Bro pole na kazi mkuu ndio wajibu wenyewe huo. Wajibika taarifa zitufikie wengine wa mbali huku na nyumbani (bongo tz).
Bro. mie nina tatizo ambalo linatukumba wengi huku na tumekuwa tunalifanyia mpango muda mrefu lakini hola.
Bro. mie nina tatizo ambalo linatukumba wengi huku na tumekuwa tunalifanyia mpango muda mrefu lakini hola.
Swala lenyewe ni hivi: sisi ni vijana ambao tulipata nafasi ya kuja nchini Ukraine kusoma, kuna misukosuko mingi ilitokea lakini kwa namna moja ama nyingine tunamshukuru bwana balozi aliyemaliza muda wake (mh Chokala, Patrick) kwa msaada wake wa kiubinadam mpaka yameisha ingawa siyo yote.
Mwishoni mwa mwaka jana kuna jamaa fulani ni wabongo sema wenyewe ni maveteran wana miaka mingi huku (zaidi ya 17). Mmoja yuko Kiev, Capital city na mwingine Kharkov, student city, walileta dili la Sweden.
Wakahakikishia vijana kuwa dili ni la ukweli na halina tatizo lolote na kwamba kila kitu kipo katika mstari, ni kumpatia kiasi cha dola za US 100$ na atafanya mpango wa kila kitu na kabla ya mwisho wa Desember mwaka jana basi tutapatiwa invitation, na kwamba malipo ya kazi hii atalipwa punde tukirudi kutoka Sweden.
kilichotokea ni kwamba sasa hivi ni mwezi wa nne unaisha jamaa anadai registration zetu hazitoshi hivyo tuongeze, na yeye mwenyewe alishachukua information zote ( copy za passport zinazoonesha mwisho wa registration).
sasa swali linakuja kwa huyu jamaa kwamba tangu atuambie kwamba fomu zitakuja before desemba na sasa hivi ni aprili alikuwa wapi kipindi chote hicho? Akipigiwa simu nakuulizwa analeta ubabe kwamba yeye ni mtu mzima tuwache kumsumbua kila mara na simu. sasa bro Michuzi wewe unaona ni haki hii?
Kitakachokuja tokea ni kumvalia maguu na kumfata Kiev na kumpa ngumi za koromeo.tumechoka na mambo yao bwana. Tunaonekana sie wabongo mafala bwana kwa utapeli huku ughaibuni.(mwisho)
nitakuja na nyingine....ila jina na email kapuni. please!
Mdau Ukraine
----------------------------------------------------------------------------------------------
Kaka michuzi,
kwanza nakupongeza kwa kazi yako nzuri ktk kutuhabarisha habari mbalimbali za nyumbani hususan kwa sisi wa Ughaibuni. Naamini blog yako hii inapitiwa na watnzania wengi sana ulimwenguni wenye busara zao na wanaothamini umuhimu wa habari hususan zinazohusiana na masuala yetu watanzania kijamii, kiutamaduni na hata kiuchumi popote pale tulipo!
Kuhusiana na huu uzushi, ningekuomba sana uwe makini ktk kuziweka Posts kama hizi on the blog, kwanza kabisa the way huyu mshenzi alivyoaddress tatizo lake si kistaarabu! hilo linadhihirishwa na lugha yake chafu na isiyo fasaha hali inayopelekea wenye busara zao kumchukulia kama muhuni asiestahili hadhi ya uanafunzi wa level hii ya chuo kikuu!!
Mimi pia ni mmoja wa wanafunzi wa kitanzania huku Ukraine na kwa kweli sijasikia mgogoro wowote kuhusiana na hili suala, inavyoonekana huyu jamaa anatumia mgongo wa wanafunzi wa Kitanzania Ukraine kwa maslahi yake anayoyajua mwenyewe, anatuabisha sana kwa kweli na laiti tungalimjua basi tungalimchukulia hatua kali za kisheria,ila afahamu kwamba tunamchunguza na tukimgundua atatueleza nia yake hasa ni nini!
