hii mali mpya itaingia sokoni muda si mrefu ujao na wadau wa jambo forums mmeombwa mkae mkao wa kula kwani mtaarifiwa namna ya kuziagiza hivyo msikonde wala nini...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 21 mpaka sasa

  1. huyu jamaa mwenye mradi huu je amewasiliana na wenyewe jamboforum maana kama sio hivyo ajitayarishe au akawaulize lowasa, karamagi,msabaha, chenge na mafisadi wote na watamweleza kwamba hao jamboforum si wakuchezewa ooooh lwako.

    ReplyDelete
  2. lets admit,if you want to know whats happening in tanzania,eg inside information,jambo forum has no peer

    ReplyDelete
  3. T-shirts zimechoka kama jamboforums yenyewe.Hivi kweli kuna mtu atanunua hizi t-shirts..au mnagawa bure washikaji?

    ReplyDelete
  4. Wee bwana nini nani anunue hayo mafulana UKILIVIUTA SHINGONI LINASUSA halitaki kurudi .. peleka kwa wamachinga

    ReplyDelete
  5. Tuambieni Bei basi? Ni lazima niwe na hiyo fulana kwani JF imethibitika kuwa kiboko ya Mafisadi.Kila kitu kinasemwa kwa uwazi huko.Hongera sana mnaoendesha mtandao huo,Kwa tulio wengi JF imekuwa ndio kimbilio la kupata habari za Tanzania kwa UWAZI NA UKWELI.

    ReplyDelete
  6. Nice looking Mhh.

    ReplyDelete
  7. Nazitamani sana hizi t-shirt ntanunua hata nne za langi tofauti tofauti.

    Where can i get them jamani.

    ReplyDelete
  8. Ebwana Ndiooooooo. Mpka sasa 3-0. Hiyo kama Wanaume Halisi na Tmk Wanaume. Sasa tunahakikisha kwamba "WE DARE TO BE SEEN LIVE"

    By Kuntakinte

    ReplyDelete
  9. Vipi zimetengenezewa wapi?China au arusha?Zimetulia lakini kusema ukweli

    ReplyDelete
  10. Sasa unaonaje nasi wan blog ya jamii tuangalie jinsi ya kuja na vazi rasmi kama hilo la Jambo forum!

    tena ni vizuri likawekwa ki--label cha uzalendo.."Proudly Tanzanian"

    Hii itakuwa mahsusi kuitangaza nchi nje za nje!

    Je wazo limekaaje??

    Kama ndio tuwasiliane! Nipo hapa china ni rahisi kukuunganisha na wenye viwanda vya nguo na wakatoa vituzzzzzzzzz tutavyoamua

    ReplyDelete
  11. Kaka Michu, ni KILAURI cha jana au nini??? Au umeibiwa kompyuta yako?? Au blanketi ulopata UK toka kwa zile KONOZZZ limekuelemea??? Maaana si kawaida hadi dk hii hakuna nyuuuuuuuuuz mpyaa za leo leo. Haya kaka kila la heri,

    ReplyDelete
  12. Michu sasa utanifanya niwe na Jambo forums all the time, maana hiyo mali ikigusa tu sokoni, niko nayo. Tafadhari distribution points ziwe kila kona ya nchi hasa tukumbukwe tuishio Up country, na wenzetu walioko nje waweze kuagiza online. LEO MAMBO MTAONA LEO MAMBO MTAONA

    ReplyDelete
  13. Keep it Up JAMBO FORUMS.I salute u Guys/Gals.Tupo pamoja katika hii vita na mafisadi.
    Cha Chandu - UK

    ReplyDelete
  14. DUH SAFI SANA HII IMEKAA VIZURI MAANA HATA MAFISADI WAJUE KAMA JAMBOFORUM NDIO KIBOKO NIKUITANGAZA JAMBO KWAKWENDA MBELE MI NAOMBA JAMANI ZIKIINGIA SOKONI TU PLS MICHUZI NIJULISHE FASTA LAZIMA NIIITANGAZE JAMBOFORUM KWANI NAIFAGILIA VILIVYO.

    ReplyDelete
  15. "NA KAZI IENDELEEE" Jambo Forums Go!go! go.Hii ndo Fimbo ya mafisadi na kama hamuamini muulizeni mzee wa mamvi(EL).JF U'll never walk alone.
    Ngurubange

    ReplyDelete
  16. nyie jambo mafala sana yaani mnataka tununue matangazo yenu badala ya kutulipa, nani ageuke bango!

    ReplyDelete
  17. akaaaa
    mie nasubiri za Michuzi
    kaka yangu halahala basi
    hutaki bizinezi nini ?

    Torontonian,
    Canada

    ReplyDelete
  18. wadau wa gulobu yetu ya jamii msikonde. T-shirt hizi na merchandise nyingine zote zitakapokuwa tayari mtatangaziwa ili mwenye kuwahi awahi na kupata usije ukawahi kuona tu. Sasa hivi (hasa wiki hii) kuna mambo kadhaa yanakamilishwa pamoja na mapendekezo mbalimbali.

    Kama kawaida ya ushirikiano wetu na gwiji katika mtandao Bw. Michuzi na maiwaifu wake tutawaletea taarifa za lini na kwa kiasi gani zinaweza kupatikana.

    ReplyDelete
  19. mwanakijiji umeona mitusi hapo juu hehehehe

    ReplyDelete
  20. Hizi Tshirts zimetulia kweli. I hope na quality yake ni nzuri kama picha ilivyoonyesha. Akinunua mmoja atwambia ukishafua mara moja inaback hivyo hivyo au ?? Na miye nitanuanua baada ya kujua quality yake

    ReplyDelete
  21. Mbona bado kimya kuhusu hizo fulana zenyewe? Tuambieni basi.....Nina oda yangu nataka kuplace...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...