Home
Unlabelled
libeneke ukerewe
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
kaka michu bwana safari yako ijayo nichukue na mimi basi hata kama dumila
ReplyDeleteAisee Ndugu mheshimiwa wa Tegeta, heshima yako Bwana, Nilikuwa hapo kwa Malkia hivi karibuni, tumepishana kidogo sana. Haya kula maraha kidogo. Mimi nimesikitika sana kuhusu taarifa ya kumchafuria hali ya hewa dada yetu, nampa pole sana, sijui kwanini WaTanzania tunakuwa sio waungwana kabisa, upendo ndio huo unaishia ishia taratibu. Wasalimie sana wote huko Ukerewe!
ReplyDeleteChibiriti.
MH. NANIHIII WA KULE TEGETA AKA MISUPUUU HUKO UKEREWE ULIKO NDIO PANAITWAJE...
ReplyDeleteFARID,
TORONTO.
Michuzi umependeza like your outfit brother
ReplyDeleteManka
Ama kweli Mungu hamtupi mja wake. Hatimaye amekufungulia mikono akaamua kukubariki na flana mpya!! Nimefurahi umepata tshirt mpya, ile nyingine sasa itapata nafasi ya kuakaa kwenye sandukuzz!!!!
ReplyDeleteKaka Godlove.
Mkuu wa wilaya ya tegeta naomba kuchafua hali ya hewa hapa kijijini. Nimekaukiwa sana.
ReplyDeleteMichuzi nawe umekuwa ka Jakaya!!??
ReplyDeleteheheheh, una visa bro michu wewe, anyway toa namaba unayotumia ukerewe basi tukukaribishe kwenye vijumba vyetu japo kwa chakula cha jioni, serious michuzi toa namba nitakupigia.
ReplyDeleteHuyo askari mwengine wa kiume, uso umekunjwa huo, false smile.
ReplyDeleteMatatizo haya.
mithupu unatisha mzee uk vp kila siku? siyo fisadi kweli wewe!!! poa bwana wape hi wabeba maboksi wa huko. namuachia makyembe na kamati yake!!
ReplyDeleteSawa mzee naona unaosha macho huko Ukerewe! Sasa Michuzi, mbona picha zako za jana na leo nguo ni hizo hizo, kuanzia koti, shati mpaka Suruali... sina uhakika wa soksi, viatu na nani hii tu... Inakuwaje, au ndo kama yale mambo ya ile fulana yetu.... Mdau Mtanashati!!!
ReplyDeleteNa wewe beana Michuzi ungetoa fulana ya nembo yako, kwani wenzetu wamekupa kama zawadi lakini ni katika mipango ya kujitangaza.
ReplyDeleteHONGERA SANA
M3
Kaka Michizi.... bin Misupuuu...bin Mithupuuuuu!! Ile T-shirt yako ya mistari stari kweli naomba uisahau sasa! Kumbe una viwalo vya kukupendezesha bwana! Hebu uwe una-represent sio kutuaibisha na kaji-t-shirt kako kale kauka nikuvae!! Haya hongera kwa kuvisit Ukerewe!!! Karibu na kipande hiki basi cha mbali kidogo na ukerewe... nauli sio kubwa sana... Karibu ututembelee wadau huku... Na ukija usilete kale ka-tshirt kako!! tafadhali!!! Wafanya kazi nzuri kwa jamii kaka!!! Uendelee kubarikiwa mwana wane!!!
ReplyDeleteWe michuzi sasa umezidi kutembea. Mmmm. Lakini bro! bahati iko miguuni fanya bidii. Na hawa wasichana wazuri ni wawapi tena. Ujue mie natafuta mchumba.
ReplyDeleteNi Masaai Fika
Karibu sana UK.
ReplyDeleteWapi Fulanazzzz ? ? ?
Its spring time you know.
Mkuu wa wilaya ya Tegeta, huu ndo ule mkautano wa kesho nini na JK??
ReplyDeleteKaribu na hapa pembeni kidogo tulonge!
Picha ya tatu kutoka juu huyo dada wa kulia mwa picha mbona ka' anabana sketiyake kwa mbele,alitaka kukuonyesha wow*wo?Hakujui vizuri eeh usitadhi!!!!?Rais wetu atapita lini hapo UK?Hujaenda bure twakufahamu.
ReplyDeleteBy mimi.
Michuzi pse pse
ReplyDeleteNaomba umwambie huyo dada hapo wa kwanza kulia mwenye wigi lina rangi kuwa limoyo langu limemdondokea nitampa half of my fortune niliyodeposit Malta
Mheshimiwa Mkuu wa TAGETA !hongerea
ReplyDeletekwa kwenda kuosha matongo tongo!
