mama wa wabunifu wa mitindo nchini asia idarous wa fabak fashions (kati, mbele) akiwa na wabuni mitindo wengine pamoja na mamodo ikiwa ni pamoja na miss tz 2007 richa adhia wakati wa hafla ya redds kutiliana saini mkataba mpya wa udhamini na kamati ya miss tz ambapo kampuni ya bia - tbl- itamwaga milioni 100 kupitia kilaji chake cha redds kudhamini mashindano ya mwaka huu ambayo inasemekana yatakuwa bora kuliko yote yalopita

mmh
ReplyDeletehey!toka lini zamda akawa mbunifu wa mitindo?but she looks mwaaaa sana.keep it up girl
ReplyDelete