The First Lady Mama Salma Kikwete with US First Lady Laura Bush shortly after she arrived at the White House in Washington DC this morning to pay a courtesy call on Mrs. Bush.


Mama Kikwete is on a one week working tour of the US to forge links and establish partneships with other US based Non-Governmental Organisations for the implementation of her Wanawake na Maendeleo(WAMA) foundation's five year strategic plans.


WAMA's five year strategic plans aim at implementing the foundations' objectives that include, girl child education, Maternal and Child health, care for orphaned and vulnurable children and Women empowerment

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 44 mpaka sasa

  1. wanaknak walikuwa wakizusha kwamba mama salma hapigi ngeri kumbe uzushi bwana....bi mkubwa yupo gado kwenye ung'eng'e...you mama bush welcome marekani and feel at home

    ReplyDelete
  2. This comment has been removed by the author.

    ReplyDelete
  3. NDUGU YANGU KWAN HUWAJUI WATANZANIA WENYEWE WANAZUNGUMZA YEYE ASHINDWE NINI?MBONA KIZUNGU NI LUGHA YA KAWAIDA TU UNAKAZA ULIMI TU UNAONGEA,MAMA ANAKIONGEA KILE CHENYEWE KABLA YA KUWA FIRST LADY ALIKULA MSULI UK,KWA TAARIFA YENU WANOKUNOKU,ANAKIJUA VIZURI TENA HATUA KWA HATUA,UMEPENDEZA KAMA KAWAIDA YAKO MAMA,NA CHUICHUI HIYO SALUTE,

    ReplyDelete
  4. Mama mheshimiwa hilo koti litakuletea matatizo na jamaa wa animal liberation

    ReplyDelete
  5. QUIZ CHEMSHABONGO
    Kaka Michuzi bado sijapata mjua kiswahili,
    Nafuatilia sana mada zako na Blogu yako na mzee mzima nakoment sana, ila Michuzi huwa unamwita Mama Kikwete Mama wa Kwanza. MI NATOA ZAWADI kwa atakayeniambia 'First Lady' anaitwaje kwa Kiswahili Fasaha, Hiyo ni Moja, Pili Je kama Rais angekuwa Mwanamke je Mume wake angekuwa anaitwaje kwa Kiswahili (najua Misupu ungemwita Baba Wa Kwanza) Natoa AirTime Dola Kumi kumi kwa washindi Watatu, nitumie jibu Nitumie email email ndio hiyo: apakati_ya_chembe_au_kidevu@yahoo.com.
    Aminia Wadau wa michuzi... tuliendeleze Libeneke..
    P.S kwa wazee wa Boxi itabidi ukiwa mshindi unipe namba ya aliye Bongo akupokelee airtime au ntakuSMS we umpe umpendae Bongo!
    *Sharti: Mshindi wa nne hana chake, na mshindi atajitaja hapa mwenyewe blogini, nitaRATIFY, najua hata mmoja hatapata jibu, maana kiswahili si lugha rahisi!

    ReplyDelete
  6. Body language hapa ...........mmmhhh.....kasheshe

    ReplyDelete
  7. Do mama wa kwanza hilo linguo na alivyopanua mikono kumkamata mama bush, kama vile JICHUI linataka kumla mzungu. Mama kanenepa sana sasa. Atumie nafasi hii kumwona Opra aingine kwenye yale ma program ya Opra ya kukata uzito. Noma!

    ReplyDelete
  8. hilo koti la bibie wa kwanza ni noma.......kama mdau alivyosema hapo juu watu wa animal rights watamtolea macho mno

    ReplyDelete
  9. kweli body language siyo nzuri.Inaelekea Laura anamzuia mama kikwete kusogelea sio kukumbatiana kama ilivyo kawaida.

