Mbunge wa Tabora mjini (CCM) Siraju Kaboyonga na Mbunge wa Namtumbo (CCM) Vita Kawawa wakiwahi kuiingia bungeni mjini Dodoma leo kabla kikao huki cha bunge kuahirishwa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Nina wasi walikuwa wanatoroka.Maana ni kama wanawahi ili watokomee kwenye kona. Yule waliyepishana naye anaonekana ndiye anayelekea ukumbini kwa jinsi anavyoonekana kutembea

    ReplyDelete
  2. Mambo ya kurithishana...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...