Home
Unlabelled
kifungilo part II
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
mh hii itakuwa miaka ya 8o mwishoni au 91,92 na 93.Maana naona style za nywele mh ,nywele zimetonewa kwa udi na uvumba ili tu graduation mambo yawe powaa.Duuu tumetoka mbaliiii
ReplyDeleteDuuh! Hi lazima ni zamani, kabla ya 1993. Thanks for sharing.... Vibwenzi vya kumwaga ndani ya Gwaride. Na Sir Massawe hata hajaongezeka. I see Sr Fide na Sir Mushi wote super portable. .....Naona hata sahani zilikuwa bado ni kwa individual kwani while I was there wote tulikuwa na bowls according to our classes with individual numbers.
ReplyDeleteAnna Mlay.... Hii itakuwa ni 1992...kweli long time
ReplyDeleteHaleluyah SISTA FIDE FIDE, MR MUSHI, MR MASAWWE! DAMN THOSE DAYS I MISS KIFUNGILO'S LIFE! Makyami MN.
ReplyDeleteNamuona Rose kisanji hivi Sandra mushi alisoma alisoma Kifungilo ? maana walikuja na group la kina Halima Ally mimi nikiwa form 1
ReplyDeleteKweli maisha ya zamani Raha hivyo viatu wape sasa hivi ehee wanaweza kukutoa roho,wamekuwa masista do hao
ReplyDeleteNakumbuka miaka ya 90' kulikua na rumor hati Kifungilo ilikumbwa na ugongwa wa mfadhaiko kwa akina dada hawa.
ReplyDeleteHaya maswala ni kweli ??
Uwiii..Mother Fi and Mr Massawe!!
ReplyDeleteOMG!...MR MUSHI AND MR MASSAWE...DAMN JAMANI WHERE IS LULU MKWAWA AJE AJIONEE MWALIMU WAKE MR MASAWWE.
ReplyDeleteSASA HIVI UKIWAONA WOTEE HAWA MASISTER DUUH KINOMA ILA ENZI ZILE HAHAHAHAH....ODL IS GOLD AND NEW IS RUBBISH FOR REALLY!
Hey Kifungilo girls...Guess what? I am ready to organize the kifungilo girls reunion..This is what i will do ok..I will open up an account with facebook, whoever wish to join can join and the account will be called "Kifungilo girls school" here is what you can do if you are not familiar with facebook..log into facebook.com then register after registration..go into search and try to find KIFUNGILO GIRLS SCHOOL...Apparently i will not be able to do it now but i promise you to do it by end of the day today...
ReplyDeleteI will send a msg thru michuzi here and let ya"ll know that account is available.Don't forget to fwd the link to others pia...
Here is the deal..I need to know how many people are willing to come to the reuinion and we can arrange place and date..I am in the state so this is for those who are in United state basically.
I am so excited...i can't wait to get to see other long lost kifungilo members...
Holla @
auntykelly@hotmail.com
xoxo!
KAKA MICHIZI UMETOA WAPI HIZI PICHA?YANI HATA MIMI NA UPAPARAZZI WANGU SIKUWA HATA NA PICHA NILIYOPIGA SHULENI KWANGU KIFUNGILO ENZI HIZO ZA PRIMARY SKULI?DUU YANI UMENIKUMBUSHA MBALI SANA.YANI NAONA MAAKULI PALE NIMEKUMBUKIA BALGA NA MAANDAZI WAKATI WA HONZI?TENA NILIKUWA TABLE LEADER...HAHAHAH...NA ILE TREMKA IKILETA MIKATE KUTOKA MJINI LUSHOTO?....HAHAHA MNAKUMBUKIA JAMANI WAKATI WA KUFUNGA SHULE TULIKUWA TUNASUGUA MADAWATI MPAKA UNAJIONA USO WAKO?HAHAHI MISS MY SCHOOL..ASANTE SANA KAKA MICHUZI...tjm..
ReplyDeletethis was back in 1992 i see Blandina Donald, Mis Kisanji, Gloria. Mr. Massawe Mshambaaa. I hated him just like he hated me
ReplyDeleteAnonymous Apr 1,11:27 mmh...!Yaani wewe ndo umenifikisha kabisa miaka hiyo ya tramcar,vibunto,mikate toka Lsh mjini.Tulikuwa tunasikia magari yakija yakiwa huko...
