Home
Unlabelled
ukerewe
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Sawa sawa mkuu kama kawaida naona unawakilisha ni sana yaani hakuna kulemba piga kuku kwa mlija au sio kumbe ulivyosema umesafiri ni sawa sisi tupo pamoja na blog yetu ya jamiii
ReplyDeleteMDAU KUTOKA U.K
Hapo ni kwa Chibiriti aka Chibatari, mbona hizo mbao ni kama za yule mjamaa wa Italy.Ama ndiyo mabo ya London.
ReplyDeleteMdau Aberdeen, Scotland
Mithupu na ww ni FISADI?mbona kl mara uko ughaibuni?wish you all the best kutesa kwa zamu...vp the flanaz!mdau wa sverige.
ReplyDeleteWow michuzi ukiwa majuu unatoka bomba sana mpaka nakutamani kidogo..lol just kidding..namjua huyu jamaa anaitwa Leo mtu fresh. karibu na kwetu..
ReplyDeleteJust me..
michuzi we nyoka hutwambii lolote wazee wa kazi,au na sisi tukuulize km kipanya alivyouliza maalim seif kwenye kikaragosi,kwamba alifanya booking lini,na visa aliomba lini,mana ulisema safari ya ghafla sasa hayo mambo yote ulifanya lini sasa shein yupo denmark na atakuja ukerewe muda si mrefu,ndio mana upo huko kusafisha njia na kila ki2
ReplyDeleteHongera kwa safari kama umerambwa miguu,anyway usisahau kututembelea wa Northampton,baada ya shughuli za kumnukuu JK na wajua kusema.
ReplyDeleteBila shaka Ameifungia Safari Tanzania Diaspora. Kazi Nzuri wajina.
ReplyDeleteha ha ha michuzi uko ughaibuni? usisahau kupitia leicester si namba yake unayo sasa?
ReplyDeletekaka mbona huwa hufatani na mke wako katika ziara hizi za ughaibuni?
ReplyDeleteHawa ni wabeba boksi. ...au wao wana jina tofauti ?
ReplyDeleteMmmh Mkuu wa Nanihii ya Tegeta kweli hatukuwezi,kwa maana naona safari za ughaibuni ndio zishaanza tangu uteuliwe.
ReplyDeleteUkitoka nje ya bongo kaka Michuzi achana na ubwabwa jaribu vyakula vingine vya wenyeji. Vilevile hayo mambo ya soda mzee jaribu angalau wine. Waambie wenyeji wakupeleke restaurant badala ya kukuangushia huo ubwabwa majumbani kwao.
ReplyDeleteI didn't know your the member of that group.
ReplyDeleteKaka mwenye shati la dengrizi katoka kupiga square/ box na anajipunzisha na ubwabwa taratibu.
ReplyDeleteHaya kaka Michuzi sisi wadau wa Bongo tunakutakia safari njema. Tunaomba uje na zawadi ya mijiushauri ya ku-control traffic jam huku kwetu maana karibia foleni zitatuua.
ReplyDeleteMzee wa TBS
Unafanya nini huko?Rais anakaribia kuja ziara Ukerewe au nini?BWANA CHENGE AMERUDI JANA KUTOKA UCHINA.
ReplyDeleteMichuzi kumbe bado una imani za kishirikina!
ReplyDeleteNdo mana jana ulificha hukuweka wazi kumbe bado una zile imani kwamba ukiwaambia watu watakuloga na safari yako itakufa ndo maana ukaona mpaka ufike kwanza ndo useme!?!
Tehe teh tee!
Hivi Ukerewe kuna ubwabwa, au hicho kwenye sahani ndio nini. Mhh, heri yako, nasikia ukifika huko tu hali ya afya inaongezeka ghafla. Sisi tumezoea harufu za uvundo
ReplyDeletem3
Mithupu na we unasafiri sana!!
ReplyDeleteAnyway, you are back on top kwa kuamua kutopokea salamu na picha. I was always wondering itakuwaje kama mtu akiamua kutumia picha ya mwenzake bila ridhaa? Ndo hayo yakatokea. Big up bro. sasa ni habara za maana kwa kwenda mbele!!!
