MISS UNIVERSITY TALENT MUCCoBS -Moshi University College of Cooperatives and Business Studies - MWAMIN (BLUE GOWN) 1ST RUNNER UP ADELLA KIMAMBO (GREEN GOWN) NA 2ND RUNNER UP DARASIA (CREAM GOWN)
MR. UNIVERSITY TALENT-MUCCoBS EDSON TIBAIJUKA KATIKATI ,MSHINDI WA PILI ALFRED SENI ALEYEVALIA KOTI LA SUTI NA SURUALE YA KIJIVU MSHINDI WA TATU MIKONO MFUKONI GILBERT MUSHI
MR. UNIVERSITY TALENT-MUCCoBS EDSON TIBAIJUKA KATIKATI ,MSHINDI WA PILI ALFRED SENI ALEYEVALIA KOTI LA SUTI NA SURUALE YA KIJIVU MSHINDI WA TATU MIKONO MFUKONI GILBERT MUSHI
Haya wadau hayo ndio mashindano ya koleji bongo hata kumechisha hakuna. Bongo muswano au vipi?
ReplyDeletewatu wanatililia vidudu vya mamtoni to ze hiest level. Wadau wala msikonde kwa wivu.
Hapa mi ugomvi wangu na Mithupu tu...
ReplyDeletekweli hiyo ni kijivu?? na hiyo nayo ni Cream??
nway naona wapo kama wanaenda harusini...I hope ndo maendeleo tena next time watavaa tofauti kiduchu halafu vivyo hivyo kwa mwaka utakaofuatia....Pamoja
Huyo checkbob wa kihaya Tibaijuka sijui..umejitahidi kuvaa vizuri atleast umeonyesha una good taste of fashion,na hao mademu wote mavazi mmechosha ila ni wazuri lakini jifunzeni kuvaa vizuri
ReplyDeleteMdau wa BeverlyHills!
EDSON BIG UP. TUWASILIANNE. EMAIL YANGU NI tgeofrey@gmail.com. KAKA MASO/DEMO
ReplyDeleteTUMAINI GEOFREY
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu naomba kufafanuliwa kuhusu hayo mahindano na vigezo vyake! Maana wale wasichana wote wazuri lakini sielewi kuhusu masuala mengine, walivyokaa pamoja ni kama watu marafiki tu! nafikiri nimeeleweka kwa upande huo wa wasichana. Kwa wanaume ndo sielewi kabisa huyo mshindi labda picha imemtoa vibaya macho yake.Na wengine hata siwaelewi! Kurudi kwenye mada naomba nieleweshwe napenda sana kufuatilia mambo kama hayo lakini hapo nimetoka kapa!Si kwa hapo Moshi tu hata SUA naona niliona vitu vinavyolingana hivyo ndio maana nimeona sasa niulize.
ReplyDeleteWatu wengine wa ajabu kabisa. hivi ninyi mlikwenda kusoma au kwenye ulimbwende. si ajabu kichwani hapo hamna kitu na ndo maana mnamaliza shule hakuna ubunifu mnasubiri kuajiriwa na mkiajiriwa ni kwenda kuiba tu.
ReplyDeleteTanzania system ya elimu hofyo hofyo. Chuo kikuu ni mahali pa kuchimbua si kwenda kuulizana nani mzui au kapendeza. lini mtakuw na vyuo vinavyosifika?
Michuzi uwe unatubandikia waliofanya vyema academically kwani huko na hilo ndo lengo la vyuo.
Hao watuachie vyuo vyetu na wakuu wa chuo whakikishe wanajenga vyuo vyenye hadhi za kimataifa vinavyoweza kuzalisha watu wa kushindana kwa bongo zao si kwa mapaja yao au misuli tu.
hao waende bagamoyo
WEWE MIVYUOTANZANIA 5:59PM
ReplyDeleteACHA USHAMBA NANI KAKUDANGANYA KUWA CHUO NI KWENDA KUCHIMBUKA TU.CHUO KIKUU SIO NYUMBANI KWA MTU NA KAYA YAKE, PALE KUNAISHI WATU WENGI(JUMUIYA YA WATU MBALIMBALI) WENYE TAMADUNI TOFAUTI. HIVYO HAUWEZI KUEPUKA MIENENDO NA TARATIBU ZILIZO BORA ZILETWAZO NA WATU KUTOKA MBALI. ILI MWANAJUMUIYA UWEZE KURIZIKA NA UWEPO WAKO MAHALI HAPO KATIKA KUKAMILISHA MALENGO ULIOKUSUDIA (UELIMIKE) YAKUPASA UJIFUNZE KUISHI NAO.JE HAYO YANAFUNDISHWA NA WAHADHIRI?.MKUU KUELIMIKA LINA MAANA PANA SANA SIO KUJUA UCHUMI TU AU UDAKTARI,UHASIBU...KUELIMIKA NI PAMOJA NA KUHESHIMU UTAMADUNI,MILA NA DESTURI MBALIMBALI ILI UWEZE KUISHI NA JAMII MBALIMBALI.MFANO KAMA KATIKA JUMUIYA YENU MNATEMBEA UCHI UKIENDA KWENYE JAMII WANAYOVYAA NGUO,UKITEMBEA UCHI NA MIDEGREE YAKO KICHWANI WATAKUONA UMEELIMIKA KWELI?.
CHUO WATU WANAJIFUNZA MENGI, ILI DUNIA IWE BORA KWAKO UNATAKIWA UJIFUNZE KUSIFU NAWE UTASIFIWA,HIVYO BASI VYUONI HUWA TUNATUMIA MUDA WETU WA ZIADA KUWASIFU WENYE VIPAJI MBALIMBALI WAKIWEMO WANAMICHEZO, SIO WAZEE WA GPA TU NDIO WANAOTUKUZWA HATA HAWA WANA NAFASI YAO,VIPAJI VYAO VIMEWEZA KUWAKUSANYA WATU PAMOJA.
MASHINDANO HAYO NI MUHIMU VYUONI(SIO MASHINDANO YA ULIMBENDE MKUU NI MR AND MISS TALENT)KWANI NI MASHINDANO YA KUWAPA NAFASI WENYE VIPAJI MBALIMBALI KUONYESHA HADHIRA UBUNIFU WAO NA JINSI GANI WAMEKWIVYA KATIKA SUALA ZIMA LA TAMADUNI MBALIMBALI
MWENZETU UMESOMA CHUO KIPI,SHULE IPI AMBAYO HUKUKUTANA NA WATU WENYE TAMADUNI TOFAUTI NA ZAKO!
AU WEWE TAMADUNI ZAKO NI BORA KULIKO ZA WENGINE.
MKUU NAWASIWASI NA MWALIMU ALIYEKUFUNDISHA SIJAELEWA NINI MAANA YA
mzui
mtakuw
AU NI MANENO MAPYA YA LUGHA YETU TUKUFU YA KISWAHILI
CRUX YAR-DIE
mwenye shati la cream katoa macho kama kakamatwa ugoni hehehhe
ReplyDeletecongrats Adella mdogo wangu,long time but i was happy to see you hongera sana.
ReplyDeletejane
Poa sana kamanda Edison Tibaijuka nakukubali kaza buti kamua shule kijana na ongera kwa kuwa Mr.university.ni mimi mbeyee.
ReplyDeleteYap Yap Tibaijuka,naona single yako uliyoitoa sasa ianaanza kufanya kazi(PIGA GARAGAZA)Big up sanaaa !!keep it ,we anon wa5:59 kuwa chuoni sio kupiga book tuu kama huna talent kaaa kimnya.
ReplyDeleteCOM B (Turkey)