ReplyDeleteHata mimi nlikuwa hapo ilipokuwa Prim Sch.
katika picha ya pili nafahamu wa kwanza kulia ni Patricia Mlozi(BOT),Doris Nzowa sijui yupo wapi, Immaculate Mwaungulu sijui yupo wapi.kiti cha uvivu jamani. hivi ile dispensari bado ipo? baada ya Father Peter nani alifuata? What a best school jamani. REUNION MUHIMU hata kama miaka ya nyuma tukumbukane. ulisoma kifungilo ulibahatika
ReplyDeleteJamani michuzi asante sana, yaani hizi picha ni za enzi zetu sisi tuliosoma kifungilo in the 90s, jamani mother Fii!!, kweli ni siku nyingi, vibwenzi na viboksi tulikuwa tunavibonyeza tusinyolewe, OMG, miss those days.
ReplyDeleteCan't wait for the reunion!!
Mage(Canada).
Jamani kifungilo nimemuona my best friend Romina Njau picha ya tatu wenye masweta ya zambarau sijui yuko wapi sasa hivi I miss her really keep in touch please sarabairu@yahoo.com
ReplyDeleteTuliomaliza form 4 1990 Kifungilo mnakumbuka issue ya " Chupa haina kiziboooooooo" na " Moja, mbili, Tatuuuuuuu" scones za pale nje? Kifungilo is a nice school I am telling you with a lot of challenges.BIG UP
ReplyDeleteHahahaha awwwwwwwwww moja mbili tatu KIDUDEEEEEEEEEEEEEEE..who will forget that jamani eeeh those were days...
ReplyDeleteYaani jamani mmenikumbusha mbali sana..story ya chupa haina Kiziboooooo na moja mbili tatuuuuuu zimenikumbusha mbali sana ...mimi nilimaliza 1989 lakini i still have the good memories of Mother Fiii,na siku ya kufunga shule tulivyokuwa hatulali baada ya mgao wa maandazi na mapeas...pia nimesoma hapo primary nakumbuka uwanja wa kupigana kule kwenye mabembea ya chini...nakumbuka kutafuna mahindi makavu ambayo yametwangwa kwa ajili ya MACHENGa....jamani good ol life.....Big UP to all Form four leavers 1989 na primary 1985
ReplyDeleteWewe mwenye comment chupa haina kizibo ni classmate! Mikate ile ilikuwa mitamu bwana. Hata kama waliclaim ni michafu, it was worthwhile. Vipoko tulichapa ile siku sitasahau. Helly alikuwa analia alivyorudishwa kwenye roli la shule! Wooo...
ReplyDeleteWee mushi wewe ulipokua magamba ulikua unapenda sana mambo ya viboko viboko sana. Mbona maisha sio magumu kama ulivyokua unatutishia wewe...........
ReplyDeleteMasudi
hohohohohoho Chupa haina KIZIBOOOOOOOOO.lol That was very creative.
ReplyDeletejamani x members kifungilo kuna group wajanja walichafungua kitambo kidogo hi5 Kifungilo girls please be there!
ReplyDeleteWapendwa 1990 - form 4 nakumbuka tulienda kuoga mtoni kulikuwa na MATUNDA YA NYANI basi ukipata ni kila mtu naomba wewe naomba. Vipi zile bulga, mchwee, ngararimo, oats.
ReplyDeleteNa Fidesta X 4 ooh endelea kuongoza Kifungilo
Come tomorrow, come tomorrow morning. Classic movie ya Sound of music. Old is Gold
kuwataja ninaowakumbuka seven 1986 na form 4 1990 Kifungilo,
ReplyDeleteMay Mtonga, Nelly Mtema, Gloria Mosha, Justina Katiti(RIP),Coletha Anthony ( RIP), Subira Namfua, Gillian Boldereen,Dora Mandara, Lulu Mkwawa,Grace Patrick, Ndina Mwakamyanda,Christina Lupembe, Neema makoye, Gloria Gonsalves, Fina Mabula, Janeth Luponelo, Joanitha Ngaiza, Suma Mwakanyamale, Irene Maira,Halima Ally, Millie Mosha(RIP),Yusta Mandara, Beauty Mwemezi, Bora Shelikundo, Secky Kayugwa, Sheilla Musa, Consolata Lyamba, Ugumba Maswanya,Gulshan, Nurbibi, Faraja Chiwile, Tina Mkinga, Mage Mfugale, Lina Mkalla, Sisi Mhina, Yusta Shirima, Devotha Shirima, Caroline Bennet, Salome Kapella,Eva kimaro, Marietha Njimba, Flaviana Kilewo, Zulfa Jumanne, Scolastica Dennis, Sylvia Ndekana. Tulimbushane wengine jamani na tutafutane
Indeed memories are made of 'these pics'..remembering the bulga, picking of gooseberries while going 'for a walk', the baths in the cold streams etc.. those were the innocent days of Kifungilo Primary..very dear to our memories.