Maneno ni A 13 THATCHE HOUSE hamoni hizo meza na mijisamaki, na huyo commandoo umemtoa wapi?
ReplyDeleteAh Sheikh Issa Michuzi, Karibu UK mbona Wife umemuwacha nyuma? Michuzi karibu Birmingham, NJOO UJE UPIGE KAZI KIWANDANI KWENYE MA BOX TWENDE NIKUPELEKE AGENCY YA KAZI, UKAJAZE APPLICATION FORM, NJOO NA PASSPORT YAKO KABLA HAIJA EXP OK, BORA TUKAPIGE KAZI HAO WA MA DEAL YA WIZI WATAKUFUNGISHA BURE. £5 HOUR UKIWA KIBABU CHA CHUMA OVER TIME IPO HAHAHA! FLANA YETU IKO WAPIIIIIII? FRM MZEE WA OVER TIME.
ReplyDeleteDuuh benzi lake au mumeegemea tu?
ReplyDeleteSafi sana huyo kaka twamjua anaitwa LEO NYANDUGA afazali umemtowa kwenye bulogu hii yakimataifa. ni kaka mmoja powa saaaaana kama alivyosema muungwana mmoja kati ya maoni hapa jamvini. Tunafuraha sana maana wapuuzi walimpaka saaaaaana mjini kuwa yuko jela, sasa yamewashuka shushuuuuuu yupo nje, huru, na anadunda tu kama kawa, na maisha yake powa kama kawa. ACHANA NA MARAFIKI WADAKU KAKA LEO HAWANA MPANGO.
ReplyDeleteHi kaka Issa, I hope you are having good time in London... hii ni kuhusu ile message uliyoacha before, HATIMA YA LIBENEKE...(ingawa umesema hakuna mjadala) I swear Michuzi, mimi nilivyoona picha za watu zinamiminika nilijua kuna watu watatumia picha za watu kwa maovu!! tena nilivyoona picha ya Jovinata na message yake nilisema ''I wonder if this photograph has been sent by this lady.. mh...
ReplyDeleteplease dont chuk my comments in the bin
NAJIBU SWALI LA MNOKO HAPO JUU ALOULIZA "NA HUYO COMANDOO UMEMTOA WAPI" KWA TAARIFA YAKO COMANDOO ANAITWA LEO NYANDUGA, MLIMPAKAZIA SANA, SASA MNAMUONA LIVE. NA AMEWAZIDI KWA KILA KITU NYIE WALALA HOI ENDELEENI TU KUSEMA WATU NA KUHANGAIKA BONGO HAMNA MAISHA MAZURI KAMA YA LEO NYANDUGA.
ReplyDeleteBWANA MICHU, MAKE SURE UNATEMBELEA NORTHAMPTON ILI TUKUPE SALAMU ZA KUPELEKA BONGO KWA WAOSHA VINYWA... KARIBU SANAAAA, LILA ATAPIKA PILAU KAMA KAWAIDA YAKE TEHE TEHE TEHE!! USIKONDE
ReplyDeleteMAYOR!
misupu hiyo safari imekuwa ya ghafla sana. umetumwa na chenge kuua soo au?
ReplyDeleteswali la pili; mkeo vipi mbona huandamani naye?
Lol comment zenu zachekesha.
ReplyDeleteHuyo Commando mnaymtaja anaitwa Leo Nyanduga. Haters hated on him mpaka acha tu. Hilo Benzi ni lake, sio kwamba wameegemea tu.
Sometime to make it to the top inabidi mtu anaumia sana au watu wakuchongee. Lakini Leo nampa mkono manake yeye ni proper Hustler.
Karibu Birmingham home of Bongo Family Ent.
Hii Kali DC,
ReplyDeleteYaani hata kuapishwa bado tayari umeshaanza kwenda Ziara! Ama kweli viongozi wa JK wote ni akina Vasco Da Gamma!
Kali kuliko zote ni kwamba, DC wa Tegeta 'anayesubiri kuapishwa na Mkuu wa mkoa' anaenda ziarani Ukerewe!
au ndio umeenda kufanya shoping ya suti ya kuvaa siku ya kuapishwa? teh teh teh.....
kila la kheri Misupu, Naona unatoka 'ferry' ya Ukerewe. Bibi mzima lakini? ngalia hao mapolisis wasije wakakuchomekea vipisi DC wetu. si unajua sasa hivi kashfa za viongozi zinauza nakala!