Kisheria ya kimataifa hii ni moja ya Deformation actions anayotufanyia huyu mtu, na akibainika sheria inaweza kumhukumu!
Kuna masuala muhimu yanayoweza kutumwa hapa, lakini si upuuzi kama huu unaolenga kuwaharibia watu majina na hadhi zao!
Yeye kama ana dukuduku la msingi analoona linamkera binafsi basi asitumie mwamvuli wa nafsi ya wingi kwa kutujumiusha na wengine, si mstaarabu kabisa huyu jamaa na anatakiwa kukemewa, nadhani nia yake hasa ni kutudhalilisha wanafunzi wwenzake kama kweli ni mwanafunzi maana kwa mimi binafsi namuweka katika kundi la WAHUNI na WASHENZI!
Mwisho nakusihi uncle michuzi uwe makini sana kuzipitia taarifa kama hizi kwa kujaji Logic yake kabla ya kuziweka hadharani na huyu mshenzi ningekushauri kuachana na uzushi wake anaokuahidi kukutumia tena baada ya huu uozo wake!!
Poleni sana wanajamii wenzangu wote wa kitanzania hapa Ukraine na hatuna budi kushirikiana kumtafuta huyu mtu na kumweka katika mstari mnyoofu, maana anaonekana kuhitaji msaada wa kimawazo na hata kifikra.
Shukrani sana,
Mdau muathirika - UKRAINE.
Kuhusiana na huu uzushi, ningekuomba sana uwe makini ktk kuziweka Posts kama hizi on the blog, kwanza kabisa the way huyu mshenzi alivyoaddress tatizo lake si kistaarabu! hilo linadhihirishwa na lugha yake chafu na isiyo fasaha hali inayopelekea wenye busara zao kumchukulia kama muhuni asiestahili hadhi ya uanafunzi wa level hii ya chuo kikuu!!
Mimi pia ni mmoja wa wanafunzi wa kitanzania huku Ukraine na kwa kweli sijasikia mgogoro wowote kuhusiana na hili suala, inavyoonekana huyu jamaa anatumia mgongo wa wanafunzi wa Kitanzania Ukraine kwa maslahi yake anayoyajua mwenyewe, anatuabisha sana kwa kweli na laiti tungalimjua basi tungalimchukulia hatua kali za kisheria,ila afahamu kwamba tunamchunguza na tukimgundua atatueleza nia yake hasa ni nini!
Kisheria ya kimataifa hii ni moja ya Deformation actions anayotufanyia huyu mtu, na akibainika sheria inaweza kumhukumu!
Kuna masuala muhimu yanayoweza kutumwa hapa, lakini si upuuzi kama huu unaolenga kuwaharibia watu majina na hadhi zao!
Yeye kama ana dukuduku la msingi analoona linamkera binafsi basi asitumie mwamvuli wa nafsi ya wingi kwa kutujumiusha na wengine, si mstaarabu kabisa huyu jamaa na anatakiwa kukemewa, nadhani nia yake hasa ni kutudhalilisha wanafunzi wwenzake kama kweli ni mwanafunzi maana kwa mimi binafsi namuweka katika kundi la WAHUNI na WASHENZI!
Mwisho nakusihi uncle michuzi uwe makini sana kuzipitia taarifa kama hizi kwa kujaji Logic yake kabla ya kuziweka hadharani na huyu mshenzi ningekushauri kuachana na uzushi wake anaokuahidi kukutumia tena baada ya huu uozo wake!!
Poleni sana wanajamii wenzangu wote wa kitanzania hapa Ukraine na hatuna budi kushirikiana kumtafuta huyu mtu na kumweka katika mstari mnyoofu, maana anaonekana kuhitaji msaada wa kimawazo na hata kifikra.
Shukrani sana,
Mdau muathirika - UKRAINE.


wacha jamaa wawatie ndani!Kwani na sisi wabongo tumezidi ubwege Ughaibuni tumekuwa hatureason..Katika masuala ya utoaji pesa kisa unataka kutoka.Tujifunze kutokana na hili hata sisi tulo hapa UK...Masela Ukraine inawapasa kutia akili kwani maisha ni kukomaa na hayaendi kizembe kiasi hiki!!Maana matatizo yote ya kuibiwa na dhuluma kwanini yatoke kwenu mna balaa gani lakini..Ni majuzi tu vijana wamerudishwa nyumbani!!!
