Morani sita wa Kimasai watashiriki kwenye Mbio za London Marathon kwa ajili ya kuchangia maendeleo ya Mradi wa Maji kwenye Kijiji chao cha Eluai Kaskazini mwa Tanzania.

Mbio hizo zitafanyika tarehe 13 Aprili siku ya Jumapili.


Vijana hao pamoja na mambo mengine wameombwa kujaribu kufuata Mila na Desturi za Ukerewe ikiwa ni pamoja na Kutojisaidia hovyo na pindi wajisikiapo waombe maelekezo ili kuonyeshwa Maliwato ya Umma, pia wamesisitizwa kuepuka kutema mate hovyo kwani hilo ni kosa na kutakiwa kufanya hivyo kwenye ma beseni ya kunawia tuu.


Kundi la vijana wakujitolea la Greenforce ambalo liko kijijini humo ndio lililoratibu ziara hiyo.na mtandao wa gazeti la Telegraph la Ukerewe




Kwa habari zaidi tembelea mtandao wa Greenforce kwa kubofya hapa

Mdau PiusKuala

Lumpur

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. kunajamaa nafanya nae kazi nae anashiriki na anajinoa aswa lakini kwa wamasai hawakuti kitu

    ReplyDelete
  2. Aisee Michuzi mbona hii violetion of human diginity. Mtu atatuongeaje mbovumbovu namna hii aisee. Mnatuonea gere kwani Wamaasai ni popular dunia mzima. wewe mdengereko unajulikana wapi. Acheni wifu heeeeeeeee!

    ReplyDelete
  3. Mbaya kuliko yote wamasai wameshauliwa kuto sahau kuvaa vazi la ndani(chupi)Londoners wametoa ushauli kwamba watumie saa maana majira huku haya pimwi kwa jua kama walivyo zoea jambo lingine wasistajabishwe na watu wasio tabasam maana Londoners never smile. Haya karibuni wamasai London yero subai

    ReplyDelete
  4. Tanzanian 'witch killers' charged


    BBC correspondent in Dar es Salaam



    Some 20 people in Tanzania have been charged with murdering seven men they suspected of practising witchcraft.
    Among the accused are village leaders and other local officials, who ordered the killings, according to the police.

    They had organised a secret ballot where residents named the alleged witches and wizards, who were then attacked with machetes and spears.

    Seven others were injured in the attacks police describe as the most atrocious ever seen in the area.


    Killing squad

    Those on the hit list, drafted by village leaders near Makete in Iringa region, were advised to leave their homes immediately or face the consequences.

    Regional Police Commander Omar Mganga told the BBC that those who defied the local authorities' orders were then attacked by a killing squad of young men using clubs, machetes and spears.


    Last year, the authorities displayed this human skin to discourage 'ritual skinning'
    "Our investigations showed that the victims were under the suspicion of fellow villagers' murders, after relatives noticed that certain organs were removed from the bodies of their loved ones," Police Commander Omar Mganga said.

    During several raids, the police found the names of the murdered and injured victims in the minutes of one of the village meetings.

    Some of the suspects, who appeared in Njombe magistrates court on Wednesday, include a councillor, a village chairperson and executive officers, a businessmen and farmers.

    Their alleged involvement has shocked residents and police in the district.

    'Police, judge, jury and executioner'

    What is more worrying to many is the method of nominating people who are suspected of being involved in witchcraft.

    Two months ago, villagers in a neighbouring district used a secret ballot to make a list of people who they claimed were responsible for killing old women and removing their internal organs for witchcraft purposes.

    But they passed their list of suspects to the police, unfortunately, Police Commander Omar Mganga said, leaders of the three villages near Makete decided to be the police, judge, jury and executioner in these chilling and cruel murders.

    Witchcraft-related murders seem to occur in this region during the harvest season, when some people believe that if fresh human blood or dried and powdered internal human organs are sprinkled over land and buildings then business will be successful.

    In recent years, the trade in human organs has been on the increase in this southern part of Tanzania.

    Human skinning, which hit the headlines two years ago, still haunts neighbouring Mbeya region where six young people were thought to have been killed and skinned.
    Source:http://news.bbc.co.uk/2/hi/ africa/353518.stm

    ReplyDelete
  5. Tanzania gets 'voodoo newspaper'


    The paper says it has been inundated with phone calls
    A newspaper about witchcraft, superstition and life after death has been launched in Tanzania.
    The publishers say "Jungu Kuu" (Big Pot) aims to educate people about witchcraft in a country where such beliefs are common.

    There have been numerous reports of old women being killed after being accused of witchcraft.

    Editor Munga Tehenan told the BBC that the paper would educate people to stop them being cheated by bogus healers.

    "I do believe, but what is witchcraft?" he asks.