Kubwa la Ma-Annony
Mzee misupbu kwa mambo ya Prrrrrrrrrrrrrrrrrrrr!!!!!!!! Nawe hujambo. Halafu ilo gari ndio umekuja nalo huku mzee ili nikupongeze!
ReplyDeleteKWA MIMI NAVYOJUA LEO SI COMMANDO BALI NI MTU KIDUCHU KATIKA DUNIA HII, WEWE ANON WA SAA 2.49 UNABABAIKA TU NA WATU MAANA UNAJIFANYA UNAWAJUA SANA WATU, KAMA ANA HALI NZURI KIVYAKE WATU HAWAKUMZUNGUZIA YEYE MAANA KWENYE HIZO PICHA HAYUKO PEKE YAKE NA KWA TAARIFA HABARI ZAKE TUNAZIJUA SISI ACHANA NA MABO YA KULOPOKA BILA KUJUA.
ReplyDeleteJamani huyo lota kafanya nini? mbona mnabishana tuuu bila hata kuosha vinywa sawasawa? leteni hiyo issue wadau tujue kah. Ila nahisi kwa hiyo treatment ya benzi na samaki aliyopata mzee wa fulana sidhani kama comment za huyo jamaa zitafika kwa wadau.
ReplyDeleteEbwanaeee mimi nakuja na ndizi kumalizana na huo ubwabwa. Kwa hilo tu mtoto hatumwi dukani. Kuku mmoja familia watoto kumi utaishia kula shingo kwahiyo uchezi mbali.
ReplyDeletemichu, glad to hear una invitation northampton,BUT PLS PLS PUBLISH THIS.. but wewe unaekaa ukihisi watu kuwa hawana kazi, kazi zao ni kuandika majina ya watu humu..pls exclude me! i got a damn job to do and not writting rubbish in this blog, mtafuteni huyu mayor wenu wa n'ton, mnaekula nae sahani moja..if u got issues with me, u knw where to find me.. u knw who ur and surely u got da damn message.. NAOMBA TUHESHIMIANE. RUSTIG!
ReplyDeleteNi kushushua tu kaka
ReplyDeleteLisemwalo kaka lipo, kama halipo.?.........
ReplyDeleteNyie wabeba box wa Uk.. mbona washamba sana!! yani mtu kuwa na hako ka old fashion Benz ndio kaukata kimaisha .. anyway sababu wengi wenu ni wakudandia metro na train . sishangai .mnaambiwa Uk hapafai bado mnang'ang'ania..sasa wenzenu huku kuwa na gari ndio hatua ya kwanza ya maisha kabla hata hujaanza kazi .. sehemu nyingine , hupati kazi kama huendeshi..
ReplyDeleteenhe kazi imeanza sasa hapa na mambo ya leo
ReplyDeleteKaribu sana kaka Michuzi.
ReplyDeleteMama Malaika
TUNAMJUA, HABARI ZAKE TUNAZO, MWACHENI KIJANA WA WATU. YA KWENU YANAWASHINDA MNAKAA KUFUATILIA YA WENZENU. RESPECT
ReplyDeleteMisupu karibu sana UK. Nyie Anon ambao mnataka kuanzisha mjadala wa Leo acheni ujinga. Sio mahali pake kama mna issue au bifu na mtu mfuate kwake sio kubonga ovyo bila point, Kudadeki....
ReplyDeleteMisupi wapi fulanaz?
ReplyDeleteNi nini tofauti ya kumjua na kumfahamu ? Naomba kujua
ReplyDeletewewe Willy usitake kujishaua na kujifanya meya wa northampton. kuwadanganya wazim hapo serengeti usijione ni ujanja, eti usalama wa taifa wa bongo, labda umtishe easter...huna lolote, muuza maneno tu.
ReplyDeletekamanda
Hey!
ReplyDeleteLeo, suala ni kwamba brither umeacha dili za magari au ?
Ok
Mi Kapanya kadogo