ReplyDeletehiki ni kichekesho hakuna kitu kama hichi hapa nchini Ukraine. kwani mimi ni mwanafunzi pia hapa nchini Ukraine.na huyu alieandika nafikiri alikuwa hana kazi ya kufanya.Tatizo letu kubwa hapa nchini Ukraine ni swala la kuongezewa pesa tu ambapo serikali imetuahidi itatuongezea.swala la sweden si kweli. kuna mtu mmoja tu ndio mwenye mpango wa kwenda kutembea huko sweden wakati wa sama.kila la heri.
ReplyDeleteMimi kusema kweli sijaelewa hii post ina maana gani. Hilo dili la "Sweden" ndio nini?, na unataka sisi tufanyenini? Maana unauliza tukupe ushauri wa kumfanya huyo jamaa wakati hata hilo dili hujaweka wazi linahusu nini. Ni ufisadi nini? Yaani nahisi rushwa tu hapo, na pia mshatapeliwa kwa taarifa yenu!!!
ReplyDeleteSikiliza ndugu, mambo ya kupindapinda na njia za panya ndio hatima yake hiyo, na tunaomba wala usituhusishe na mambo ya "madili" hapa. Kila siku nyie watu wa Ukraine mnalialia, kumbe pesa mnachezea karata tatu?!!!
Kwasasa nchi yetu inapata shida sana na hayo madili. Kijana kama wewe, unayesoma elimu ya juu ni lazima ujue taratibu za kutoa pesa. Na pia uone aibu kusema mbele za watu juu ya uchafu wako. Kama mlitoa pesa zenu kwa njia ya "dili" basi huyo jamaa ndio "amesha-deal nanyi", unalalama nini!! mnatutia wasiwasi na hayo mambo yenu huko Ukraine kila siku nyinyi tu!!. Hata hiyo shida mnazopata huko nahisi ni matokeo ya kukimbilia ughaibuni kwa njia za deal.
Watanzani kwasasa tumechoshwa na madili, mnatutia hasara sana nyie watu wa madili, pumbafu, ni ufisadi mtupu, deal, what is deal?! ala! Msomi kama wewe unatuletea hizo humu! Unatutia wasiwasi kuwa ukirudi nyumbani basi hutosaidia kitu zaidi ya kuongeza idadi ya mafisadi na kuingia mikataba ya "ki-dealish" maana wote ni watu wa madili tu.
Naomba next time unaleta ishu mbele yetu kwa ajili ya msaada basi weka wazi hayo madili. Hata kama taarishi hauwawi, mimi nikihisi harufu ya ufisadi kwasasa sina huruma, naua wote si taarishi tu hata barua yenyewe nachoma moto.
Elimu unayopata huko ikusaidie kutambua mema na mabaya! Na kwa vile uko shule, basi nakupa kazi ya kuandika upya hii post: explain clearly the term "deal" in its legal context, and what type of intervention do you think this audience can provide? NB: If you gave the $100 illegally, you were involved in a scam.
MICHUZI BWANA, MIMI NAONA SASA WATU WANAKUCHUKULIWA WEWE KAMA MTATUAJI HATA MATATIZO YANAYOWAHUSU WAO. TENA BORA YAWE YA JUMLA, LAKINI NI MASWALA YAO BINAFSI. MIMI NINGEKUWA MICHUZI NINGESEMA "VIJANA RUDINI NYUMBANI MJE KUJENGA TAIFA".
ReplyDeleteNINA SWALI KWA HAWA VIJANA:
1) KWANINI MNAWEZA KUTOA HELA KWA VITU VISIVYOJULIKANA? HAVIJULIKANI KWASABABU KAMA NI VYA KWELI KWANINI MSIOMBE WENYEWE?
