Habari zimetina sasa hivi kwamba JamboForums.com kwa sasa inajulikana kama JamiiForums.
Yaani anayehitaji kwenda huko aende www.JamiiForums.com
na mnaambiwa kwamba wote mnakaribishwa.
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Assante sana kaka michuzi toka jana tunaitafuta bila mafanikio..unashukuriwa sana maana tungepata tabu sana...kaka!
ReplyDeleteUKIPATA TABU NEXT TIME KWA LOLOTE KUHUSU JF,TEMBELEA WWW.KLHNEWS.COM
ReplyDelete125th ST. HARLEM,NY,NY.
ni Tawi la Chadema hili msihangaike nalo.
ReplyDeleteMswahili wa JF