Hii ni siku ambayo Jumuiya Watanzania Wanasoma na Waishio Leuven, Belgium, walipofanya shughuli ya Kiutamaduni Katika Ukumbi wa "Zaal Pacem, Halelandstraat 14, 3012 Wilsele Dorp.
Shughuli hiyo ilijulikana kama: USIKU WA MTANZANIA NA KUTUNISHA MFUKO WA MIKUMI [MIKUMI-BENEFIT DINNER & PARTY] NA KUFANYIKA TAREHE 03 MAY 2008. Mgeni rasmi alikuwa balozi wetu Mh. Mlay
Ilihusisha shughuli za kiutamaduni na mila za Mtanzania katika kuandaa vyakula vya kitanzania mbalimbali, Mavazi, ngoma zetu, muziki wetu na Utumiaji wa Lugha yetu ya Kiswahili. Hili lilikuwa tukio la aina yake katika kujaribu nasi kutumia nafasi hii kuitangaza nchi yetu katika mwaka 2008.


Nawapongezeni sana kwa tukio hilo.Make it a Regular Event that will bring you all together in a spirit of Familyhood.Balozi Mlay I know him he is a charismatic S.O.G.!So make use of that instrument,dont shy away!I hope now that he is a Balozi he hasn't changed a bit.So Bite him Up for your upkeeng.Cheers!
ReplyDeletemamaa tausi nakuona mwenyewe! Shimo Sila!! uko wapi sponsor? Mzee mwenyewe na pastor dave!!
ReplyDeleteShughuli kama hii ilifanyia last year pale pangae, palikuwa hapatoshi;mamaa Happy uko wapi??
ReplyDeleteNimefurahi sana kuona events za watanzania zikifanyika katika nchi za wenzetu wa mataifa mengine!Big up and keep up the spirit.Natarajia kuja kusoma Leuven,Belgium mwezi wa tisa mwaka huu God willing! nikiona events kama hizi nafarijika kuwa sitakuwa mpweke nikija huko.
ReplyDeleteNawashukuru wa-TZ wote wenye moyo kama huu. Nyumani kweli ni nyumbani na I hope hamkuweka Bongo Fleva kwenye hiyo sherehe na kusema kuwa ni muzki wetu, maana itakuwa haibu.
ReplyDeleteDuh kweli naona hapo palikuwa hapatoshi......kaka Solo ungekamata kiuno hiko.....lol. wadau ubelgiji hongereni
ReplyDelete