2) KAMA MAISHA YAMEWASHINDA UKRAINE KWANINI MSIJE NYUMBANI? ELIMU YENU ITAWAFAAJE HUKO SWEDEN? MBONA SIPATI PICHA!
3) MMEJIFUNZA KUWA HELA ZINALIWA NA WAHUNI. NYIE HATA DAR MNEWEZA KUTAPELIWA. MAANA DAR KUNA WAJANJA KULIKO HAO WANAOWATAPELI UGHAIBUNI.
4) BAADHI YA WATANZANIA NJE YA NCHI MNATUAIBISHA SANA. WENGINE WANAWAIBIA WENZAO, WAKATI WENGINE WANATAKA KUZAMIA NJE TENA.
5) WABONGO TUNAJIFUNZA TOKA KWA HAWA WA UKRAINE NA WANA WASHINGTON D.C AMBAO NAO WALIAMBIWA KUNA VIWANJA VYA DOLA 100.
6) ACHENI KULETA MASWALI KWA MICHUZI MKIWA NA SHIDA, WAKATI MNGEFANIKIWA INGEKUWA FAIDA YENU NA NDUGU ZENU TU.
Mdau,
California - USA
Njooni huku India Ukraine hakulipi. Hizo hela mshukuruni Mungu zimekwenda. Tapeli ila cha kufanya ni kuwataarifu wa TZ wote wanaokuja huko kwenu.
ReplyDeleteAise nyie mmekaa kama si watu wa bongo.Kila siku mnasikia juu ya utapeli, sasa mara hii umewafika nyie. Siku yoyote ukisikia kuna mtu ana deal na anataka mtangulize pesa basi ujue asilia kubwa ni uwongo.Kitu cha kwanza cha kujiuliza katika deal hizi ni kuwa jee kama mambo hawakwenda sawa huyo jamaa tutampata wapi? Simu sio ithibati.Kama mnamjua aliko na mna ushahidi kama mlimpa pesa basi mtafuteni mumkamate koo. Lakini kama mna namba yake ya simu basi hizo hela zenu zimeenda arijojo.Mshatapeliwa.Poleni.
ReplyDeleteKALAGABAOO...WAJANJA NDO WANAOWINI.
ReplyDeleteUGUZA KIDONDA
Dah, nimeshindwa kuvumilia. Lazima nitoe japo ushauri.
ReplyDeleteKwanza nianze kwa kukusikitikia ndugu yangu wa Ukraine kwa namna ya kijinga (illiterate) mno ya kujieleza na content mbaya mno ambayo inanitia wasiwasi kama ulipelekwa Ukraine kwa sababu una akili kichwani au ulienda kwa DILI TU ZA KIFISADI FISADI.
Pili, napenda nikutanue mawazo kidogo ndugu yangu. Hakuna kitu kama 'deal' Sweden. Dili kama 'deal' ni kulekule bongo kwetu (ambacho nakichukia sana, of course). Unataka uende Sweden ukafanye deal gani. Nani kakwambia utatoka kwa maana ya kiswahili cha mtaani cha 'kutoka' ukienda Sweden? Kaka, labda tu huijui Sweden, na lada huijui Ulaya ya Magharibi kwa ujumla. Kifupi ni kwamba socio-economico-political systems za kule haziendeki kwa dola 100 kaka. Ulikuwa/mlikuwa mnatapeliwa kijiinga mno. Sikiliza, ulienda Ukraine kusoma, ili labda uje na mtazamo chanya kwa ajili ya maendeleo yako mwenyewe na taifa kwa ujumla. Basi kila siku inayopita naomba ujitahidi kubadilika kuelekea huko. Lakini ulichokiandika kinanitia kichefuchefu hasa ninapogundua eti upo Ukraine kama mwanafunzi wa chuo kikuu! Kazana kusoma, ili ufanikiwe na utakachopata baada ya masomo na siyo eti 'deal la kwenda Sweden'. Sweden? utaenda wapi, Stockholm, Uppsala, Enkoping, Lidkoping, au wapi, ukafanye nini? Ukaoshe vyombo? spela Svenska wewe, au? there is more than worth 100 US dollar man. Nakuonea huruma.
