Home
Unlabelled
watu mashuhuri waliokimbiza mwenge wa olimpiki
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
HIVI NI KWELI ASHA BARAKA NI MASHUHURI KULIKO KIP KEINO NA SULEMAN NYAMBUI AMBAO WALIKUWEPO UWANJANI? NI NINI NASHA ALICHOWAHI KUKIFANYA KWENYE OLYIMPIKI?
ReplyDeleteJamani Wadau wenzangu kama nitakosea kwa haya nitayoyasema mnikosoe na nisamhewe lakini hapa nimejawa na jazba kwani mimi ninavyoelewa Olimpiki ni michezo na hata nchi za nje wanamichezo tofauti wanaangoza kwenye field zao za michezo ambayo itawakilishwa olimpiki ndio wanapewa nafasi ya wanakimbiza mwenge kama wanariadha, wana mpira, waogeleaji, wana basketi, wanandondi, warugby, watoto wadogo na kadhalika huoni mwanamuziki wala waziri mana hiyo sio field yao, sasa huko kama kawaida yetu sijui kujuana ama sijui ni nini sasa hao mawaziri na wana bendi za muziki na kina mama watu wazima sijui wabunge yahusu nini jamani ?? huku ni kutudhalilishia nchi yaani hatuna wanamichezo wa maana ama?? Na kitu kingine wenzetu huwa ili ku encourage vijana watakaoiwakilisha nchi huko michezoni huwa vijana wanapewa sana kipa umbele kuukimbiza huo mwenge kwani hii inawapa moyo na jazba ya kujitahidi zaidi kwenye field zao ili kwenda kuiwakilisha nchi sasa hao watu wazima hovyo wamevaa vikaptura wanakimbiza mwenge wa olimpiki mabarabarani kwa kutaka ujiko tuu na ni uselfish mngewapa hizo nafasi ma athlete !! Kwa kweli kaka Michuzi naangalia hizi picha my heart is paining me i can feel it natamani kulia hivi Tanzania tutabadilika lini jamani na hawa viongozi wetu wataacha lini uselfish wa kujitangazia majina wao watu hatuna uchungu kabisa na jamii zatu its such a shame!!!! Huku Ulaya tunachekwa ukilinganisha kwa mfano hapa UK waliokimbiza mwenge kina Theo Walcott msiomjua ni kijana mwanampira wa miguu chipukizi, kina Dame Kelly Holmes wanariadha al marufu hukumuona chaiman wa FA wala Waziri wa Michezo maana wanajua hiyo sio sehemu yao na hawapewi hiyo nafasi!sasa sisi bongo halafu tunashangaa kwa nini hatuna wanamichezo maarufu wa kuiwakilisha nchi yetu mpaka nje ni kwa sababu ya ulimbukeni na uselfish wetu wenyewe hatuwapi vijana wetu chances ya ku explore thier full potential na kuwapa moyo wa kujiendeleza na vitu kama hivi ndio vinatuangusha , mwenge wa olimpiki unakimbizwa na wazee wenye mvi na vitambi vizito na kina mama sura zimezeeka ,kanma huyo lady j d yeye tunamjua ni muimbaji ana kazi yake na anapata mpaka awards kwenye sanaa yake sasa kwa nini yeye huyu ndio apewe tena chance ya kuwakilisha wanamichezo kwani hii ni Kora awards jamani ama music awards kwa nini msiwaweke wana Michezo wanaofanya hiyo kazi na sio mabosi zao ??lazima tuelezane jamani maana hii imeharibu kabisa maana ya huu mwenge mimi navyoona ? Huu mwenge is about giving people hope and uniting nations also encouraging the young ones inawapa moyo wajitahidi katika michezo yao
ReplyDelete! sasa wewe mzee mzima unakimbiza mwenge wa Michezo na mtoto wako kasimama hapo pembeni kukuangalia wewe hiyo unaona sawa kweli ?? ukitoka hapo unahemwa kama unataka kupata heart attack !! manake hamjifunzi hata kwa hao wachina wenye nafasi hii mwaka huu mnaona hao wanaousindikiza mwenye ni mawaziri na wenyeviti na kina mama wa bendi za mziki ?? this is such a disester!! watu wanatucheka na ukizingatia hii ilikuwa ni chance kubwa ya Tanzania kujitangaza na kutangaza talent tulizonazo katika Michezo tofauti kwani hatujulikani kabisa ki Michezo nje ya nchi zaidi ya Riadha na Mpira ambao kila siku tunafungwa anyway . Hii ilikuwa ni chance yetu
maana katika Africa nzima huu mwenge umesimama Tanzania Tuu na si pengine popote ? halafu tunafanya upuuzi kam huu jamani kweli tutafika? Its about time tuchange na tujifunze kutoka kwa wenzetu tunataka maendeleao lakini kujipendelea na ubinafsi unaturudisa nyuma sana !!! yaani nina jazba hapa naweza nikaandika mpaka kesho wacha tu ninyamaze, wadau wenzangu naomba mnisaidiehili mnalionaje nyinyi ??
MICHUZI, ANAYEWASHA MWENGE NA RAIS WA TFF BWANA TENGA NI JENERALI SARAKIKYA NA SI SAID EL-MAAMRY, SAHIHISHA TAFADHALI.
ReplyDeleteMwana Jazba hakika nakuunga mkono yote uliyoandika.Kwa kweli inasikitisha hawa watu waliotokea hapa hawahusiani kabisa.Ni aibu na inaonyesha kweli bado tuko nyuma.Nilitegemea kuona wanaohusika kukimbiza mwenge sasa hawa musician ,viongozi wa muziki sijui wamepewa vipi hii chance.jamani hebu amkeni !
ReplyDelete