    ReplyDelete
  10. Wadau mimi ninakubaliana kabisa na apakati. nimekuwa ninachukizwa sana na matumizi ya tafsiri sisisi ya 'mama wa kwanza'. ninajua hakuna neno rasmi la kiswahili kwa sababu huu ni utamaduni wa kukopa kutoka siasa za magharibi. ninapendekeza tutumie MAMKUBWA/BAMKUBWA au MAMA MKUU/BABA MKUU/FAMILIA KUU hata kama wanafuga pet dog MBWA MKUU.

    mzalendo

    ReplyDelete
  11. hilo koti kama ni ngozi wa chui kweli basi anakazi na watu wa animal rights, ila sidhani.
    na kama ni just kitambaa cha chui chui nafikiri hakikuwa na hadhi ya kuvaliwa na mama wa kwanza.
    kama sikosei vitambaa vya chui chui vina hadhi ya chini sana kulinganisha na mtu kama yeye. kwa kweli kwa kiasi katuadhirisha (mara nyingi huvaliwa na watu wa fani fulani au wanaotaka kutoa ujumbe fulani.....)

    ReplyDelete
  12. Jamani mbona hamna baridi ya kuvaa hilo koti kwa sasa hivi D.C.? Ama hawakumtaarifu kwamba hali ya hewa imebadilika maana hilo koti utasema aliambiwa anaenda Alaska duh noma.

    ReplyDelete
  13. Mama salima kalimbuka! Acheni ulimbukeni. Hao watu wake wa protokali ni lazima wampe Mama Salma brifing nzuri, ikiwa ni pamoja na kipi cha kuvaa wakati wa majira kama ya spring, kuachana na ma-"fur", ambayo hayaendenai na wakati wa "political correctness".

    Hao wa White House nao walichukua majambo kwa "granted" kudhani kuwa Mama Salma asingevaa mavazi ya "winter", kama hilo la "fur", fake au real!

    ReplyDelete
  14. katudharilisha kina nani?wewe au sisi?we mmja ndo useme hvyo hafu unatuambia kutudharilisha kiswahaili hikibwana ,mama kapendeza kama kawaida kitamba ni cha kawaida sanan sa we ulitaka ashone nguo kwa kitambaa gani?akifanya hvyo wanakula kodi ztu,akivaaa simple anakudhalilisha kweli ndugu yangu una mambo ya kizaman kweli haya bwana sijui bibie kazi kwako

    ReplyDelete
  15. Nyie vipi? animal right animal right. Tangu lini nikosa kuvaa Fur? mama kapendeza na mkoti wake wa chui chui wivu wenu tu unawasumbua.

    Ila kusema kwlei wasidizi wake ilibidi wamvua akisha ingia ndani tu, huo mkoti auvae akiwa inje.

    ReplyDelete
  16. MZEE INDIA, MAMA CHINA. MAISHA YA NDOA HAYO. KILA MTU ANAJINAFASI ANAVYOTAKA. SAFI SANA JK NA MAMA. WALAU MNATUONYESHA MFANO MZURI WA JINSI YA KUISHI MAISHA YA NDOA. KILA MTU KIVYAKE. INAPENDEZA SANAAAAA.

    ReplyDelete
  17. ok uko amerka eeee ukitoka hapo uende denmark utakutana na mzee akitoka India naye atakuja Denmark halafu mtarudi wote Bongo