Anyways, mie mwenzio nipo Japan, na ni mwanafunzi kama wewe, ingawa sitegemei hela toka wizara zetu kwani kwa bahati nzuri wazazi wangu hawakuwahi kufikia ngazi za kuwa mafisadi na kutupa scholarship kwa 'deal' kama ulivyopewa wewe (inaonekana). Tunapata scholarship kwa 'merits' na ndiyo maana tunasikitishwa kusikia wenzetu huko Ukraine mnajihusisha na mambo ambayo yanaonesha hampo kusoma ili mbadilike kuelekea uchanya.
UJINGA
ReplyDeletenyie subirini hawa jamaa tutawakomesha,wanataka kidogo tulichonacho tugawane,si angeomba msaada tu kama life huyo mtu mzima limemshinda,tungesaidiana kibongobongo kumpa nauli ya kurudi nyumani,
ReplyDeleteAKITUMAMIZA TU,TUNAMPIGA WANTED NYUMBANI
INACHEKESHA SANA KWA JINSI MTAPELIWA ALIVYOJIELEZA,ILA CHA MSINGI ASIRUDIE TENA KUANDIKA VITU AMBAVYO VINAHARIBU HALI YA HEWA HUMU,KWANI ANAONEKANA KAMA MWANAFUNZI WA FORM TWO NA SIYO WA CHUO KIKUU,HUYU KUNA HAJA YA KUJUA ALIPATAJE UDHAMINI WA SERIKALI SI KAMA UFISADI,KWA KIFUPI NI HIVI,HAYO NI MAISHA YAKO BINAFSI AMBAYO HAINA HATA HAJA YA KUOMBA USHAURI NA KWA KUFANYA HIVYO UNAJIHARIBIA TU KWA KUONEKANA MWEHU,NAHISI KAMA WANAFUNZI WOTE WA UKRAINE WATACHUNGUZWA MATOKEO YAO YALIYOWAFANYA YAWALETE UKRAINE BASI LAZIMA UTARUDISHWA TZ,KWA KIFUPI HAMNAZO KABISA WEWE.MWISHO NAKUOMBA KAZANA KATIKA SHULE ACHANA NA NDOTO ZA ALINACHA,KWANI SHULE NDO KILA KITU,KINA DR.SHEIN WALISOMA HUKO SI UNAONA WANAISHI SASA!UKILETA UJANJA UJANJA UTAISHIA KUOSHA VYOMBO HADI UNAKUFA,NA TZ KUWA KAMA KITUO CHA POLISI KWANI UTAKOSA VYOTE NA UTAONA HAIBU KURUDI HOME.
ReplyDeleteMICHUZI BLOG YAKO NAONA INAANZA KUKOSA MUELEKEO,MAMBO YA WATU KUDAIANA KWA NINI YAWEKWE KWENYE BLOG YAKO,KUNA TARATIBU ZA KISHERIA WATU KUDAI,NI USHAURI TU
ReplyDeleteMtu mwenyewe ni 'Anonymous'. Angekuwa na shida kweli angeweka contacts zake hewani.Lakini kaficha!
ReplyDeleteMimi nafikiri, mzee Michuzi ungeweka kondisheni mtu ambaye kweli anahitaji msaada wa mawazo toka wa wadau awe wazi. Vinginevyo ni kuchafua tu hali ya hewa (akama anony mmoja alivyosema) halafu kumbe hakuna ukweli wowote kwenye suala lenyewe. Mnapandisha watu 'Mori' bure...maana mimi kidogo niitwange ngumi skrini ya Lapu topo yangu! Inauma sana Mvzzzzzxhhhh!
YAAAAAAP!!!!!
ReplyDeleteMWENZENU KAISHI MIAKA 17 AKITAPELIWA SASA KAGUNDUA UJANJA NI KUTAPELI WAJINGA AMBAO HAWAJAZOWEA MJI COOL!!! SUBIRI MIAKA KUMI NA SITA YA KUTOA THEN NAWE UTAMPATA WAKO !!!
bUT USIDHANI UTARUDI HOME UKAMTAPELI MTU HUKU WOTE TUNAJUWA MAFISADI NI WASOMI WALIOTOKA NJE KUJA HUKU, SASA AJIRA TUNAWACHECK SAAANA MUSIJE KUMAKE-UP NA MAISHA YENU MLIYOPOTEZA HUKO!
