Hello Michuzi,

Hawa sio wazee wa Aba (Simba) bali ni vijana wa IPP Football Club. Bahati mbaya timu hii ilikufa kwa fitna za watu. Itupe hewani mtu wangu.

Regards
Mdau Amon

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Duh, kama sikosei hapo ni uwanja wa Karume, kweli tumetoka mbali uwanja kama wa mbio za farasi. Soka fitna kumbe mlikuwa hamjui???!!!

    ReplyDelete
  2. mbona wanashikana viuno? inaogopesha eti.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...