    The BBC's John Ngahyoma in Dar-es-Salaam says the weekly paper's first lead story is a feature about how common it is for the dead to contact the living, using the example of a recently deceased popular musician.

    'No criticism'

    Mr Tehenan says every human being is superstitious, giving examples of people praying for the dead and horoscopes.


    Belief in witchcraft is common in Tanzania
    Mr Tehenan believes that his Swahili-language paper will have a wide readership and that sources of information are unlimited in a country where many people believe in witchcraft.

    "Our paper intends to clarify matters that are not known to many.

    "We are not going to criticise anyone but we are going to tell them what happens when they are given charms, say for promotion or getting the right partner in life," he said.

    He says the paper has already received lots of phone calls, for example from a woman seeking advice on how to get a man to marry her.

    As the first issue has only just hit the streets, many city dwellers have yet to read the paper.

    Political analyst and activist Prince Bagenda has read it and describes it as "very interesting".

    He describes himself as "a Christian with a scientific mind" but says he too believes in "superstition".

    Source:http://news.bbc.co.uk/2/hi/ africa/3499861.stm

    ReplyDelete
  6. Jamani huko london kulimshinda POCAHONTAS (katuni) kwanza utambulisho namna ya kutamkwa majina yao ya kinyumbani mh! maana mc alishindwa kumtaja jina la bodigadi wa princess huyo na kuchapia kwa kumwita ultramater luck enogh John smith akaokoa jahazi akatamka nickname akatia UTE kwisha habari yake. Pocahontas akajionea hayawezi yale magauni yao na viatu vyao vinamshinda akaamua kujivalia vazi la kwao na kutinga kwenye mkutano wa waheshimiwa kwa muondoko wa mbio wa kwao yeye na ute. Naipenda sana hiyo filam ya katuni ina uchokozi mwingi sana

    ReplyDelete
  7. Anon. Apr 4, 11:06 lazima muwe popular duniani kwa ile staili yenu ya kutumbea utupu na kuishi na wanyama especial simba ni rafiki yao au simba akimuona masai anajificha mwenyewe si ajabu hiyo?

    ReplyDelete
  8. Kaka micu
    nyinge hiyo !
    Kutoka
    http://www.thesun.co.uk/sol/homepage/news/article992640.ece
    Runners are Maasai worriersBy ALEX WEST

    Published: 03 Apr 2008

    SIX African warriors running the London Marathon have been issued with a guide to Britain — telling them not to hunt our farm animals.


    The Maasai tribesman have also been warned to keep their private parts covered up and not to spit or grab Brits’ jewellery.


    The four-page guide by Greenforce charity workers tells the group not to follow their hunting instincts if they see a cow, pig or sheep in a field.


    It says: “It is important to remember these animals are owned by someone and are looked after.”


    The men from a remote village in Tanzania will do the 26-mile run on April 13 in robes and carrying shields and spears. They are raising money for life-saving supplies back home.


    But the guide tells them: “It is illegal to show certain parts of the body so it is important to wear underpants.” It says when nature calls they should find a toilet rather than a bush.


    It also advises them not to spit in public — except in a sink or at a tree “if no one is looking”. It adds: “If you take and wear something someone else has, like a bracelet, they will find it unusual.”


    The guide also warns that Brits “seem sillier” when they drink alcohol.
    JK

    ReplyDelete
  9. kaka Michuzi naomba uniwasilishie wazo langu kwa wadau wa LONDON ama UK kwa ujumla , najua wengi tulioko hapa huwa hii siku tuna chill- majumbani kuangalia Marathon kwenye "telly", sasa kutokana na hawa ndugu zetu WaMasai ambao wametoka safari ndefu huko Oldonyo Lengai kwa nini tusijimobilize tutoke siku hiyo tukawape tafu mabarabarani tuwafanyie wazungu fujo wajue na hawa Wamasai wana kwao watu wao hapa Uingereza? Ni mimi mdau mam

    ReplyDelete
  10. maina ccm na harakati zako umesikia hilo?amasisha at least wana ccm tukawashangilie hawa ndugu zetu.

    ReplyDelete
  11. Arusha ni kivutio cha african-american toka miaka ya 1960. Mkutano wa Sullivan hapo baadae mwaka huu pia inaonyesha jinsi Arusha ilivyo kivutio kikubwa.
    Pia Arusha ni mahali ambapo wakimbizi wa kisiasa wa Marekani walipewa makazi na Mwl. Nyerere na Mzee Kawawa miaka ya mwanzoni ya 1970. Na wakimbizi hapo wa kisiasa toka Marekani wamekuwa ni mojawapo ya chachu ya kuleta maendeleo eneo hilo la kaskazini ya Tanzania.
    kwa Habari zaidi tembelea linki hii
    http://www.uaacc.habari.co.tz/index.html

    Mdau
    Boston.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...