7G
KU
Naanza kwa kuwapa pole saana Vijana wa Ukraine kwani maisha yaa huko mimi nayajua kwani nimesoma pale Lugansk chuo kikuu miaka iliyopita.
ReplyDeleteHuyu binadamu aliku ana shida zake tuu lakini wala hakuwa na mpango wa kuwapeleka swedn ili mkahangaike na kujiongezea pesa ya mboga mara mrudipo UKRAINE.NIko Stockholm kwa sasa na yeye lengo vibali vya kazi hapa swedn sasa hivi havitolewi kwa wanafunzi kutoka Russia , Ukrain kama ilivyokua miaka yetu.Sababu kubwa ni kwamba baada ua kuunda ummoja wa Ulaya basi kazi zote ambazo mngekuja kuzifanya zinafanya na hao wana jumuia walio maskini kama Latvia, Poland, Estonia na nyinginezo.Ninachoweza kuwashauri mfuateni akawape pesa yenu kwani sweden kupitia kwake hamtaifika.
Poleni saana.
Kwa wewe unayejiita alwatani achana na tabia ya kuwafisadi vijana hun alolote wapatie pesa zao ulizowazulumu vijana huwaonei huruma wenzako?
mimi ni mwanafunzi wa kitanzania ninayesoma Ukraine pia.
ReplyDeletesasa ni hivi we mtu uliyeandika upuuzi wako hapa kama umechoshwa na maisha ondoka usituaibishe wengine bay the way I know u you look so nconfused and stresed man u beter go home.ACHA USHAMBA WAKO WA SITIMBI,wenzako wanaandika isue za maana kwenye Blog wewe unaleta mambo yako ya kipuuzi.
kwani hapo KIEV ni mbali? siumfwate huyomtu umwambie akupe hela yako if whwat ur claiming for is True? au maisha yamekuchosha sasa unataka umharibie kilamtu.
sasa ulivyoandika umepata faida gani zaidi yakuonekana mpuuzi?
MSHAMBA WEWE..!rudi kijijini ukalime wewe umedata.
Kaka michuzi kwanza nakupongeza kwa kazi yako nzuri ktk kutuhabarisha habari mbalimbali za nyumbani hususan kwa sisi wa Ughaibuni.
ReplyDeleteKuhusiana na huu uzushi, ningekuomba sana uwe makini ktk kuziweka Post kama hizi on the board,kwanza kabisa the way huyu mshenzi alivyoaddress tatizo lake si kistaarabu! hilo linadhihirishwa na lugha yake chafu na isiyo fasaha hali inayopelekea wenye busara zao kumchukulia kama muhuni asiestahili hadhi ya uanafunzi wa level hii ya chuo kikuu!!
Mimi pia ni mmoja wa wanafunzi wa kitanzania huku Ukraine na kwa kweli sijasikia mgogoro wowote kuhusiana na hili suala, inavyoonekana huyu jamaa anatumia mgongo wa wanafunzi wa Kitanzania Ukraine kwa maslahi yake anayoyajua mwenyewe, anatuabisha sana kwa kweli na laiti tungalimjua basi tungalimchukulia hatua kali za kisheria,ila afahamu kwamba tunamchunguza na tukimgundua atatueleza nia yake hasa ni nini!
Kuna masuala muhimu yanayoweza kutumwa hapa, lakini si upuuzi kama huu unaolenga kuwaharibia watu majina na hadhi zao! Yeye kama ana dukuduku la msingi analoona linamkera binafsi basi asitumie mwamvuli wa nafsi ya wingi kwa kutujumiusha na wengine, si mstaarabu kabisa huyu jamaa na anatakiwa kukemewa, nadhani nia yake hasa ni kutudhalilisha wanafunzi wwenzake kama kweli ni mwanafunzi maana kwa mimi binafsi namuweka katika kundi la WAHUNI na WASHENZI!