    ReplyDelete
  18. MAMA!!!!MAMA !!!! MAMA!!!!THIS IS A NO!! NO!!!! NO!!!! HUYO MSHAURI WAKO MFUKUZE KABISA!!! TAFUTA WATU AMBAO WANAJUA INTERNATIONAL STYLE GOOD STYLSIT ATAKAE KUSHAURI KUVAA ACCORDINGLY. KAMA HAUNA UKIFIKA NJE , I AM SURE KUNAWATANZANIA WANAOJUA KUVAA WAKAKUSHAURI. THIS IS A NO FOR A FIRST LADY!!!! KWANZA SASA HIVI WINTER IMEISHA!!! WE ARE IN SPRING. KWANINI USINGEVAA A NICE SUIT KAMA LAURA HAPO. BASI KAMA ULIKUWA UNASIKIA BARIDI SANA HATA TUTLE NECK SIMPLA NA SKIRT NDEFU. KWANZA HILO KOTI UTAMTIA MWENZAKO MATATIZONI NA WATU WA ANIMAL RIGHT. UNAJUA HUKU WANARIGHT YA KILA KITU MPAKA PAKA ANARIGHT. IT IS NICE TO AVOID CONTRAVERSAL. UTAMTIA MWENZAKO MATATIZONI. AFADHALI LAURA AGOMBEI URAIS AU MUME WAKE. INGEKUWA TATIZO HAPO TAYARI DOA. PLEASE MAMA YOU VERY BEAUTIFUL WOMAN, PRETTY LADY LAKINI HUKU KUVAA KUTAKUPONZA. YOU DO NOT LOOK GOOD AT ALL.!!!

    ReplyDelete
  19. Mama Kikwete kapendeza lakini nafikiri watu wa ubalozi wetu (D.C) au Ikulu Dar wangemshauri mama kwamba huku sasa hivi ni majira ya Spring, kwa hiyo avae light jacket. N'ways you live and you learn.

    ReplyDelete
  20. kawaida first lady anamshauri au stylist wa combination za mafazi. Stylist wa mama wetu jamani nani????

    ReplyDelete
  21. Hilo coat ni actually real fur...????? I hope not...watu wa animal right watamsimamia mlangoni akitoka tu wanaye....mweee....huyo personal advisor wake au stylist wake angemtonya hilo....kama sio real ...cool....

    Huku vitu hivyo wanavimind sana....juzi tu wameweka the order of protection to a duck in NY sasa wakiona hivyo kwa first lady wataimba sana....

    This is so good inaonekana jinsi alivyoenjoy bongo ndio maana amekumbukia kumkaribisha mwenzie nyumbani kwake..

    ReplyDelete
  22. huyu anon April 08, 2008 11:03 PM,
    naona katoka kwenye heineken moja kwa moja hapa blogini hakujua anacho-kinena

    ReplyDelete
  23. Nadhani wengi tusingekuwa tumepata bahati ya kuja viwanja tusinge jua mambo ya political correctness na haki za wanyama. Hivyo , Mama Salma hana makosa. Washauri wake nao wanaishi Bongo. Kwa hiyo nao hawana makosa.

    Wale wa ubalozini wangemwambia nini mke wa Rais katua Airport na m-nguo huo kasha utinga tayari -wamwambie auvue? Isitoshe ubalozini wote washamba ile mbaya. Nisha dili nao katika mpango wa kubadilisha Passport. Wanafanya kazi kama tuko Bongo. Halafu ni wazee fulani wajomba ile mbaya!

    ReplyDelete
  24. MAALIM ISSA HABARI ZA KAZI MZEE...NAONA MAMA JK AMEPENDEZA SAAANA..."..BILA SHAKA JK ANAWINDA.."..NGOZI IMEMPENDEZA BIBIE.."

    ReplyDelete
  25. Kwa nini umeiachia hii com ya huyu an april 8, at 11.03.
    The guy is one of the psycho, na kizungu chake cha ghetto, hana kituo
    Wala comma katika kinywa chake. People have got time to waste mtu
    Mzima unakaa kuandika ujinga tu. Hata kama ni anonymously get a life
    Nobody is here to read this rubbish

    ReplyDelete
  26. anon wa 11:03 p.m. mbona una hasira na unaongea vibaya bila kusema comment zako kwa issue iliyowekwa mbele yetu ambayo ni picha ya mama wa kwanza akimsalimia mama Laura Bush.. kumtukana Michuzi sidhani kama inachangia mada iliyo hewani...

    ReplyDelete
  27. daam nigga....anonymous wa April 08, 2008 11:03 PM, u lay out like that!