ReplyDeleteJamani, I am so sad kusikia wengine waliotuacha dunia. Nilisikia Justina Katiti lakini Coletha na Millie sikujua. This is so sad..Mungu awalaze mahali pema peponi. Anony wa April 3, 2008 nikikumbushia wengine Jennifer Millanzi ( Full sense of humor), Sirila Lulenga, Eva Katefu, Rosemary Mnyanyi, Hadija Mshangama, Vivian Njau(RIP), Christina Magwai, Subira Namfua(RIP),Lilian Rweyemamu/George(surname imenitoka kidogo alikuwa mrefu and black beauty, Theobaldina Walden, Marylin Fred, Sheila Musa, Sissie Mhina,Sophy Machaga, Beatrice Machaga (where are the machaga's - walikuwa watundu), Minaeli Mtera... . serious wapendwa lets think of get together. kwa walio US kuna mtu ameshajitolea, sasa sisi ambao bado tunatumikia motherland na wale wa Europe kwa upande wao please somebody volunteer. Wenye fani ya event planning, please put something together. Some of us fani zetu, tuko mbali na haya mambo. Shule ilitufunza mengi kwa kweli sio siri..!!Now what do I remember of Kifungilo??!!!....mashindano ya mchakamchaka. Dada Bertha wa jikoni, dereva Imam, mlinzi Rajabu.Mother Fii, tukiwa tunajiandaa kwenda likizo anatukumbusha 3 SSS's (Sitaki, Sipendi na Siwezi) kwa mwanaume yeyote atakaekutongoza...Sister mary damian jamani " i can hear your noises from the reading room" Information, amerudi Tanzania na amejumuika kuanzisha shule nyingine ya primary Shinyanga. PLEASE PLEASE REUNION, REUNION, REUNION
ReplyDeleteJamani, hii site below nimeona baadhi wamegirester. Ni web nzuri ya kutafutana na lost friends. Waliojiregister wamesema wako wapi, wanafanya nini, na picha wameweka. Pls let more people join, tutafutane
ReplyDeletehttp://graduates.com/SchoolMemberList.aspx?si=255186
yes me too I remember the picnics there were nice kwa kweli. Remember tukifika, tunakaa in groups kila mtu na rafiki zake. Tunatandika Kanga, tunakuwa na vibunto vyetu....then tunaweza tukapiga story.mtu mmoja anasimama na kusimulia hadithi au movie aliyoangalia.
ReplyDeleteMimi ninachojiuliza, shule za serikali zinashindwaje kuwa shule nzuri kama Kifungilo na mazinde juu.
Unajua siku namaliza form 4 kifungilo I was so happy nikijua fika A'level nitaenda shule ya serikali au shule tofauti kwa sababu nilihisi nimechoka na kifungilo nikifikiri hizo shule nyingine ni nzuri zaidi. Jamani, Jamani., km kuna masikitiko niliopata katika maisha yangu ni siku niliporipoti shule ya serikali. Siku za mwanzo nilikuwa nalia, tofauti ilikuwa kubwa sana nikifikiria Kifungilo nilikotoka. Shule zinaendeshwa kienyeji sana, no school activities as it is supposed to be, walimu inaonekana wana uwezo lakini no moral, library, sehemu za kulia chakula ni issue. nidhamu ya shule kwa kweli, iko chini mno...mpaka inasikitisha. Infrastructure ndio usiseme, majengo yamechoka, labs hazina vifaa, classrooms uwii siwezi kusema. kweli comparison ilikuwa tofauti kabisa. Mfano wa haraka 2 angalia picha za shule ya Mkwawa zilizowekwa hapa globuni kwa Michuzi linganisha na Kifungilo na Mazinde juu. hivi mimi najiuliza, viongoz wetu kweli hawaoni huruma na kuwa na utu wanavyopita barabarani na mashangingi wakat jamii kubwa wanayopishana nao ni fukara wa kutupwa. Cant they be serious for once. I believe tungekuwa na uongozi bora na matumizi bora ya mapato ya serikali toka tupate uhuru sidhani kama elimu ya shule za serikali ingetia huruma hivyo achia mbali sekta nyingine kama afya n.k. Utakuta idadi kubwa ya wanafunzi wa serikali wanafaulu kwa kujifundisha wenyewe..Eeh Mungu tusaidie tuwe na viongoz waadilifu, wachapa kazi na wenye utu na sio wenye tamaa ya kujinufaisha wenyewe bali wafanye kazi kwa maslahi ya wananchi...!!!
