Ule wakati tulio usubiria sasa umefika, Website ya pekee itakayo jishughulisha ktk kuutangaza muziki wa Tanzania ipo jikoni na ina karibia kuiva.

Unataka kusikiliza muziki wa nyumbani? Basi watembelee wajuzi wa fani hii kupitia www.mkmusicgalaxy.com kwa miziki mipya na ya kizamani uburudike roho yako.

MK MUSIC GALAXY - EXPLORING THE TANZANIAN MUSIC.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 18 mpaka sasa

  1. nimeijalibu...moja kwa moja nikaingia upande wa nyimbo za Injili...BRAVO web imetulia....keep going on....asanteni kwa kutufanya tujisikie tupo TZ.

    ReplyDelete
  2. nawapongeza,ila kuna nyimbo nyingi hazitoi sauti...hasa section ya zilipendwa. Rekebisheni kasoro hiyo. By the way hii ndo ilikuwa MAHUSIANO ya zamani?

    ReplyDelete
  3. I am listening to Kifo by Remmy Ongala, Hongera BIG UP..

    Few links missing on Zilipendwa as obseverd by the any 6:13am.. I LUV IT!. I LUV IT!

    Kifo Kifo hakina huruma...What a great music.

    By Mchangiaji

    ReplyDelete
  4. Forget one more thing, I mean play list should continuously keep playing the songs, rather than click and return.

    By Mchangiaji.

    ReplyDelete
  5. Jamani hizi nyimbo zilipendwa zanikumbusha mbali, nahisi kama chozi lanitoka.

    ReplyDelete
  6. Kaka michuzi website gani naweza kupata hotuba za mwalimu nyerere?.

    ReplyDelete
  7. Taarabu ipo hapo...?!

    ReplyDelete
  8. Tatizo watu tunashindwa kutafsiri vizuri maana ya kuweka materials online hasa music wa wasanii masikini.
    Nadhani kunahasara nyingi zaidi ya faida kwani badala ya watu kulazimika kunuwa kazi za wasanii watabaki kusikiza online- so tunajenga or twabomoa?
    this sio kwetu tu nadhani hata wanamusic wakubwa US na kwenginepo wamelaumu that watu wameacha kununua nyimbo zao badala yake wanadownload na huenda soon kukawa na sheria kuhusu PIRACY ya kazi za watu.

    Ningedhani bora hizo sites ziwe na special way ya kuweka just song abstract then mtu akitaka ajuwe atapataje album or single and not watu wajiuwe na kazi zao then wengine waweke bureeeee online.. hatuwa saidii wajamaa kabisa.
    Unadhani jiulize wale jamaa kina doctor remmy wanajuwa or wanapewa hata sent kwakuweka nyimbo zao online? TUSIWAFISADI PLEEEAASSEEEEE!

    G7
    UK

    ReplyDelete
  9. hii ndio web niliyokua naisubiria imetulia kinoma kwa kila pande c mchezo big uo bro i realy like this web coz has got potential,personalities kwenye kila page oooh i luv it! hata ku advert biashara yangu nita kuja kwenu c mchezo babaake.
    BRAVOOOOOOOOOOOOOOOOOO MNATISHA.

    ReplyDelete
  10. Michuzi,
    Mboni MKGalaxy maktaba yake haina tofauti na webusaiti zingine kibao kama www.eastafricantube.com au www.ntwiga.net/blog
    MKgalaxy mnatakiwa mje na gia ya kitu kipya cha kuvutia wapenda miziki kwa mfano: webusaiti iwe rahisi kuingia, uki-click muziki unaimba masaa 24 na matangazo ya BIASHARA kwa kutumia sauti kwa 'jamu' badala ya matangazo ya mabango(maandishi), mfano tembelea webusaiti ya http://www.live365.com/sauti ya ingoo (bolingo,zouk,bongo dansi za mlimani Park orch n.k

    ReplyDelete
  11. michuzi usinibanie yule aliyeshindwa kupandisha website ya ikulu alaaniwe kabisa, na kushitakiwa mmoja baada ya mwingine usibane michuzi, naona hata wewe ni mara mia ya mafisadi hongera sana.

    ReplyDelete
  12. Anony wa Tarehe April 25, 2008 8:13 PM mbona wewe haujatoa website yako ambayo ipo tofauti ya zote?? Hacha za kibongo bongo, jamaa hawa wamejaribu tunabidi tuwape heko badala ya kuchonga bila sababu za msingi.

    Great job.

    PeAcE.

    ReplyDelete
  13. Kaka Michuzi,mimi ninashida nimekuwa kwa muda mrefu ninatafuta cds za zilipendwa lakini bila mafanikio.Sasa ninaweza kupata kwa njia gani?
    Nikiwa Dar nimekwenda ata Radio Tanzania lakini sikuweza kupata.Naomba nisaidiwe na hii itasaidia ata kuongeza kipato kwa wanamuziki zaidi ya usikilizaji tu.
    Nawasilisha.

    ReplyDelete
  14. Aaaah this is great stuff. Keep up the good work wazee. Naomba baadhi ya nyimbo mzifanyie kazi ili tuweze kuzipata kama ile ya Samba Mapangala "Dunia Tunapita".

    ReplyDelete
  15. Asante sana Bro. Michu na Makwaia.
    Hizi collection POA SANA. Hasa ya zilipendwa. Maana huu muziki wa kizazi kipya ulianza sisi tukiwa ughaibuni huku kwa hiyo hatuufahamu vizuri.

    Tu-enjoy na kukumbuka mengi tunaposikiliza zilipendwa. Hata kama lugha nyingine hai-pandi kama vile kikongo, lakini raha ya kuzisikiza hizo nyimbo....WE ACHA TU!

    KITU KIMOJA ninachoomba ambacho hata walionitangulia hapo juu wengine wameomba, ni baadhi ya nyimbo hazisikiki. Tunaomba ukarabati ufanyike kidogo.

    Nadhani zile zilizopo kwenye namba 80 na kuendelea ndizo nyingi hazisikiki. Nilijiandaa vizuri kuisikiliza KOKOO mtoto wa Iringa ya Kikii lakini wapi bwana.

    Je na wale jamaa wa TANCUT Almasi hakukuwa na recording zozote walizofanya?

    Shukrani!

    Mdau UK.

    ReplyDelete
  16. Jamani, mbona video ziko 3 tu? Yaani zinajirudia rudia hizo hizo siku nzima, juma zima, mwezi mzima, mwaka mzima nk nk?

    ReplyDelete
  17. babu web bado inaendela kupikwa so let all of us stay tuned and keep waiting.

    mi nakula masong hapa ya zilipendwa, hizo video nazisubiria. they have told me that they have tones of music and videos from bongo so lets wait for revolution.

    Nawakilisha

    ReplyDelete
  18. kijana haujatulia zinajirudia rudia mwaka mzima! nawakati web bado changa tu! kwa taharifa tu ime funguliwa jana tu 25/04/2008

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...