Mwisho nakusihi uncle michuzi uwe makini sana kuzipitia taarifa kama hizi kwa kujaji Logic yake kabla ya kuziweka hadharani na huyu mshenzi ningekushauri kuachana na uzushi wake anaokuahidi kukutumia tena baada ya huu uozo wake!!
Poleni sana wanajamii wenzangu wote wa kitanzania hapa Ukraine na hatuna budi kushirikiana kumtafuta huyu mtu na kumweka katika mstari mnyoofu, maana anaonekana kuhitaji msaada wa kimawazo na hata kifikra.
Shukrani sana,
Mdau muathirika - UKRAINE.
Hili swala lipo ma ukweli ni kwamba huyu jamaa hakumlazimisha m2 yoyote atoe pesa hiyo $100.Walitoa wenyewe na hata waki tapeliwa ni sawa.
ReplyDeleteUkweli ni kwamba wanafunzi walio wengi hapa Ukraine huwa wanatoka Afrika vijijini wachache sana wanatoka mijini hata wote walio toa pesa hii ni mbinde wote.
Halafu waafrika wengi amabao wapo hapa kwamuda mrefu biashara ya kudumu ni wanafunzi.Nakuwatapeli kama hawa walugaluga wa kiTanzania walivyo tapeliwa.Napenda kuwashauri kuwa kama inawezekana wamuombe awarudishie pesa zao zaidi yahapo hakuna safari huo ndio ukweli.-KID
Huyu jamaa amesema kuwa ni deal la kwenda Sweden ila ukweli ni kwamba kama yeye anafahamu maana ya deal nikukosa au kupata sasa anatakiwa asubiri mpka mtu anayemtengenezea deal ampe jibu kuwa deal lipo au limekufa maana haya mambo yakurudishiwa pesa ni makubaliano ambayo mlalamikaji alitakiwa kuhoji kabla ya kutoa pesa husika..Unajua sasa maisha ni magumu Duniani na wala si Ukraine pekee inatakiwa mtu kuwa makini haswa katika matumizi ya pesa usitoe pesa bila kuwa na uhakika wa kile unachokilipia!!Nawashauri wote walo toa huo mchango kwa ajili ya deal la safari wawe wavumilivu nawavutesubira maana najua kuna makubaliano yaliyo fikiwa na walompa pesa wanamjua..Haina haja yakuwaaibisha watu walo nje ya deal lao au kutangaziana ubaya wakati hakuna mtu aliyempora mwenzake pesa mfukoni bali mtu alitoa kwa ridhaa yake mwenyewe pasipokulazimishwa vivyo hivyo katika kudai haki kuwa na busara usichafue hali ya hewa katika Blog ya wazalendo..Ambayo inapitiwa na watu mbalimbali na hivyo kuharibu mtazamo wakila mmoja nakuona walio Ukraine na watu wakuibiwa na matatizo kila wakati!!Jitahidi kuwa na hekima na pia punguza jazba ndugu!!
ReplyDeleteMimi Mdau
C.I.A-Mkongwe
huyu mtu aliyesema kuwa watu waliotoa hela ni waluguluga nimpuuzi vilevile sisiti kumfananisha na mpuuzi mwenzake aliyeandika hii habari.
ReplyDeletewewe mpaka mtu kasoma O-level kaenda A-level unasema ni mshamba katoka kijijini.watu wangapi wanakulia mjini na wanatapeliwa wewe.ACHA USHAMBA WAKO WEWE,acha kuongea kama vile hujaenda shule.ukitaka kuandika kitu ufikirie kwanza.Think beyond ur nose.MPUUZI WEWE....!!!!!!!!!!!
You say: "I can't do it"
ReplyDeleteGod says: You can do all things
(Philippians 4:13)
You say: "I'm not able"
God says: I am able
(II Corinthians 9:8)
You say: "I feel all alone"
God says: I will never leave you or forsake you
(Hebrews 13:5)
You say: "I'm always worried and frustrated"
God says: Cast all your cares on ME
(I Peter 5:7)