yaaaaaaaaaaaaniiiiiiiii kweli 2metoka mbali!!!!!!!!!!!!! mnakumbuka enzi izo kufuata kuni milimani?cheki iyo milima nyuma ya sr Fide na sirMushi???????? na kuosha nguruwe na ng,ombe? na kuingia na vibunto?????daaaaaaaaaaaahhhhhhhh i wish 2jirudie enzi izo.Grace Moshi unakumbuka graduation 2livyokuwa 2nakula hadi 2nacheuwa vibaaa.Makicha,Carolyne,carolyte,Cheya,Ruth,Ikunda,Natasha,Ana Matemu,Irene asenga na form 4 ya 2004 nawapa hi kinoma..............!!!!!!!!!!!!
ReplyDeleteKaka Michuzi,
ReplyDeleteHongera sana kwa kazi yako nzuri na unaendelea kuwagusa wengi kupitia blog yako.
Nimewafurahia sana wana Kifungilo kuweza kupata memories za shule yao. Nimebahatika kuwa na mashoga wengi kutoka shule hiyo. Sasa, nakuomba kama unaweza kutupatia memories za shule nyingine za wasichana kama Kibosho na Weruweru.
Naomba ulifikirie ombi langu.
Amani.
Kaka Michuzi,
ReplyDeleteNashukuru sana kwa kutukumbusha Kifungilo. Hili ni darasa letu la F-IV 1992. Nawashukuru Sr.Fidesta, Mr.Mushi & Mr.Massawe michango yao katika maisha yangu inaonekana mpaka leo. Marafiki zangu wa Kifungilo ndio nilionao mpaka leo. Sitaweza kusahau miaka hii 4 ya maisha yangu.
Kaka Michu BiGup kwa sana kwa kazi yako nzuri. Naomba niwaambie wadau hii ni Form IV LY 1992. Na picha ya kwanza waliokaa ni Frida Mramba, Anna Mlay, Aunes Alex, Blandina Donald Mwakipesile (Njoroge)na Aurelia Ngowi. Nyuma ni Deonasia Michael. picha ya pili nyuma kabisa wapili ni Tina Killuwa, mwenye miwani alikuwa Sister sikumbuki jina vizuri ila nahisi Yasinta, anaefata ni Anna Kinyongo, Juliana Mzava, mbele yake wakwanza nimemsahau wapili ni Conso Kigundu (sasa ni Dr. Amana Hospital), Shakila Hazali na Vonne Mgonja. Picha inayofuata wakwanza kushoto Mage Swai, Tina Kiluwa, Rose Kisanji (Super Tall nafkiri alishika namba 2 shule nzima akifatiwa na Tiba Shaphy), Grace Msenga, Farida Mkindi, Leticia Chinguile, Anna Mlay, Agnes Hugo. Waliokaa Sophia mwingira na Mwajey Kiluvia.picha ya chini Sr. Fidesta (head Mistress wetu mpendwa) au Mother Fii, White paper, Leg lines na Mr. Mushi. Chini ni maabara ni Mr. Masawe (Bro Mas) hiyo suti bila shaka ni ile aliyovaa kwenye harusi yake shuleni. Hao ndio Classment wetu na wengi wao ni wake za watu. Huu mwaka naona kifungilo hawatakaa wausahau. Ukiemargine sasa ni wazazi je walipokuwa shule ule utundu cjui kwawatoto wao inakuwaje.
ReplyDeleteHi greetings to you all! Immaculate Mwaungulu is working in Iringa, Tanzania and Doris Nzowa lives in UK from early 1990's
ReplyDeletemmm my sisters, machagas are here saving the motherland. mmh i remember a lot of things when reading your comments i recall moja, mbili, taaaaaaaatuuuuuuu... and chupa isiyo na kiziibooo.... I remember how the mikate used to be palatable. I wonder where is Lilian Twalipo, Janece Kalemera, Mwamvua Mlangwa! Tulikula ile mikate sawasawa si mnakumbuka marejea? How starnge taste they had! Do you remeber vibunto? old good days we used to hide our vibunto at msitu wa dhambi? Can you imagine how we used to take bath at the stream while those workers passing through there to the water pump? can you do the same now? its crazy!
ReplyDeleteThose picture am sure are from Anna Mlay-Mpanda archive! for those who were LY 1991 class M do you remember Akisa eee X 2.
...... kwenye hall, katupia dirishani X 2
Big up to all Kifungilo members
mmmmmmh memories. Beatrice, would love to hear from Sophy. My email hmshangama at hotmail dot com.
ReplyDeleteHadija