia akilini kidogo.Hatahivyo,ni jambo jema sana kujitabiria
ReplyDeletemafanikio iko siku itakuwa hivyo bwana Michuzi, endeleza ukada kwa nguvu zote.
Kada,Tumsifu-USA
Hongera sana Bwana Michuzi, nimekuwa nafuatilia kwa makini makala yako, nategemea hutaacha kuandika katika hizi blogu. Mimi ni mtanzania pekee hapa Nepal. Wakati nyinyi mko mwaka 2008 sisi hapa kalenda yetu ni mwishoni mwa mwaka 2063. Hapo April 17, 2008 kwa mwaka wenu sisi huku tutasheherekea mwaka mpya 2064. Bwana michizi mimi nina shida. Kuna mtu alinitapeli kiwanja kule tegeta. Vipi ukiwa mkuu wa wilaya unaweza kunisaidia. Niko tayali kukupa asante 10% of the value. ila kama utaweza kutumia madaraka yako kunitafutia kiwanja kingine nitafurahi. Vipi Mbezi beach itakuwa chini ya himalaya yako?
ReplyDeletemmh..happy fools day to you too kaka michuzi
ReplyDeleteHaya Issa let me hope siyo April`s fools! Kama umetudanganya, ole wako Issa..
ReplyDeleteHahahahah..in anyway you deserve, kwani nini bwana?
Whatever it is, hongera kwa yote.
Wewe michuzi weweeeeee haaaa unaota siyo! Poa ila dont worry ndoto zako siku moja zitajakuwa za kweli! Unaonekana unachapa kazi ile mbaya usikonde one day itakuwa YES on your side!!
ReplyDeleteWewe mwandishi unatufanyia siku ya wajinga sisi kumbe unajifanyia mwenyewe kwa mana hata hujui Tegeta ipo ilala au Kinondoni!
ReplyDeleteHAHAHAAAA! SIKUKUUU YA WAJINGA LEO HUTUPATI HATA KIDOGO NG'OOOOOO.
ReplyDeletemwaki.
Ap.....FO......Day
ReplyDeleteBado hujatu-fool bwana, jaribu tena...
ReplyDeletemie sio mjinga
ReplyDeletewadanganyikao ni wajinga
tar 1 leo ati
Michuzi usishangae watu wakaanza kukupa hongera na Happy Belated Bithday bila kutazama tarehe ya post yenyewe hao utawapata wengi tu.
ReplyDeleteMdau wa kwenye sky
Ha ha ha! You didn't get me on this one! I ain't no Fool. A good one though!
ReplyDeleteMdau
http://drfaustine.blogspot.com/
Nami nakupa hongera sana maana hata tegeta inakaribia kua nchi itakayojitegemea so una wakati mzuri sana wa kua Rais wa eneo hilo ila angalia yasikukute ya Kanali Mohamed Bakati wa Moheli Moroni Comoro. Weeee
ReplyDeletewapi Kanali Bakari wapi mafisadi wa EPA wapi mafisadi wa Richmonduli wapi
fisadi namba moja mzee mwenyewe aliekuwepo? mbona kimya sana?
happy april fools day!!!
ReplyDeleteu got me, that was good
HappY April Fulllllllllllllll.
ReplyDeletemichuzi mm nilishtuka..nilidhani tangazo la kifo, nilikua naogopa hata kuscroll down.hehehe
HappY ApriL FuLl wadau
Kaka Michuzi
ReplyDeleteLeo ni siku ya Wajinga Duniani(April Fool's Day). Na kwa hili nimekushtukia.
Mdau Dommy
HONGERA SANA BRO. MICHUZI KWA KULAMBA HUO UKUU WA WILAYA. NDIO MAANA HICHO KISHATI CHAKO ULIKUWA HUKIACHI NAONA KINA KAMZIZI. USITUBWAGE TU WADAU MAANA HII BLOG YAKO WENGINE TUNAINGIA HATA MARA TANO KWA SIKU TAFADHALI USIJIUNGE NA MAFISADI UKATUSAHAU.HONGERA SANA!!!!
ReplyDeleteHongera kaka misoup nilijua jinsi unavyo kula raha kila siku nilihisi tuu kuna mtu anakubeba anyway hongera sana kaka.
ReplyDeleteSheeeeeeeeeeeee!!! no comment
ReplyDeleteEbwana Michuzi kaka yangu...Mimi ndio niliacha comment kutoka Canton, OH. Ebwana umenipata kabisaaaa...kumbe leo ni April fools! Hahahaha...Hapa najicheka. Ila uzuri nimegundua mimi mwenyewe kabla hata hujaweka comment zangu zilizopita...
ReplyDeleteMhh hii kali. lakini ukizingatia leo ni tarehe 1 ya mwezi wa 4 basi jaribu kupost tena siku ingine, leo haikamati (Son of a peasant)
ReplyDeleteNI SIKUKUU YA WAJINGA LEO. MIMI SI MMOJA WAO.
ReplyDeleteACHA NDOTO ZA ALINACHA HIZO!!!!!