Lakini hapo Ukerewe tatizo lake njiwa! angalia hilo koti lako wakuharibie kwa kinyeshi
Aisee kaka Michuzi mimi nimependa huyo dada wa kizungu picha ya chini kabisa dressed in black, ana mvuto wa ajabu... mwambie naitwa Magreth Chanaka na ningependa sana awe mwandani wangu kana sio mshabiki wa jinsia pinzani ningependa sana kuwa wake wa milele...
ReplyDeletemag_chaka@excite.com
Adios!
ongera sana bwana michuzi kwa kuwa uko ukerewe naomba jaribu kukutana na wabongo wote ili wakupatie michango yao angalau ya kununulia madawati ya darasa moja uku bongo,ya shule yeyote itakayopendekezwa na wadau wa blog yako,hii iwe nchi zote waliko wabongo ili wajenge ata kituo cha kulelea watoto uku bongo nawaombeni sana
ReplyDeleteAnonymous was Tarehe April 17, 2008 2:43 PM ulitaka polisi acheke ili iweje_
ReplyDeletehuyo dada wa kulia Mwisho ni sophia toka arusha school au macho yangu yanaona vibaya?
ReplyDeleteKaka yaani kabla hata hujaapishwa kwa kale kanafasi ktk serikali umeona uende ukerewe kwanza ukafungue akaunti ya kuweka mamilioni yako utakayopata ktk madili ya richmonds yajayo...
ReplyDeleteChibiriti sio kumchafuria ni kumchafulia na sio. Kwa malkia watu hawaji ovyo na navyokujua ungeshaanika picha ila jitaidi unaweza fika sio shenghen huku ujue. all the same leo nimegungua we umekimbia upolisi bongo mwana.
ReplyDeleteKAKA MICHUZI NIMESTUKIA SAFARI ZAKO NYINGI UNAKUWA UNAMJIBU JAKAYA,MANAKE MNASHINDANA KWA SAFARI.ALAFU SWALA LA WATUSALAMU WALE LIMEPATA NAFASI HUMU KUBWA KWA VILE KUNA MAMBO MENGI YA MAKUBWA KUHUSU NCHI YETU YANAENDELEA HAYAWEKWI,KWA MFANO SWALA LA CHENGE KUKUTWA NA ZAIDI YA BILLIONI MOJA NJE YA NCHI NI KITU AMBACHO KIKUBWA KULIKO MTU ANAYETAFUTA MCHUMBA HUMU LAKINI SWALA HILO HUWZI KUONA KWENYE BLOG YAKO HATA SIKU MOJA JE KULIKONI?
ReplyDeleteSASA MIMI NAKUOMBA KITU KIMOJA MUHESHIMIWA MICHUZI KWA SIKU MOJA JARIBU KUWEKA POST MOJA TU YA HABARI AMBAYO IMETAPAKAA KWENYE MAGAZETI MENGI NCHINI.
NA MWISHO NAUNGA MKONO KUANZISHA NEMBO YAKO KWENYE FULANI YA MICHUZI ,MIE NAPENDEKEZA KUWE NA PICHA YA BAKULI NA JUU LINATOAMVUKE YANI MCHUZI WA MOTO LOOL.KILA LA KHERI KWENYE SAFARI YAKO MUNGU AKUJALIA URUDI SALAMA NYUMBANI.
mdau mzawa
wadau nisaidieni Hivi UKEREWE ni wapi hasa???? Mwanzoni nilidhani ni Korea, lakini naona sasa kila mahali palipo nje ya nchi ..
ReplyDeleteNaomba msaada pls.
WEWE ANONY JUU YANGU UKEREWE NI UINGEREZA... BRA MICHUZIIIIIIIII BIN CHAPATIIIIIIIIII KARIBU SANA STRATFORD
ReplyDeletekweli ndo maana watu walia zimbabwe Mugabe atoke wazungu warudi, kama michuzi umetoa hadi jino la kwa kupiga picha na mgambo wazungu, kazi ipo tutafika kweli,
ReplyDeleteMichuzi hilo koti mwake kabisa kulivalia huko kariakoo ulikoenda,na waliokualika kweli hawajakupenda kukukaribisha mtaa wa congo...naona umepewa na tshirt ya kariakoo michuzi hongera,,,ukija huku kwetu usije na hilo koti kulia huko huko kariakoo..wako mdau...
