THE Pentagon said today that a Tanzanian charged with attacking the US embassies in Dar es Salaam and Nairobi a decade ago will be accorded fair trial.
Brigadier General Thomas Hartman, legal adviser to the Office of Military Commissions at Guantanamo Bay, said during a teleconference organised by the Editors' Forum at Maelezo in Dar es Salaam, that Tanzanian journalists would be invited to attend the trial. click here for more....

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Inashangaza kuwa imetangazwa kuwa waandishi wa tanzania wataalikwa kuhudhuria kesi hii wakati ni jana tu tumesoma kuwa mama yake mzazi anasikitika kuwa hajui kinachoendela juu ya mwanawe na hajui ni lini kesi yake itaanza na wala hakupewa taarifa zozote zitakazomsaidia kwenda kwenye kesi hiyo. Pia mama huyo amesikitka kuwa serikali ya tanzania haikumsaidia kwa taarifa zozote kwa miaka yote hiyo mwanawe aliposhikiliwa, hilo si ajabu kwani sote tunajua kiasi gani serikali kwa kupitia balozi zake zinavyowapiga chenga watanzania wanaposhikiliwa kwa tuhuma zozote zile nje ya nchi. ni tafauti sana na balozi za nchi nyengine ambapo hadi maofisa hufika kuwaona watuhumiwa. Najua kuna watakaoruka na kuanza kuunga mkono tabia za balozi zetu, lakini ninachosema hapa ni kuwa balozi za nchi zote duniani huwa zinafuatilia na kutowa ushauri kwa wananchi wao wanapokamatwa kwa tuhuma zozote au wanapopata maafa wakiwa nje ya nchi. balozi zetu hazijali chochote unless uwe unatoka katika familia inayojulikana au kabila la wakubwa serikalini. Nasema tena neno tuhuma (unaposhukiwa ni kabla ya kupatikana na hatia), serikali yetu haitaki kujua. Ushahidi upo tele, anaepinga na ajitokeze.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...