ReplyDeletehappy fools day michuzi
ReplyDeleteNdugu Michuzi....I wish you a wonderful April fool's day.
ReplyDeleteHONGERA KWA KUDANGANYWA HIVI HATA WEWE MICHUZI NI MJINGA?
ReplyDeleteUNAADHIMISHA SIKUKUU YAKO?
kaka hongera tena umepata wadhifa katika tarehe 1 may inamaana huko tegeta ni wa... na siku yao ni leo,sina mbavu
ReplyDeleteyu r just kidding bro Michuzi, tumekushtukia, maana leo ni cku ya wajinga. ciao!!!!!!!!!!!
ReplyDeletekaka upo kama betty mkwasa umeuchinja je ka tshirt kwenye vikao vipi?
ReplyDeleteAPRIL FULL
ReplyDeleteJamani mie sijui hata tufanyeje!!! sijui tumpongeze Michuzi au tusikitikie Blog yetu hii!
ReplyDeleteUkweli ni kwamba Libeneke litakuwa limefifishwa kwa kiwango kikubwa sana.
"By the way Hongera Bro Michuzi,"
Umeula ndugu yetu.
Mdau.
DRC
jina mheshimiwa au bro michuzi??? Hongera fanya fituzi sasa wakati ndio huu
ReplyDeleteMbona hupost maoni hayo?
ReplyDeletewewe mzee wa Roiko Michuzi Mix unatumix
Samahni, haihusiani na Picha wala maelezo,
ReplyDeleteEti hivi leo ni tarehe ngapi vile??
Maana kidogo kalenda yangu hapa imeloa na mvua zinazoendelea kunyesha
No one is fool,lakini huwezi jua kaka michuzi mbona Mkwasa kaupata jitahidi kupiga picha na ukiwa karibu na Rais unajifanya uko serious
ReplyDeleteFOOLS' DAY APRIL 1!
ReplyDeleteHa ha haaaaa, April fools day. Ahsante kaka Michuzi
ReplyDeleteHONGERA SANA, KWA KUKUPONGEZA NIMEKUTUMIA ZAWADI YA BAJAJ KWA MATUMIZI YA HOUSE GIRL WAKO.
ReplyDeleteSIKUKUU YA WAJANJA!!!!!
ReplyDeletehii itakuwa tunapigwa mchanga wa macho ukizingatia leo ndo ile wajinga dei.misupu nimeshtukia te te te heeh..
ReplyDeleteleo hii hii april fool? haya bwana ngoja tukupe tu hongera kwa kuwaza mbali.
ReplyDeleteWEWE MICHUZI ACHA HIZOO! LEO SI NDIO SIKUKUU YA WAJINGA...HUNIPATI N'GO!
ReplyDeleteleo siku ya wajinga....hujanikamata bado...ila subiri wabeba maboksi waamke na comments zao za kufurahisha...haya...mimi simo
ReplyDelete1st April, fools day
ReplyDeleteHahahahaha, very funny, but Happy April Fool Kaka Michuzi.
ReplyDeleteaaaaahhh WAPI ,HILI CHANGA LA MACHO JIBABAB,MICHUZI WENGINE BADO SISI HUKU TULIKO HAIJAFIKA TAREHE MOJA MWEZI WA NNE SAAA HIZI SOO .
ReplyDeleteBADO SILIKUBALI DOMNGO HILI.
WEE SEMA UNAONYESHA " FULANAZZZZZZZZZZZZZZZZ"
MDAU HOUSTON
Ha ha ha haaaaaaaa...Kaka michuzi utawapata wasukuma peke yao!!! me ndo maana nimeamua kuzima siku yangu kwani mwaka jana nilipatikana kwa kupigiwa simu kuwa nimeshinda Rav4 Celtel, nilitimka kutoka ofisini kwangu hadi Celtel nikajikuta natoa macho getini, walinzi wananiuliza nikasema nimeshinda Rav4, wao hawana MBAVU KWA KUCHEKA!! Kumbe walishaenda na wengine kabla yangu.
ReplyDeleteHongera sana kakangu, may be utajapata uheshimiwa siku moja Inshaallah!!! DREAMS COME TRUE!!!!
Congraturation mdau but am worried it might be another fools day.
ReplyDeleteHahahahaha!
ReplyDeleteApril Mosi, siku nne kabla ya siku yangu ya kuzaliwa!
Safi sana, utawashika wengi tu!
Wajameni hivi leo ni tarehe ngapi? Otherwise Hongera bro michuzi kwa uteuzi huo ambao mwisho wake ni saa 4 asubuhi kwa saa za africa mashariki. Big up sana
ReplyDeletefools day
ReplyDeleteMich nimeustukia leo ni siku ya wajinga kwahiyo hapa kidogo umeteleza ingawa kwa wengine lazima wangejua ni kweli eheeeeee eheeeeee eheeeeeee eheeeeeeeeeeeee
ReplyDeletehilooo leo ni cku ya wajinga hata humpati mtu!
