Miss Universe Tanzania, Amanda Sululu,katikati, akipozi muda mfupi baada ya kutangazwa mshindi kwenye Ukumbi wa Movenpick Da es Salaam juzi,kushoto ni mshindi wa pili Jamila Nyanga na Eva Babuely

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 31, 2008

    kwa haki lillahi wachanguaji mlikuwa na kazi ngumu, kwa kuwa wote hakika ni wazuri sio siri, kila unamtazama anamshinda mwenzie, mashalhwa mmetulia.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 02, 2008

    mmependeza kwelikweli, jamila hongera kuzw jina mama utakuwa wakwanza unajitahidi sana.
    sweet
    Arusha.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...