Kwa niaba yangu na kwa niaba ya ndugu, jamaa na marafiki wa Abdulhameed Bafagih, napenda kuwataarifu kuwa tutakuwa na hitma ya kumuombea marehemu(kwa both wanawake na wanaume) ambayo itafanyika siku ya jumamosi April 5th,2008 saa kumi na nusu jioni
nyumbani kwa KHAMIS KHAMIS NA HAMIDA ALI
na address yao ni
107-22 77th STREET OZONE PARK-NY-11417
kwa maelezo zaidi, tafadhali wasiliana nasi kupitia
ASYA-718-288-8895
OR 718-638-3920
KHAMIS KHAMIS-347-233-0697
HAJJI-347-623-8965
MOZA- 347-627-3001 OR 646-462-6179BI
MOSI-718-277-3803
ZAINAB-718-964-1560 OR
646-316-5401
tafadhali wafahamisheni wenzetu popote walipo.
Ahsanteni sana.
Katty.
NYC.
NYC.
Michuzi,
ReplyDeleteMbona sielewi wakisema hitima kwa both wanawake na wanaume?
kicha wangu wa april 3 at 9:37 utaelewa wapi na umande skuli ulikuwa unakusumbua wewe kichwa maji.sasa subiri tukufahamishe. both maanake wote mchanganyiko lakini hatatochanganyika kutakuwa na nafasi ambayo wanaume watakaa peke yao na wanawake watakaa peke yao,kama ni nyumba ya mtu kwa maisha ya marekani basi wanaume watakaa ukumbini na wanawake chumba kilicho kitupu sawa weee mzee wangu.kama hujafahamu hapo itakuwa kazi kubwa tena yakukufahamisha na itabidi ulipeleke swali lako kwa sheikh wa mtaa maana nishakushtukizia wewe unataaka kuliza swali la kidini. maisha ya siku hizi mchanganyiko babakeee mecca tunachanganyika itakuwa kwa baba bush.
ReplyDelete