ReplyDeletemdau XXXL
Hii kama siyo April mosi sijui.Unajua leo ni siku ya wajinga.Kama ni kweli Mh.Michuzi kaula, basi nampa pongezi.Kama ni siku ya wajinga duniani,Basi nimemstukia.
ReplyDeleteMdau Ujerumani
Humpati mtu hapa Michuzi na hiyo April fools day yako....
ReplyDeleteOverland Park, Ks
Is it because of April's fools day?
ReplyDelete"Hongera" ila mimi nilisikia kuna mpango wa Bw. Michuzi kupewa machimbo ya mererani ili ayaendeshe kwa muda hadi hali itakapokuwa salama baada ya janga lililotokea!!
ReplyDeletetarehe moja mwezi wa nne.
ReplyDeletedaaaa michuzi leo sio siku ya wajinga kweli?
ReplyDeletemaana hii habari ya wewe kuwa mkuu wa wilaya naiona kwenye blogu yako tuuu.
hongera sana mkuu kwa kuwa mkuu wa wilaya ila leo siku ya wajinga.
Amen
Hivi Raisi gani awezaye kuwa Mjinga akachagua Mjinga siku ya sikukuu ya wajinga awe mkuu wa wilaya ilyojaa.........!!!!!
ReplyDeletehamna kitu km hiko michuzi,leo ni siku ya wajinga ila fresh 2 jipigie debe,uenda siku moja ikawa kweli ukaukwaa ukuu wa wilaya sumve
ReplyDeleteHivi leo ndiyo siku ya wajinga duniani?
ReplyDeleteWe Michuzi usituzingue wala nini-leo ni April 1st kwa hivyo story kama hizi zitakuwa kijiji.
ReplyDeleteMkuu hongera saaana!!
ReplyDeleteKeep up the good work na huko kwenye wilaya!!
Aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa Misupu!!!! unaota Mchana Eti eeeh. Unalo hilooooooooooooo, utalinywa Mwenyeweee wadau hatumo.... hakuna MJINGA HAPA!!! UKITAKA UKUU WA WILAYA ANZA KUVAA SUTI MFULULIZO... AFU UKIPATA UKUU WA WILAYA..FAITI UJE MWANZA - NYAMAGANA TUKUPIKIKIE SUPU YA SATO FRESH, UPATE KITAMBI KDG. TEH TEH TEH!!!
ReplyDeleteUNCLE MICHUZZZZZZ,
ReplyDeleteKUMBE BONGO TANZANIA NI TAREHE MOSI APRILI TAYARI! NIMEJUA KWENU TAYARI NI SIKU YA WAJINGA! NIMEANGALIA KALENDA, NIKAPIGA HESABU ZA HUKO NA KUGUNDUA HUKO NI APRILI TAYARI, NDIYO MAANA SIKUNG'AMUA TANGAZO HILO MAPEMA, MAANA HAPA US BADO NI APRILI 31, 2008.
NAJUA WENGI WATAPATIKANA TU HASA WALIOKO UROPA NA KWINGINEKO. HONGERA LAKINI KWA NDOTO, UNAWEZA KUKUTA UNATEULIWA KIKWELIKWELI, WHO KNOWS MAN!
M. Mwipopo, USA
Lols, you almost had me there! But then i remembered its April Fools Day!
ReplyDeleteWajinga day michu!!!! usituzingue!!!!
ReplyDeleteApril Fool Day, Issa Michuzi has no ambition of being a politician. GOOD try though
ReplyDeleteListen to him talking with Dewsi on Radio BUTIAMA.
UJUMBE ENDELEZA LIBENEKE
By Mchangiaji.
Michuzi sasa ni wakati muafaka kufanya hesabu ya wajinga katika globu yako. Katika wote waliotoa comments, hebu tuhesabie ni wangapi walioingia mkenge na ni asilimia ngapi ya wote?
ReplyDeleteSASA ITABIDI NA WEWE UPATE WASAIDIZI AMBAO NI CHIBILITI BIN CHIBATARI NA MANKA MUSHI KAMA UKIWA UPO KWENYE HOLLIDAY WAO WATALIENDELEZA LIBENEKE WILAYANI.CHIBILITI RUDI BONGO SASA NI TAMBARARE WEWE UMETEULIWA KUWA MAKAMU WA MKUU WA WILAYA.APRIL FULLYYYYYYYYYYYYYYYYY
ReplyDeleteMICHUZIII kumbuka leo ni sikukuu ya wajinga. Mdau wako Mnamba.
ReplyDeletekweli leo umewaokota wengi ambao walikua hawajui kama ni fools day
ReplyDeleteHAPPY FOOLS DAY
Michuzi umewadaka kiasi ila siyo kwa sana
ReplyDeleteKatochi)
tehe tehe.....
ReplyDeletekaka michu mbona hujamalizia taarifa yako kua utaapishwa viwanja vya jangwani saa 5.30 am.na watakaotoa burudani ni ze comedy.big up.ritha
Michu, ukitoka ukuu wa wilaya mpaka kuwa rais wa tanzania. Ukifikisha miaka 71 kama mc cain
ReplyDelete