Ndugu wapendwa:
Kwa niaba ya familia nzima ya Kibodya tunapenda kutoa shukran zetu za dhati kwa wote.

Kwa kweli mmetufariji sana katika kipindi hichi kigumu cha kufiwa na mzee wetu Alhaj Abdallah Mkambavange Kibodya (89).
Pande zote mbili, Tanzania na Marekani tumemaliza siku tatu za msiba leo na Isha-allah familia imepanga kufanya hitma hapa Marekani Jumamosi tarehe 17 Mei 2008 nyumbani kwa Bwana Ahmad Mkambavange Kibodya 96 Warregan Street, Chicopee, Mass 01013 majira ya saa kumi jioni.

Na huko nyumbani Tanzania hitma itafanyika nyumbani kwa baba Yahya Airport Dodoma siku ya Jumamosi tarehe 24 Mei 2008 baada ya salat Asr.
Tunarudia tena kutoa shukran zetu za dhati kwa wema, upendo na mshikamano uliouonyesha katika kipindi cha msiba Mwenyezi Mungu awalipe yalio mema, Amen!
Shukran!
Isaac A. Kibodya

Kwa mawasiliano zaidi na wafiwa:
Isaac Kibodya 413.209.8666 (nyumbani)
413.219.1153 (simu ya mkono)
Ahmad Mkambavange Kibodya 413.315.9023(nyumbani)

413.221.2935 (simu ya mkono)
Khalfan A. Kibodya 044.780.961.7416 (simu ya mkono)
Mohammed A. Kibodya 413.273.4591 (simu ya mkono)
Msemwa A. Kibodya 214.916.0879 (simu ya mkono)
Zainab A. Kibodya 832.208.0316 (simu ya mkono)
Omar A. Kibodya 413.330.2007 (simu ya mkono)

poleni kwa msiba wafiwa
ReplyDeletenje ya mada
naomba email address ya mbai
agnes
Poleni sana ndugu zangu tupo pamoja kwenye wakati huu mgumu wa majonzi.
ReplyDeleteMohamed