Home
Unlabelled
kp leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
jamani kwani hamjui kuwa seif ni ccm damu damu
ReplyDeleteHapo chacha!! Ngoma inogile!!
ReplyDeleteSi kitu cha staajabu kubook leo tiketi na kupata safari leo leo, Europe na America si kitu cha ajabu.
ReplyDeleteKuhusiana na Visa unaapply visa UK Embassy leo unapatiwa Jioni, Kwa kipanya unahitajika usafiri kidogo uone nje kama mwenzako Michuzi.
sasa wewe unataka kuleta consipiracy theory ambazo hazina kichwa wala miguu.. Tatizo lako bado hujasafiri, hapo sikulaumu..
MICHUZI USIBANIE COMMENT
KP kwani hujui jamaa ni raia wa UK???!!
ReplyDeleteWewe anon wa April 4, 12:24, acha uwongo wako hapa, wa kuomba visa asubuhi na kupewa jioni, au huko Unguja siku hizi kuna Ubalozi wa Uingereza? Labda ningekuona wa maana ungesema kuwa pengine ana visa ya mwaka mzima au hata miaka 3. Anaweza kuingia na kutoka UK anavyojisikia kama angeena ubalozini kuomba visa unafikiri watu walivyo wadaku Dar wasingemtoa gazetini?
ReplyDeleteWe anoy hapo juu this is Tanzania sio Europe wala America please usituchanganye
ReplyDeleteWADAU MBONA MNATAKA KUPIGANA NA KP KATOA MAWAZO YAKE KULINGANA NA UWEZO WAKE,KWANZA KUOMBA VIZA NA KUPEWA SIKU HIYO HIYO INAWEZEKANA HASA UKIZINGATIA MTU KAMA SEIF,PILI YAWEZEKANA ANA VIZA YA MIEZI KADHAA KWA HIYO NI SWALA LA KUCHUKUA PIPA TU.MI NAMTAKIA KILA LA KHERI
ReplyDeleteKP na wenzio, acheni usahaulifu, hivi hamjui kama Seif Sharrif hamad ana diplomatic status kwani alikuwa waziri kiongozi wa Z'bar??
ReplyDeletekweli kabisa jamaa ni ccm damu yule anatuzingua sisi wazanzibara kumbe kakimbilia ulaya sa kufanya nini wakati muafaka huko tanzania anaenda kupeleka majungu cyo,duh ndo siasa yetu hii hakuna jpya
ReplyDeleteHivi we KP unaakili kweli? unafkiri watu wote wanaomba viza hivi wewe mwehu sana? Kwani Kikwete akienda ziara zake anaomba viza mwehu we! Maalim seif ni mtu wa kimataifa, kama hujui CV yake yeye ni mwenyekiti wa nchi zisizo na uwakilishi kwenye umoja wa mataifa! We KP seif sharif sio garasa kama wewe, hayupo kwenye siasa kwa njaa, na kama ataamuwa kuacha siasa basi atakuwa na maisha mazuri zaidi kuliko hata akiwa rais, kwa taarifa yako yeye anatambuka kama waziri kiongozi mstaafu.
ReplyDeleteMara ya pili kabla huja post utumbo wako, fanya utafiti Maalim seif matawi ya juu sana, hapangi foleni kuomba viza, kuhusu booking ya ndege una book saa 2 asbh usiku saa 2 unaondoka. Kama mabasi yakwenda Lushoto tu siku hizi
Kesha safiri Seif sasa Cha Mno nini?Aliipataje Viza hilo halikuhusu.Muafaka umekufa,Kura ya Maoni hakuna,si basi!Nongwa ya nini?Mtu akinenepa sana, ooooh pesa za Epa.Akikondeana kichizi,oooooh ana miwaya!Binadamu hamuwezekani.Watu wanaona mbali,siyo Ukatibu Kata tu hapa ushafyata mkia!
ReplyDeleteAAH mmeshaanza sasa, je hamjui kwenye visa kuna sehemu inayoandikwa "multiple entry"? Kama nyie mnazo za single entry mlie. Hakuna cha ajabu. Ni mambo ya kawaida tu kulingana na wadhifa na sababu ambazo zinakufanya upewe viza ya aina hiyo. K.m. mfanyabiashara anayefanya biashara inayojulikana katika nchi husika pia huweza kupewa viza za aina hiyo!!!
ReplyDeleteSEIF ANA DIPLOMATIC STATUS, VISA ZAO HUWA NI MULTIPLE ENTRY, MFANO MAREKANI HUWA WANAWAPA DIPLOMATS WETU VISA YA MWAKA MZIMA ANAYOWEZA KUFANYA MULTIPLE ENTRIES....
