mdau ughaibuni anaomba msaada kwenye tuta. anaomba kujua jina halisi ya ala hii ya muziki. yeye anafanya biashara ya vitu vya kitamaduni toka bongo, na anatumia tovuti yake kutangaza. nayo ni http://www.simplytanzanian.com/
Home
Unlabelled
msaada kwenye tuta
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
hii kitu inaitwa MARIMBA kwa kiswahili, kwa kiingereza inaitwa xylophone....kwisha mjadala.
ReplyDeletei'm out. EMERGENCYPOISON.
marimbazzzzzzzzzz!
ReplyDeletemarimba.
ReplyDeleteZeze ndio jina halisi na watumizi wazuri wa ala hiyo ni wagogo
ReplyDeleteHii ni aina mojawapo ya marimba ambayo inachezwa kwa vidole. Kuna marimba nyingine inayopigwa kwa fimbo fupi kama zinazotumika kupiga ngoma.
ReplyDeleteMARIMBA- Originate from Dodoma......mkuu wake ni Mzee Zawose....huyo ndo KING wa kupiga marimba.
ReplyDeleteDu hii inaitwa MARIMBAZZZ, niliicheza zamani lakini yaumiza vidoleeeee!
ReplyDeleteAsk Kamongo Singer Mr. Ebo
ReplyDeleteit should be marimba
Michuzi hujasomea Marketing wewe, hahah haha sikulaumu, hiyo ni njia ya kufikisha hiyo web yake ktk hadhira...tunaita 'dirty marketing' mdau usijali nadhani tumeisikia na tutakupa clicks...hits...huwezi nambia na kuuza kote huko hujui tunaitaje...mlipeni michuzi wa watu jamani
ReplyDeleteHicho chombo kinaitwa KALIMBA(Thumb piano)na huko Zimbabwe na nchi za kusini kinatwa MBIRA:
ReplyDeleteMalimba(xylophone) inatengenezwa kwa Mbao au Metal bars(vipande vya chuma) na wala haipigwi kwa kutumia vidole katika nchi nyingi za africa Malimba huwekewa vibuyu kwa chini ili kuleta sound nzuri.
hiki kinaitwa kilimba.Mzee mmoja anaitwa Kaditenda huko Vikumburu ndo prodyuza.'Kilimba sio Marimba'
ReplyDeleteMdau wa Mayfair
kwa kigogo tunaita marimba ila sijui kama kwa kiswahili inaitwa hivyo pia.
ReplyDeletechigwiye misi a.k.a malecela
anony umenikumbusha hilo jina zawose,maana yake (za wote) kwa kigogo hii ni marimba inatumiwa na wagogo ktk mambo ya burudani
ReplyDeleteThis instrument ina majina mengi depending on the geographical location and lugha ya wananchi. Kiswahili yaitwa marimba and there are variations of this including kirimba kama alivyosema mdau hapo juu, na wengine huweka marimba juu ya kibuyu kinachoitwa zeze kuiongeza sauti.Makabila mengi watumia instrument hiyo mimi nafahamu kuwa mabingwa sana ni wagogo pia waha na pengine wanyamwezi. Tulipokuwa wadogo alikuwa mtu mmoja akijiita Kitamtamu alikuwa akitutumbuiza sana na marimba yake tabora sokoni.From central africa the instrument mbira moved to south africa with the migrant mine workers, siku hizi hata mzungu mmoja kawa fundi sana wa mbira Chris Berry.Strictly marimba is not a xylophone its a lamellophone
ReplyDeletekigogo tunaita ilimba
ReplyDelete