napenda kuwatahadharisha wadau wanaotumia gmail kuwa macho baada ya kupata ujumbe huu ambao ni kanyaboya. ukijaza na kuwatumia majibu kama watakavyo, umeumia. hawa wanatafuta email za watu ili wawahujumu. nawasihi achana nao hawa jamaa maana ni mafisadi wa mtandaoni...
Dear Gmail Account Users,
We hereby inform you that our system has developed database error so we need to access all accounts in order to save and keep them active even till after a new database is introduced to Gmail Team.
We hereby inform you that our system has developed database error so we need to access all accounts in order to save and keep them active even till after a new database is introduced to Gmail Team.
Gmail Team advices you update your account details to verify and keep them valid and undeleted.
PLEASE PROVIDE US WITH THE FOLLOWING
*USERNAME&E-MAIL ID:
*PASSWORD:
*VERIFY PASSWORD:
*ALTERNATE EMAIL ADRESS:
*DATE OF BIRTH:
*COUNTRY/TERRITORY:
After the details are given your account will be upgraded and safe for your use.
YOU WILL BE ABLE TO CONTINUE USING YOUR E-MAIL AS SOON AS THE MAIL IS RENEWED AND ACTIVE.
To reply just "CLICK" on the REPLY tab in your browser.
Please bear with us.
Thanks for using Gmail
Thanks for using Gmail
GmailTeam


Mkuuu sijui kama na mimi mnaweza kunisaidia maana hata mimi napata sana email lakini hao watu siwajui kabisa wakina nani na sijui email yangu wamepata wangu wananiambia sijui mzazi wetu alikufa sasa tunataka kufamisha hela ili tuzitume kwenye account yako huko uliko na pia nije niweze kuishi na wewe huko uliko maana wazazi wangu wamekufa na pia anasema kwamba hizo hela ukinisaidia kunihamishia kwenye account yako nitakupa robo ya hela alafu anakuambia kuwa usimwambie mtu kitu chochote iwe ni secret hii kitu asijue mtu kwa hiyo naomba tuwasiliane kama upo tayari kunisaidia lakini mimi hizi email napata kwenye yahoo yangu sasa jamani wenye upeo zaidi wanafahamu zaidi kuhusu hizi email watu wengine wanasema kwamba ni scam sasa mimi sielewi kwa ujumla hawa shida yao hasa ni nini haya wadau au mkuu misupu kama unafahamu unaweza kunielewesha zaidi nia yao ni nini?ok thank.
ReplyDeleteMabao kama haya yako mengi sana katika mtandao. Mie napokea zaidi ya kumi kila siku na huwa sijisumbui kupoteza muda wangu kuzisoma... dawa ni kuzi-spam tu.
ReplyDeleteSwali ninalojiuliza kila siku ni kwanini hawa jamaa wanaendelea kuleta huu upuuzi? Inaelekea kuna watu wanaangukia mikononi mwao na kuwafanya waendelee kusaka wengine.
Haingii akilini mtu anakutangazia dili la mamilioni ya Yuro au Dola huku akitumia frii yahuu meil akaunti.
Kwa wale wenzangu na mimi, hakuna pesa ya bure katika mitandao..... ukiwajibu umeliwa.
Ignorant, Jeremani
Pole san mdau hapo juu lakini nadhani hili tatizo ni kwa watu wengi. Mimi huwa naziblok hizo email na wakati mwingine nawajibu matusi. Hawa jamaa ni matapeli.
ReplyDeleteASHENALEEE nilikuwa sijui mi naona nimepata dolla kumbe nimatepeli ila mi sijawahi kuwajibu kila nikitaka kuwajibu nakuwa buzy buzy alafu nasahau nashukuru mdau kwakuliweka wazi hiliii
ReplyDeleteSweet,
Arusha.
Asante Michuzi. Endelea kuelimisha jamii kupitia hii blog yako tukuka!
ReplyDelete