    ReplyDelete
  28. lawd have mercy, please tell me i am dreaming! naona mama Bush alipatwa na shock...like what the hell? that coat is too heavy for spring and second liko busy mno marangi rangi na nini, third it is not for a business wear. yaani hata sielewi, yeye mwenyewe alijua ndo american style. spring ni mwendo wa trench coats... jamani in america we have winter, spring, summer and fall. first lady anatakiwa awe na designer wake ambaye ana upeo wa international. WALA VUMBI NA WANUKA VIKWAPA HUKO BONGO TAKE NOTES!

    ReplyDelete
  29. Kweli kaka Michu nimegundua una kazi ya ziada. kwani ungekuwa unatundika maoni yote yanayotolewa na wadau,pangekuwa hapatoshi. Kama huyo anon wa April 08, 2008 11:03 PM, nahisi alikuwa amelewa wakati anaandika, sitarajii mtu mwenye akili timamu kuandika ujumbe mchafu kama huo.

    ReplyDelete
  30. jamani hivi hatuju drees code, in internaional meetings au?

    ReplyDelete
  31. Hayo matusi hapo juu yamepitaje???? Mimi nilifikiri mnachuja??? Michuzi, kuna watoto wetu wanasoma haya, sasa heshima iko wapi?

    ReplyDelete
  32. False Pretendence!The Grandeur does not reflect the extreme poverty in the villages back home.Or is wishing to be at Par with the Opera!Kick my A*&!

    ReplyDelete
  33. Laa haula laa kuwata michuzi kama huyu anon wa Apr 8 11:03 pm umeiweka humu comment yake basi ya mama Al ilikuwa ni balaaaaa yaraby, maana huyu jamaa anatest ya kiniga kabisa mh! wenzetu hivyo vijitabia vya kuokotoza muvifanyie huko huku mnatutia vichefuchefu walai.

    mama wa kwanza! mama wa kwanza nini? "Ni mama wa taifa" hilo ndo tujualo na baba wa taifa haijalishi ni mdogo au amezeeka al-muradi keshaitwa raisi wa taifa la tanzania kwisha khabar yake . Nakumbuka wakati ule kulikuwa na vazi la kitaifa ambalo kina mama zetu wakienda mikutanoni na kwenye sherehe za kitaifa walikuwa wanajimwaga na vitenge vyao sketi nyembamba mpaka chini na kablauzi chenye kibwebwe cha marinda kinachoanzia tumboni mpaka kwenye kiungo cha paja na kiuno (hips) au gauni lenye marinda tumboni na vilemba virefu kama mlima kilimanjaro ila walikuwa wanapendeza sana,naamini wengi wao walishatangulia mbele za haki mungu awarahamu ishallah.

    ReplyDelete
  34. Huyo anon wa April 08 2008 11.03pm
    What a tough guy
    Michuzi i apoligise on his behalf, there is some stuff called C2H5OH bila shaka yafanya kazi, lakini twaomba mashujaa kama hao wasijifiche kwenye anonimity, please release name and email address
    NAME AND SHAME

    ReplyDelete
  35. Pole Issa kwa mitusi iliyoporomoshewa hapo juu,nakutia moyo uwe na moyo mkuu ndugu yangu. jamani huyu jamaa hajalewa wala nini anautindio wa uadilifu nadhani walezi walipokuwa wanampa mafunzo walikuwa wanampigia mbuzi gitaa tu huyu hafundishiki huyu alooo najaribu kuweka picha alipokuwa anafungua dommo lake lilikuwa linkaa upande alipokuwa analopoka hapa, puuuuh!

