Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. TUKUMBUKE MANENO ALIYOSEMA WAZIRI MKUU HIVI KARIBUNI KUWA WENYE FEDHA NYINGI NI VIGUMU KUWAFIKISHA MAHAKAMANI! VIVYO HIVYO VIONGOZI WA CCM PIA NI VIGUMU KUCHUKULIWA HATUA ZA SHERIA NA NDIO MAANA LEO TUNASHUHUDIA MTU AMBAYE TULIDHANI NI MHALIFU AKIZIKWA KAMA SHUJAA PAMOJA NA VURUGU ALIZOSABABISHA MAHAKAMANI ZIKIONEKANA KUWA NI HAKI YAKE! ENZI ZA UTAWALA WA SHERIA ULISHAPITWA NA WAKATI.

    ReplyDelete
  2. tunashukuru.

    nadhani maelezo ya picha yanaeleweka.

    tumefika hatua ambayo mwananchi wa hali chini na mkuliwa wananyang"anywa at gun point, more so na viongozi wetu.

    useless selfish preaks.

    thanks.

    ReplyDelete
  3. Sema tu femu ya kioo na mlango imezuia,

    lakin huyu jamaa anafanania kama Vicent, yule jamaa yetu wa juzi

    ReplyDelete
  4. Hii ndiyo kazi inayo endelea hapa nchini hivi sasa.Benzi,Suti,Bastola na kila alichonacho kimetokana na pesa ya mkulima,LAKINI BADO HAITOSHI.Ukisikia viongozi waliojaa TOPE KICHWANI ndiyo hao.Wakati sasa umefika kwa wakulima wote vijijini kusema HAPANA SASA IMETOSHA TUNATAKA MABADILIKO.Kila mkulima na mwanakijiji amuelimishe mwenzie nini kinachoendelea hivi sasa hapa nchini,na nini cha kufanya uchaguzi mkuu ujao utakapowadia.CCM IKIWEKWA BENCHI MIAKA MITANO TU AKILI ZITAWAREJEA.Hivi sasa wamejisahau kwamba nchi hii ina wenyewe.CCM ni chama tu cha watafutaji wala siioni siasa pale.Chama gani cha siasa kisichokuwa na miiko(rules of conduct),wala nidhamu ya uongozi na adhabu zake.

    ReplyDelete
  5. wakati wa uchaguzi,utasikia wananchi wa vijijini ambao wengi wao ni wakulima ndio wameipa CCM ushindi wa KISHINDO!!! sasa nadhani wataamka toka usingizini wakati wa uchaguzi wa mwaka 2010.

    ReplyDelete
  6. Ni kweli kuw tunanyanganywa kila kitu na hawa viongonzi big up Kipanya kwa kaazi hiyo waanajijua lakini ndo vile haki ya mungu hivi lazima tuingie mitaani kupora kuua ili kila mtu awe na chake mkononi mimi ni Gebo Arusha

    ReplyDelete
  7. THIS IS WHAT HAPPENING IN TANZANIA,MASIKINI WAFICHUA SIRI ZA WAKUBWA NDIO WANAOUAWA, BIG UP KP THIS IS NICE

    ReplyDelete
  8. Bwana Gebo wa Arusha umechemsha. Ndiyo maana Arusha watu hawalali usiku kwa sababu ya vibaka. Ukipora halafu ukaua kesho utapora wapi? Wenye akili wala hawapori kwa bunduki, wanapora kwa maneno matamu. KP amechora bunduki kuonyesha picha tu ya hali inayoendelea kufanywa na viongozi wetu siyo kwamba viongozi wanatumia bunduki kumpora mkulima.

    Ulichoandika hapo nacho ni uginjwa mwingine kwa tz. Yaani mtanzania anamezungukwa na mikasa tupu. Viongozi wampole kwa ahandi za uongo, Kazi hakuna, Akijishughulisha kidogo anachopata anaporwa na/au kuuawa kabisa! Sasa jamani TZ si jehanamu sasa?

    Chonde chonde Gebo wa Arusha...mzigo wa umasikini unatosha.Kama unataka kuua jiue mwenyewe kwanza.

    Naomba Mzee Michuzi usiifiche hii komenti yangu!

    ReplyDelete
  9. Tunapokuwa na idadi kubwa ya majambawazi wanaotumia fursa za kisiasa ujue tunakaribia mapinduzi kamili. Karl Marx aliwahi kuandika kuhusu sheria ya mkano wa mkano [negation of negation], na ndiyo kinachotokea hapa. Kile kishindo cha kushinda uchaguzi ndicho hicho hicho kishindo cha kuwafukuza majambawazi majibmboni, bungeni na hata ikulu. Ukiangalia kwa makini kile wataalam walichokiita mtandao sasa kimekuwa mshangao, sheria ya mkano wa mkano inafanya kazi, siyo mbali, jambawazi moja baada ya jengine mpaka tuyatimue yote. Lakini kinachionisikitisha zaidi ni kuchafuka kwa mfumo mzima wa utawala [to be frank the whole system is rotten], kuanzia mahakama ya mwanzo hadi juu, kuanzia mjumbe wa nyumba kumi kumi hadi juu kuanzia monita wa darasani, kiranja, kaka mkuu hadi juu sasa katika mazingira hayo baada ya kuwatimua majambawazi hawa tumejiwekea utaratibu gani wa kubadili system? maana mimi nadhani kinachosumbua ni system/mfumo hata wale waliodhaniwa kuwa safi walipoingia huko waliishia kutoka wachafu, kwa nini kusiwe na mjadala wa kitaifa na hatimaye kura ya maoni kwamba tunataka nini? je hii aina ya serikali iliyokaa madarakani miaka nenda rudi imefaulu kwa lipi zaidi ya kutaga, kutotoa na kisha kulea majambawazi wanaopora vijisenti vyetu kwa mtutu wa siasa? Michuzi usiibane hii comment tafaadhali itoe tumejawa na hasira dhidi ya hawa majambawazi.

