Home
Unlabelled
kp leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Aisee Sokoine na Juliua si Wafufuke tu! Tunawalilia sana jamani. Hawa jamaa hawana dogo kabisa. Anchota akijasa anaondoka.
ReplyDeleteHapo umelonga kipanya.Mijitu yote inayokula hayo majani,imesahau kwamba ilisomeshwa na hayo majani,akina Rashid na Juklius wangeamua kufanya(tena watu walikuwa hawajaamka kama sasa)hivi sijui kama shule hii mijitu ingeweza kusoma.Inaumiza sana Kipanya.Mungu ibariki Africa.HIVI NA TANZANIA VISIWANI NI YALE YALE?HAWAINGII SANA KWENYE ORODHA YA UNANIII.HONGERA SANA SERIKALI YA MAPINDUZI(I am not sure,msinihukumu!!)
ReplyDeleteKipanya bonge la ujumbe. Mdau juu serikali ya mapinduzi hela ya kuiba wataitoa wapi?
ReplyDeleteKipanya huo mti utazaa matunda tena,watatokea mafis*** wengine watachuma nao wataondoka wauache uzae tena, sasa wale wasio kuwa na nafasi ya kuukaribia mti huo ndio wanaoumia, Mwalimu na Wengine waliupanda huo mti kwa Neema tu nzuri hata wapita njia wajihifadhi kivuli, kwa mtazamo wangu ipo siku atatokea mwendaw***** mmoja ataukata kabisa, sijui tutakimbilia wapi!!
ReplyDeleteHuo mti inaelekea unastahamili sana ukame! haiwezekani usiwe na majani lakini bado unatoa matunda. Kisanyansi tunajua majani ni muhimu ktk kutengeneza chakula ila kuna baadhi ya miti chakula huwa kinatengenezwa kwenye shina ambalo mara nyingi huwa lina rangi ya kijani na inawezekana huo mti ukawa mmoja wapo. Ila hapa mafisadi wakumbuke kwamba majani huwa yana tabia ya kudondoka wakati wa kiangazi na huchipua wakati wa masika ila kwa rasilimali zetu zilizopo ardhini hazifanani na mti na majani. Madini yakishachimbwa ndiyo yameenda hiyvo, ukila vijisenti vya barabara ndiyo wanachi wataendelea kuishi tanganyika na siyo tz, ukisaini mkataba mbovu utaharibu nchi na siyo kuimarisha nchi n.k
ReplyDelete