Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. THESIS
    I am start thinking, like everyone is thinking, they are there just for a pay check, and return to their elusive hide out when all its over, coming back again, and nothing happening, it becomes a vicious cycle of wasteful money and resources, our resources.

    Start shaming, hopeless MP, Ministers and all.

    SUGGESTIVE SOLUTION
    Can we create a blog, or a database of some sort, and we wananchi contributing and keep tracking progress of every member of MP while on BUNGE session, and then we keep record of things like what have they done over period of time, personal involvement/participation in key discussion, debate, resolve and implementation of key issues, creating a key motions, and so on and so forth.

    at the end of the year, we would have a shameful list, like the top hundred influential people in the world, this will be our own, lets say the top 100 lousy politicians in Dodoma. I think the idea will help out in identifying the good, bad and ugly, and who bring the real change in our country.

    It will send shiver in their spine, who would want to be in the list.


    By Mchangiaji

    ReplyDelete
  2. Mchangiaji hapo juu nakuunga mikono na miguu. Ningependa zaidi ungeliweka hili kwa kiswahili ili kupanua idadi ya watu watakao elewa.

    Nadhani ni jambo zuri kuwa na blog ya namna hiyo, labda itawafanya wale wanaosinzia tu wawapo bungeni kuamka. Maana kwakweli kama wewe mfuatiliaji wa website ya bunge, kwakweli inasikitisha ukipitia kila mbunge wasifa wake.

    ReplyDelete
  3. Mchangiaji wa kwanza hapo juu nakuunga mkono.
    Hii mibunge yetu kazi kulala tu na kupigiana makofi yasio na msingi.
    Lakini mimi siwaelewi hawa wananchi. Utashangaa liCMM litarudi tena madarakani na mibunge vichwa maji kibao bungeni.
    waaaii!!! Nimeshaichoka hii nchi. Sema tu basi, Inabidi tu uishi na mifisadi kama wenzako hawataki kuitoa madarakani.
    LAKINI, THE DAY WILL COME!!!

    ReplyDelete
  4. Mchangiaji unaetaka kuangalia utendaji wa wabunge wa uchangiaji wao bungeni hapo utakuwa umechemsha kwani kazi ya mbunge ni zaidi ya vikao vya bunge kwani kwa mwaka ni vikao vichache sasa vya bunge huwa vinafanyika. wabunge wetu hawaendi kwa wananchi kufanya kazi walizoziomba na kama wakienda basi kukagua mashamba yao na kuongea na baadhi ya wazee basi. Wabunge wetu wangejua kwamba wao ndiyo chachu ya maendeleo ktk majimbo yao, nadhani hata uchangiaji wao pale bungeni ungekuwa mzuri kwani wangekua wanaongea vitu vinavyotokana na uzoefu wao wa maisha halisi ya wapiga kura wao. Kwa sasa baadhi ya wabunge ni wasanii, wanaongea sasa bungeni, wanapinga sana ili wasikike na wananchi lakini vitu wanavyovipinga hawavifamu au hawajavichambua vizuri na hili linaathari kubwa sana kwa jamii na taifa kwa ujumla. Mimi nakushauri kama unataka kupima utendaji wa wabunge ungeanzia katika majimbo yao ili ufahamu ni kwapi wanashirikiana na wananchi ktk kutatua kero zao na siyo kuranranda tu Dar ili kusubiri mialiko.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...