    ReplyDelete
  36. Huyo jamaa aliokuporomoshea mitusi kaka Michuzi nadhani ana point.
    Mjibu maswali yake mawili ya kimsingi:
    1.Je wewe kaka Michuzi ni usalama wa taifa kweli.
    2. Je unablock constructive comments/ dialogs kwa maslahi yako binafsi au ya CCM

    ReplyDelete
  37. Du, kuiona hio picha I just went oh no you didn't. Nimeshtushwa na hilo koti, yaani najisikia kama vile the ground ipasuke na inimeze kwa hii aibu. This is not how a first lady should dress. Haya sio mambo yakukurupuka tu when dressing as a dignitary kwenda kwa host wato, iwe hapo White House au anywhere else. Ndio mana Laura Bush has been taken aback by the whole situation, the picture says a lot by itself. Mama inabidi a pewe somo la dress code to suit the occasions she attends. Itakua kituko if some African dignitary was to go to Ikulu wearing a ki-carwash na vitu kama ivyo. Watu wanasema kapendeza lakini hii sio issue ya kupendeza, it is about the meaning of what you are wearing and how it is conveys you to the outside world. Naona watu huko bongo wanaona Mama kuvaa chui chui sio kitu, lakini huku hayo mavazi is a no no for someone of her stature. A coat like that is normally fake fur and the connotation that goes with it about hayo machui chui sio nzuri. Kama mdau mmoja hapo alivyo jaribu ku explain though in a diplomatic way. Hayo makoti ya chuichui yanavaliwa na kina dada wanao toa services za usiku kwa yateja wao if you understand what am saying, kwahio that is the impression one gets to start off. The only other people who wear such coats but real fur are extravagant kept women (wachuna mabuzi majuu-style) to rich men who want trophy partners or some entertainers like old movie stars. So if it was real fur then she still has problems with the animal rights people. Mama anaitaji mtu wakumpangilia vitu vya kuvaa kuendana na mambo, sijui ubalozi walimuonea aibu kumwambia asiende dressed like that.

    ReplyDelete
  38. Mzee Michuzi eeeh!! Tafadhali tafadhali get rid of this punk on Apr 8 11:03pm. I have no clue what the heck he is talking about na kizungu chenyewe hajui. People like this are an embarrassment to us all. Kanywa pombe ya bei poa na sasa anaandika utumbo. Kaniharibia siku yangu hata mimi, I can't believe you have to deal with retards like this fool. Go and get yourself educated you moron and get off my internet!! Bwana Misupu freedom of speech haina maana watu wakuandikie huu upumbavu. Keep up the good work!!

    Mdau - Boston, US

    ReplyDelete
  39. Duh NIKJUA MAMA lWAKTARE

    ReplyDelete
  40. Samahanini wadau imebidi niongeze... This guy Apr 08, 11:03 pm Needs to write again in here and apologise for his sorry existence, and then never show up again.

    Mdau - Boston, US

    ReplyDelete
  41. mimi i have nothing against the whole "fur ghetto fabolousness" that people seem to have...ila tu Mama Kikwete should have been smarter being the first lady ..she should have played her position ..lakini ndo ivyo kutojua ...its not even about the type of weather that day ..fact is its just not appropriate attire for that occassion ..like i said she should have known better..

    ReplyDelete
  42. Mama Laura Bush kapatwa na static electric shock kutoka ngozi ya chui/duma ama "tiger"!

    ReplyDelete
  43. Pole ndugu yangu Misoup kwa matusi yaliyokukuta. lakini na wewe wakati mwengine unajitakia kuangushiwa mitusi.nilituma comments mbili kuhusu maada hii ya Salama Kikwete ambazo hazina mabaya yoyote. lakini kwa utashi wako umeamua kuziweka pembeni.ukaamua kuiweka hii iliyosheheni mitusi ya kumwagaa.sifurahii mitusi uliyomwagiwa. lakini kwa mtoto wa mjini kama wewe mitusi ni jambo la kawaida ukitizama umekulia aggrey. kwa hiyo mkuu usijali ya kawaida hayo. (mtazamo wangu) Zee la Kitaulo UK

    ReplyDelete
  44. Michuzi hii picha umeiweka humu makusudi ili huyu chinga wetu aonekane kihiyo,umefikisha ujumbe baba.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...