    ReplyDelete
  10. Kila ninaposoma magazeti ya nyumbani (ippmedia) nazidi kuvunjika moyo kuhusu Tanzania yetu tuliyoiacha ya uadilifu na utumishi bora. Sasa kama Rais anatuhumiwa na uhujumu wa mali ya watanzania nani tena atabaki? Tunawaomba wazee wetu wa CCM mlio bado hai (Mzee kawawa, Malecela,Balozi Nyanganyi, Balozi Mwakawago, Salim Ahmed Salim, Msuya ) na wengineo ambao tunauhakika mliheshimu ofisi mlizokabidhiwa na serikali na kutozitumia kujinufaisha wenyewe tuwasikie sauti zenu. Hili suala la raisi mstaafu ambaye ni Kada aliyeaminiwa na CCM na serikali yake na kuweza kuhujumu nchi kiasi hichi (kama kunaukweli), kujiuzia mali asili ya watanzania (soma ippmedia.com - alasiri- kichwa cha habari "mkapa kwisha kazi". Kama haya yalioelezwa ni kweli basi CCM kunakazi, haya mambo ndiyo yatafanya wananchi wawape kura upinzani 2010, na cha moto tutakiona, maana simuoni mwenye afadahali. Michuzi usiibanie hii, maana nimetuma mesaage nyingi mwezi huu wote na sijaziona tafadhali naomba kilio changu kisikike. Kwani tulisota sana pale Mlimani tukiambiwa pesa hakuna tukakaa nyumbani karibu miaka miwili sababu ya kunji kumbe viongozi wetu walikuwa wanajineemesha wenyewe na kutudanganya kama vile hatuna akili nzuri. Tulilazimika kwenda madarasani na pesa hawajatulipa, hakuna pesa ya chakula. Kama hukuwa na mwanafamilia wakukukopa basi tena. THIS IS PAINFUL!!!!!!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  11. Sitaki kuiangalia sana hii katuni. Inaweza mtoa mtu machozi. Ni ukweli unaouma mno. Sijui ni nini kifanyike, nani atusafishe aibu na laana hii?

    Asante kwa katuni yenye maelezo zaidi ya maktaba nzima.

    Amsterdam

    ReplyDelete
  12. Zitto in US for international visitor...

    2008-04-19 09:41:12
    By Guardian Reporters


    Kigoma North MP Zitto Kabwe is heading to the US this Sunday to take part in a three-week five cities programme on Leadership Development for Young Political Leaders.

    The prestigious international visitor leadership programme is run by the US State Department on behalf of the American people.

    A press statement issued yesterday by US embassy in Dar es Salaam said during his visit, Kabwe, who is also Chairperson of the Parliamentary Standing Committee on Public Investments, Parastatals and Government Institutions, will discover the dynamic engagement of youths in the US political system and how the society encourages grassroots activism and accountability.

    ``More specifically, his programme will focus on the activities surrounding the 2008 US presidential campaign and other elections at the state and local level,`` the statement said.

    Kabwe will be joined by 25 other young political leaders from Barbados, Bosnia-Herzegovina, Bulgaria, China, Ethiopia, Germany, Hong Kong, India, Indonesia, Israel, Jordan, Lebanon, Lithuania.

    Others will be from Mexico, Moldova, Peru, Philippines, Rwanda, Serbia, Swaziland, Sweden, Thailand, Uganda, the West Bank and Zimbabwe.

    According to the US Embassy, Kabwe will begin his study tour in Washington, D.C., and will meet with personnel at the two major political parties, in addition to key non-governmental organisations such as America`s Promise (led by Colin Powell), American Council of Young Political Leaders (ACYPL) and the Center for Civic Education; and they will take a tour of the capital.

    Participants will also receive an introductory orientation to American culture, an overview of federalism, and the structure of the US Government and political system.

    From Washington, the participants will travel to New York where they will focus on youth voting and political participation.

    Commenting on the trip, Kabwe said the programme was critical for his political career and will add value to his parliamentary work thereby delivering better services to the people of Kigoma and Tanzanians at large.

    ``I hope to learn about the US and at the same time inform others about Tanzania and build a strong network of global contacts. To me, the most important challenge we must overcome is to end single party dominance in our country. I will learn ways and means to strengthen Tanzania`s democracy and democratic institutions,`` he said.

    SOURCE: Guardian

    ReplyDelete
  13. Masikini wakulima hawajui chama kingine zaidi ya CCM kwasababu ni wao tu wenye magari ya kufika mpaka vijijini hivyo lazima wachague ccm,kweli ni afadhali tuendelee kubeba maboksi tu angalau tunaweza kuwasomesha watoto wetu na wakaa kwenye madawati. By mlalahoi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...