ReplyDeleteYote hayo ya nini mkitaka kuweni diplomatic nyie na KP wenu
ReplyDeleteKP majungu hayo
ReplyDeleteUstadh misoup jaribu kumuelewesha mshikaji wako KP maana wewe kidogo umesafiri safiri pengine unajua
ReplyDeletekuna viza za aina ngapi, (1) mfano kuna viza inayoitwa multiple viza inategemea umepewa ya muda gani ipo ya mwaka ya miaka miwili mpaka mitatu. unaweza kuingia na kutoka hata mara mia kabla ya muda uliopewa kumalizika (2) Maalim Seif anahodhi passport ya diplomat watu kama wale huwa hawachukui masaa kupata viza ukitizama aliwahi kuwa waziri kiongozi zanzibar(3) kuhusu booking ya ticket ya ndege siku hizi ni pesa yako tu unaweza kuwa home ukaingia kwenye mtandao ukabooking hapo hapo wakakutumia kwenye net uka print huyooo safari air port .kwa hiyo mwambie ndugu yetu KP tunazipenda katuni zake lakini kabla ya kuzituma ajue anazituma wapi maana watu wengine kidogo akili cheza . kama kuwaburuza atawaburuza wasio elewa. (huo mtazamo wangu) ni mimi mdau Zee la Kitaulo.
KIPANYA HUWA ANAWAACHA WATU MBALI SANA, HAIJALISHI STATUS YAKE WALA NINI, HAIKUWA KIPINDI CHAKE KUSAFIRI, MSALITI HUYU JAMAA
ReplyDeleteHata kama angekosa iko kaviza na tikti, masharifu kama seif huwa kanapigwa kadua moja tu, hapo akinyanyua kaguu chake kakwanza tu zenji ka pili kishatua london.
ReplyDeleteIpo iyo wadau, ni kamtazamo tu wa Kamanda Manyota jamani.
"Anonymous said...
ReplyDeleteKIPANYA HUWA ANAWAACHA WATU MBALI SANA, HAIJALISHI STATUS YAKE WALA NINI, HAIKUWA KIPINDI CHAKE KUSAFIRI, MSALITI HUYU JAMAA
April 05, 2008 2:01 AM"
Annomy hapo juu wewe ndiyo umenena.
Maalim inaonekana alikuwa amejitayarisha kwa mengi ikiwa ni pamoja na kwenda kulalamika huko alikokwenda, nadhani watu wenye maslahi na Zanzibar wako huko alikokwenda kuripoti na wala si wale anaowaita pale Kibanda Maiti siku ya kupigiwa kura.
Ama kweli hapa kinachotakiwa ni madaraka tu na wala si maslahi ya wananchi hasa wale wenzangu mimi wazanzibara amabo kuna kundi la watu kule Zanzibar bado linawaona kama raia wa daraja la pili ndani ya nchi yao.
Lipumba yupo?
ReplyDeleteMbona kimya?
Au kwa vile yeye ni m'bara?
Suala hapo si visa, suala ni kuwa alipanga panga hiyo safari muda gani? Je chama cha CUF ni cha Maalim Seif peke yake au ni cha Wapemba peke yao? ALifikisha hoja ya safari yake kwenye vikao vya CUF na maamuzi yakatolewa apeleke hayo malalamiko huko nje saa ngapi? Na yalijadiliwa kama maamuzi ya chama lini? Hizo ndizo hoja zikijibiwa ndio utapata maana ya katuni ya KP.
ReplyDeleteUK visa applicants beware: Ten-year ban to...
ReplyDelete2008-04-05 10:07:42
By Austin Beyadi
The British High Commission in the country yesterday announced a ten-year ban on anyone who will break the country`s immigration laws.
Speaking in Dar es Salaam yesterday, the High Commission`s press officer John Bradshaw said the ban will apply to all those who overstay for more than 28 days, enter the UK illegally or use deception in visa or other applications.
He said due to security reasons, starting from now the embassy would not be able to offer same-day services for visa applications.
He said all security checks would now be centralised in the UK and that documents, once submitted to the British High Commission, would electronically be sent to the UK.
Bradshaw said in order to avoid difficulties, visa applicants must apply for an appointment at least three weeks in advance of their planned travel date.
``If you travel frequently to the UK a 5 to 10 year multi-entry visa will help you to avoid reapplying regularly for a new visa,`` he said.
He said a long-term visa would also work out cheaper than making regular six-month visa applications and that this kind of a visa marked the holder as a valued and trusted customer of the UK.
He said the embassy was also able to quickly identify and welcome legitimate travellers, adding that online visa applicants were given priority in obtaining appointment dates.
He said an online applicant will be given an appointment between 5 and 15 days later depending on the workload.
``The online application facility is now the most popular way for our customers to submit applications and about 80 per cent of applications are now submitted online,`` he said.
SOURCE: Guardian