Home
Unlabelled
mambo ya mlimani alumni
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
What a better way to invest in our own community. Charity begins at home for real. Go fRANK Kambira and company. Haya ndio mambo msingi kwa kulijenga taifa letu through our alma mater.
ReplyDeleteHongera sana MLIMANI Alumni kwa kuanzisha productive organization, Big Up sana kila ex students wakiwa na moyo huu maendeleo hayatochelewa kufika hapa bongo
ReplyDeleteAbsolutely fantastic! Haya ndio maendeleo. Maendeleo yana letwa na watu kama nyie. Mumeona tatizo na kuhamua kulitatua. Mumenipa moya saana na mimi nitajaribu kuanzisha Alumni ya wana funzi tulia maliza Kurasini Primary.
ReplyDeleteHili ni wazo la mfano wa kuigwa. Big up kwa wanaoliendesha. Inasikitisha kuona watoto wanapinda migongo kabla ya wakati wao kwa kukosa madawati. Tuliosoma shule nyingine basi tuunganeungane na sisi tufanye mambo kama haya. Mliosoma na waziri wa miundombinu shule moja unganeni mkakarabati shule yenu, mkuu wa wilaya ya Tegeta ungana na wenzio japo unawajibika kwa wananchi wako wa Tegeta tehee hee. Tukifanya hivyo basi taifa la kesho litakuwa limeelimika vema. Ndio njia ya kujiepusha na mikataba yenye utata.
ReplyDeleteHongera Saana wana MAO MLIMANI Alumni Organization!! Tumewasikia Saana...sasa tunaona mambo!!
ReplyDeleteTumeona Madawati na Umeme pale Mlimani Primary School. Nasikia Kuna dada yuko Atlanta ndio
Kudos kwa mwanzilishi wa MAO dada Alison Ndulute wa Atlanta!! Na wenzake wengine ni, Fredrick "Nyau" Kasungu, Doris Puja na dada yake Juanita Puja - DC Sawiche, Neciah Mahenge - Dar, , Leo "Bamaga" Mapunda, Emma Tungaraza,Martin "Jay P" Elia - Columbus, Tumain Mosha, Frank Kambira - Cleveland hawa ni wachache tu nao wajuwa mimi, kwani hii Organizatio inakuwa kila siku! Jamani tuwasaidie wenzitu - pia tuige mfano wao!