Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. TANZANIA NI TAJIRI! Msingi wake ni miamba ya madini kemukemu! Hayo ya 'rada" ni "vijisenti" tu na wala si "visenti"!

    Na tunazidi kugundua madhahabu na madhahabu. Zaidi, inasimulia stori ifuatayo:

    Currie Rose Resources Inc.: Drilling Commences at High Priority Targets Mabale Hills Gold Project, Tanzania - Friday April 18, 8:53 am ET.

    ST. CATHARINES, ONTARIO--(Marketwire - April 18, 2008) - Currie Rose Resources Inc. (TSX VENTURE:CUI - News) is pleased to announce that drilling has commenced at the Mabale Hills project in central Tanzania.
    The drilling program is expected to consist of approximately 5,000 metres of Rotary Air Blast (RAB) drilling and if successful, 4,000 metres of Reverse Circulation (RC) drilling at the Simba, Dhahabu and Sizu Prospects. (See Mabale Hills location map at www.currierose.com.)

    The Project is characterised by steeply dipping, highly deformed banded ironstone formations (BIF's) surrounded by acid volcanics, with granitoids to the west and east. Gold mineralisation has been identified in quartz veins and disseminated in BIF's and cherts.

    Exploration by the Company has generated a number of significant drill targets including the previous success at the Mwamazengo discovery, the Sisu River anomaly that lies on strike with the +500,000oz Iamgold Kitongo gold discovery and the Dhahabu prospect situated approximately 7km north of Mwamazengo.

    The program will drill test a number of anomalies that have coincident geophysical, geochemical and geological signatures. The Simba Prospect is only 700 metres north east of the Mwamazengo and it lies on a fold closure and is a high priority target that if successful will add further scope to the known mineralisation at Dhahabu and Mwamazengo.

    The drilling results will be announced over the coming weeks.

    ReplyDelete
  2. bwn Kp we hujui mambo yanaendaje nchini kwetu hapa?kwani ushawahi kumsikia bwana mkubwa akiongelea dili la Richmond!!jiulize kwanini?then huyu mwenye vijisenti siwalikua wote huko Uchina,,sasa hiyo mikataba pia maswaiba zake watupu!1hana la kuwafanya!!naomba kuuliza hivi Dr Balali hali yake inaendeleaje?mgonjwa mmemtupa sana wadau!!!

    ReplyDelete
  3. Bro karamagi nadhani atakuwepo tena kwenye hii mechi ijayo ya madini maana nadhani yeye ndie mchezaji hodari wa timu pinzani ya mafisadi!na wapemba wana usemi wao wanasema kama we ni hodari basi hodari hutazamwa tuu!!

    ReplyDelete
  4. Wengine humu mnajifanya kukandia sana wakati pesa za ufisadi ndizo zilizowakuza. Kuna baadhi yenu mmeishi maisha mazuri kwa sababu wazazi wenu au ndugu wa karibu walishiriki kuhujumu pesa za maendeleo ya wananchi kwa manufaa yao na jamaa zao. Lowasa alishasema, msitupe mawe wakati mpo kwenye nyumba za vioo. Lakini najua wote mtaumbuka hata kama ni baada ya miaka 50 ijayo kwani kumbukumbu bado zipo

    ReplyDelete
  5. Aah kweli bwana na hawa ni mafisadi watupu watuambie walipata wapi pesa za kwenda kujisomesha huko nje ni mamilioni ya pesa eti hasa ukiangalia ada ya mwaka mmoja tu ni mapesa kibao na bado matumizi mengine. Sasa hivi kwa kuwa wenzao ndio wanafaidi ufisadi na baba zao wako pembeni basi ndio midomo juu, lakini hawana mpya. Watoto wa wakulima wako vijijini wanahangaika na maisha na wengine machinga mitaani hayo mapesa ya kusomea nje watayapata wapi?

    ReplyDelete
  6. sasa si ndio hapo.....wengi humu wanabwabwaja hovyo wakati huko marekati na uengereza wamefika kwa mapesa ya ufisadi mtupu!!
    serekali ya tanzania viongozi wake wengi mafisadi..unabisha???
    jamaa hapo kasema point,watoto wa wakulima sio wengi waliojazana huko mamtoni kuliko watoto wa vigogo..shut up guys!
    tunajua zamani kua nchi yetu ina mafisadi isipokua sahivi tu ndio wanaanza kufichuka mmoja mmoja..

    ReplyDelete
  7. asante sana wewe anonymous wa mwisho hapa chini ni kweli na bado watanzania wanaogopa kuongea na mapesa bado yanaliwa wanakuja maskini na kuondoka matajiri hata makazi wanapeana wenyewe kwa wenyewe lini watanzania wenzangu tutaweza kuwatokomeza hawa waroho wa pesa zetu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...