Home
Unlabelled
mapambo asilia
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Sasa ndio unakataa nini? kuanzia jina tu ni la kimagharibi.
ReplyDeleteSAFI SANA KWA KUFANYA HIVI TUTAONGEZA AJIRA NA KIPATO PAMOJA NA KUKUZA UTAMADUNI WETU...KWA KIASI TUTAPUNGUZA ..MADE IN CHINA..NA BIDHAA ZENYE UBORA HAFIFU KUTOKA ..INDIA..
ReplyDeletehuu ukumbi utakuwa umepambwa kwa ajili ya kitchen party maana mara nyingi kitchen party wanapamba kiasili.
ReplyDeleteby mtanzania halisi
aaaah adi raha manake..asante ka michuzi kwa picha
ReplyDeletebro michu!mi bado nalia na fulana,acha kunibania huo ni umaghalibi sheakh wangu!other wise mapambo yanavutia ila harufu ya ngozi za ng`ombe na mbuzi zinapatikna kwenye hayo mapambo,maana ndio asili inakamilika!
ReplyDeletesafi sana.... however, badala ya kuweka vitambaa vya satin kwenye meza wangeweka vitenge na mabatiki yenye mandhari ya kibantu. na meza za wageni pia wangeweka vipambo kama vipeyu/vibuyu nk badala ya flower verse.. ni ushauri tuu
ReplyDeletesafi sana keep it up
samahani kwani huenda mimi ndiyo mwenye matatizo!! Hivi unaposema mapambo asilia kwenye hizi picha umemanisha nini? kwa sababu mimi naona vitu vingi (mapambo) havionyeshi uasili wetu. Nisaidieni mwenzenu natia huruma!!!
ReplyDeleteBado umagharibi unanukia kwenye haya mapambo
ReplyDelete