Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Ama kweli biashara ni matangazo!!! Kwani ukali wa nyuki ndiyo ubora wa asali? au inamanisha kwamba haikuongezwa maji?

    ReplyDelete
  2. Ha ha ha anon wa kwanza huo ndo ukweli ukali wa nyuki ndo utamu wa asali yake!Na udogo wa nyuki pia ndo utamu wa asali yake au we hujui hilo? Ndo maana dhahabu haikai juu ya ardhi kama mchanga, ukiitaka dhahabu sharti uwende chini mita kadhaa! Basi na ndivyo ilivyo kila kilichokitamu sana hupatikana kwenye ugumu sana, na asali tamu sana hupatikana kwa nyuki mkali sana...! Ndo kanuni ya maisha mdau! Waswahili wao wanasema
    "Utamu wa muwa kifundoni" Na ili kukikata kifundo pataka kisu kikali au sio?

    Bablii

    ReplyDelete
  3. maji must! ningependa kujua asali nipi tamu, ya nyuki wakali au wasiouma

    ReplyDelete
  4. Anony #1 (Tuesday, April 1, 2008 5:58:00 PM EAT)
    Huwa kuna nyuki wa aina mbili:
    1) Nyuki wakubwa ambao ukiwasogelea kwenye makazi yao utaona cha mtema kuni. Hawa wanatengeneza asali nyingi kwa muda mfupi.
    2) Nyuki wadogo ambao hata ukiwashika mkononi hawana madhara. Hawa wanatengeneza asali lakini kwa muda mrefu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...