ReplyDeleteAnon wa 6:52pm,mara ya mwisho Michoosy kwenda vacation United Kingdom,alitoa picha akasema yupo Ukerewe na mie ninavyo ijua London kama map ya underground connections.Sasa nikachanyikiwa picha yake inaoonyesha yupo mbele ya basi la London yeye anasema yupo vakeshen Ukerewe,nikaona hii fiksi sasa nikauliza hivi upo Ukerewe nikimaanisha Ukerewe ya Tanzania au East London,ndipo mdau mmoja akajitolea kunitoa ushamba wa terminology za blog hii,kua akiandika yupo vakeshen Ukerewe ujue yupo UK.Mie nafikiri angekua anasema yupo England au yeye na hawa wabandika majina ya vijiji vyetu vya ujamaa wange tafuta jina la ku represent jina England.Maana wa Scotland na Ireland hawaoni kama wametembelewa na Mi_Stew.
ReplyDeleteYaani hilo jumba la Buckingham Palace, hao askari wa malkia bado unauliza Ukerewe ni wapi? Ni kwa Mama, au kwa bibi aliyetutawala enzi hizo.
ReplyDeleteHopefully unajifunza viji mambozz ili ukaitengeneze Tegeta ipasavyo, maana hakuna wakuu wa district amboa wamesafiri kama wewe...Hongera zako bro michu
ReplyDeleteMdau T-Dot
Mbona Askari(Mugambo) wetu wa Bongo hupigi nao picha????
ReplyDeleteWatanzania tunapenda sana kusafiri, je tunafanya lolote la maana katika hizo safari au?
ReplyDeleteMaskini Michuzi the mikonozi imeogopa maana sijui anaogopa watu wa ukerewe,michuzi usiogope hao ndio wanapenda mikonozi ile mbaya...sasa fanya ushenga kidogo maana mdau wako hapa nimempenda huyo dada wa kulia kabisa,usisahau kifuta jasho cha ushenga kipo
ReplyDeleteMdau wa beverly hills(kiwanja kikubwa)!
UKEREWE NI UINGEREZA NDUGU ULIYEULIZA SWALI. INATOKANA NA UINGEREZA INAYOANDIKWA KWA KIFUKI (YAANI U.K.) NA SI KOREA KAMA ULIVYOSEMA.
ReplyDeleteNA WENGINE NEW YORK WANAITA "NEWALA'.
ZAMANI HAPO DSM WATU WALIPENDA KUITA UINGEREZA (YAANI U.K.) KWA JINA LA 'UKOGA'.
UPO?????
Si ajabu na wewe ni elite...Isije kuwa una $1,000,000,000 kwenye account huko nje halafu unajifanya wakwetu hapa. Nshakushtuikia na wewe fisadi au fisadi wanna be....???? Tuoneeni huruma jamani
ReplyDeleteMzee wa Roiko Mchuzi mix hao jamaa wanataka kutuchanganya fulana ni ile ile ya mwanzo tuondolee dhana ya kua fulana ya ulaya ndio ya kisasa hakuna kuvaa hiyo. Waanzishe blog yao wavae hiyo fulanaazzz.
ReplyDeleteMichuzi unarudi lini?Naomba uniletee TV na Fridge nitakurudishia hela.Niko Serious please.Contact zangu ni +255754382668,nitumie sms.Tusaidieni nyie mnaoenda ulaya,nasubiri sms yako.
ReplyDeletekaka huko ukerewe ulienda na ungo? mbona mavazi ni yaleyale mixed kachumbari!!!!!!!!! jeans na Tai inakubalika? afu tai ulipiga mzinga wakati unaenda kwa mama.
ReplyDeleteMichuzi wee mtu wa Siri-kali nini? me nimeshakushtukia wewe
ReplyDeleteWewe wauliza jibu, kwani wewe sio Mtanzania. Ukerewe ni...
ReplyDeleteOOps, kweli, Ukerewe ni UK, hata mimi nilitaka kuchemsha. Basi na USA, tuiite Usangi.
M3
Ahaa! michuzi acha ushamba wewe!!! Unafikiri watu wanaokwenda kumsalimu mama huku ukerewe wanakwenda na hivyo vivazi? Sio JK huyo babake!
ReplyDeleteLete mambo yanayokablili nchi kwa sasa, kashfa kibao huko nyumbani alafu unaendeleza lebeneke huku? Rudi bongo wewe maana naona unamatumalizia siagi zetu na huna unachofanya.
MBONA HIYO BEN TV HUWA UNAIPA CHAT SANI WAKATI HAINA LOLOTE,INAKUAJE KAKA?
ReplyDeleteHuyu dada mwenye blond kapendeza sana. Keep it up my sister.
ReplyDeleteBwana Mithupu, huyo dada wa kizungu kanisuuza roho yangu. Ngoma ni sports kabisaaa!!! Hukuchukua namba ya simu? mwambie waswahili tunaumia roho!! Labda ushawahi mwenyewe wee Michu wacha ulafi!!!
ReplyDeleteMdau - Boston, US